42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 824
A cursed NationWhoever embrace Israel by any means must be blessed. Take it from the Bible.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A cursed NationWhoever embrace Israel by any means must be blessed. Take it from the Bible.
kama kuna kitu ambacho nakishangaa zaidi, ni pale mtumishi wa Mungu anapoamua jambo ambalo hana maarifa nalo kidini. Mungu anayeabudiwa na Makanisa yote hana mkataba na israeli ya sasa, na ndio maana akaisambaratisha yote, (refer WW II). hizi ni nguvu tuu za Marekani na Umagharibi katika kuinyanyua imani yake ya kuipoteza dunia......Hapa kuna suala la imani kutoka kitabu cha kijulikanacho kama biblia takatifu. Waamini katika kitabu hicho wanaamini kuwa israeli ni taifa teule, na endapo mtu atalisema vibaya mungu wa israeli atamuadhibu kwa mapigo ya laana yeye na familia yake wakiwa hapa duniani na huko ahera. Hadithi inachangia waamini sana watu kuunga mkono israeli. Upeperushaji bendera ni njia moja ya kuikubali hadithi ya uteule wa israeli. Makanisa kama ya Gwajima, Lusekelo (kuyataja kwa uchache), yanaweka bendera za israel mbele kama mapambo....
Unauliza swali ambalo jibu lake liko wazi unalijua?Which one is blessed?
kwanini ulimsikiliza Mtumishi mjinga na muongo.... hana akili pia.... hajui kuwa vizazi vya waisrael ndio hivyo hivyo hadi leo hii....
😀😀😀😀alafu umwambie pia aache Taarabu kwenye Imani za watuKwangu mie ni Taifa lililo laaniwa..
Una uhakika Mungu hana mkataba na Israel kulingana na Biblia uliyoi refer? Well karudi usome tena Biblia yako kama unayo. Mungu ana agano la milele na Israelkama kuna kitu ambacho nakishangaa zaidi, ni pale mtumishi wa Mungu anapoamua jambo ambalo hana maarifa nalo kidini. Mungu anayeabudiwa na Makanisa yote hana mkataba na israeli ya sasa, na ndio maana akaisambaratisha yote, (refer WW II). hizi ni nguvu tuu za Marekani na Umagharibi katika kuinyanyua imani yake ya kuipoteza dunia.
Ujio wa Yesu ni kuwakomboa mataifa, na sio israeli, na ndio maana israeli walikuwa mstari wa mbele kumsulubu, akafa, na siku ya tatuu....
Angalia kwanza bendera ya nchi yenyewe....kuna pembe tatu mbili zilizoungana. ni nini hiko? Mbona inafanana na nembo za kishetani? kama ni nyota asilia kama walioiona mamajusi, haiko hivyo! na kwanini mumarekan asimamie ulinzi wa taifa teule la Mungu? Ina, maana Mungu akubali taifa lake teule lilindwe na Shetani?
Mjiongeze, Msije angamia kwa kukosa maarifa.
Walikuwa wayahudi kwa maana wakati hio sio ukristu wala uislam uliokwepo
.....maana umepigana na mungu na ukampiga ! (Biblia bhana ! ...we acha tu !)Hutaitwa tena Yakobo wewe ni Israel
...mwenzako kasema Ibrahim ni mzinifu (astaghfirr !) post 253 by ILAN RAMON ila Qur'an inasema ni mtu mwema ! na hakuwa mkiristo wala myahudi (Q:3:67-68) nyiokundaUna angaika sana hata uweke haya zote za Quran .haitusaidii kitu ndo maana hatusomagi ila mnahangaika Kosoma bible had nyumbani mnavyo .huyo ibrahim mlim copy na kubadilisha mambo
Nabii anakuwaje mzinifu ? ....... ni kafiri pekee ndiye anaye thubutu kumtukana Nabii kama walivyokuwa Wayahudi ni mabingwa wa kuwakanusha na kuwaua manabii...mwenzako kasema Ibrahim ni mzinifu (astaghfirr !) post 253 by ILAN RAMON tena mwanae kamuita mwanaharamu, ila Qur'an inasema ni mtu mwema ! na hakuwa mkiristo wala myahudi (Q:3:67-68) nyiokunda
Wewe ndio mkweli au Qur'an !? ILAN RAMON
'Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislaam, wala hakuwa katika washirikina (waabudu masanamu)
Wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.
Qur'an: 3:67-68.
Kwangu mie ni Taifa lililo laaniwa..
Dah.. Israel hii ya sasa au ya zamani? Mungu gani huyo mwenye ubaguzi? Sasa wewe mbongo unahangaika na nini wakati tayari wapo walioteuliwa tayari?😕Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Kigezo chako nini sasa !? ...maaana Ibrahim mwenyewe hajakwambia wewe kuwa yeye ni mkiristo (wakiristo ni jina walilopewa wanafunzi wa Paulo pale Antiokya) na myahudi pia hakuna mahali katika Biblia panasema hivyo.Sasa unanilazimisha Qurani?mimi sikiamini kitabu chako mkuu naangalia uhalisia walaa situmii references za vitabu vya dini,uislam una miaka1430 hivi ukristu miaka 2000 na kidogo Abraham kaishi miaka 4000 sitaki ubishi usio na vigezo Abraham ni myahudi
Akili ndogo inaongoza akili kubwa ..... maneno ya Mchungaji haya !Dah.. Israel hii ya sasa au ya zamani? Mungu gani huyo mwenye ubaguzi? Sasa wewe mbongo unahangaika na nini wakati tayari wapo walioteuliwa tayari?😕
Kuna Mataifa yalipiganisha Vita Dunia nzima, tena mara mbili. Mpaka babu yangu alipigana hivyo vita !Taifa lililolaaniwa laweza kuwa Afghanistan au Somalia nadhani ila Israel ni taifa linalostawi