KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ndio, lakini ni lazima pawepo na usimamizi na uongozi toka kwa hivyo vyama vya siasa na asasi za kijamii.kudai tume huru sio kazi ya chama cha upinzani tu ni kazi ya kila mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaongelea elimu ipi mkuu?
Maana hii elimu za siku hizi hata mtu akiwa na PH.d hana tofauti na la 7.
Nadhani mifano ya hao watu unaielewa vzr mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mkuu huoni watu wenye hizo PhD wakipigia simu wenye zero brain...
Je huoni kuwa wenye zero brains wanapata mileage kubwa sana...
Je, mkuu huoni kuwa hao wenye elimu wengi wao hata kujenga hoja zenye mashiko ni shida sana!
Utasikia vitisho tu.... Uzinduzi tu... Uchumi unakua kwa kasi ya pesa zetu wenyewe tena bila hata kupitia Bungeni!
Mara ooh majizi yataendelea kufyekwa...
Mara SGR, Mara angalia angani utaona (Ndege)
Material things are
mkuu mimi nakuambia kutoka bottom of my heart ninaumwa sana naipenda nchi yangu sana mno ila ccm naomba kwa mungu wangu ninayemuamini aiondoe kwa amani maana imetufilisi
Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa ccm bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu. mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020. leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi. Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania. Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana
chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya tanzania
mungu ibari africa mungu ibariki tanzania
Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa CCM bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu.
Mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020.
Leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi.
Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania.
Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana
chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya Tanzania
Mungu ibari Africa mungu ibariki Tanzania
unataka wamsikilize nani sasa, Magufuli, zito, polepole, kabudi, mbowe, Lissu, sumaye, Lowasa au Membe?Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu
Kutokana na Elimu duni; Watanzania wengi wanamsikiliza Diamond kuliko hata nafsi zao!
unataka wamsikilize nani sasa, Magufuli, zito, polepole, kabudi, mbowe, Lissu, sumaye, Lowasa au Membe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau kikwete alijaribu kufungua milango ya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni katiba mpya,
Sijui kama atatokea rais mwengine wa angalau kuitamani katiba mpya kama alivyofanya mzee kikwete
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii maana yake tutakuwa tumewashtaki Hawa waonezi kwa umma; umoja wa mataifa na Mungu.Suala la tume huru ya uchaguzi na katiba mpya halina mjadala. Hili tumeshalisema sana, na baada ya huu uhuni uliofanyika wakati wa uchaguzi wa uchaguzi wa SM kila mtu amejiridhisha pasi na shaka kuwa sasa ni muda muafaka wa tume huru ya uchaguzi. Ni vyema vyama vya kweli vya upinzani vikatangaza wazi kuwa bila tume huru vya uchaguzi hakuna uchaguzi mkuu mwaka huu. Hiyo pekee yake itautia najisi uchaguzi huo, wananchi wote watafahamu na dunia itafahamu.
Katika mazingira hayo ccm itakuwa haina jinsi zaidi ya kukubali takwa hilo la halali kabisa. Na hata ccm ikilazimisha uchaguzi huo bado utakuwa ni uchaguzi utakaokuwa na wapiga kura wachache sana, na hatimaye kutoa viongozi walio kisheria bila uhalali wa umma. Hapo ni wazi nchi itaingia kwenye matatizo ya mahusiano ya. Kimataifa.
Wapinzani naona wanapinzika na hili sijui kwa nini! Lakini kwa kweli hili linahitaji kipaumbele kuliko chochote kwa sasa.Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa CCM bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu.
Mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020.
Leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi.
Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania.
Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana
chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya Tanzania
Mungu ibari Africa mungu ibariki Tanzania
Haha haaa,yaani wewe unajiweka pembeni!Mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020
No political revolutions with no pains.
Sasa wapinzani wa Tanzania wanataka mabadiliko e.g katiba mpya na n.k yatokee kutokana na miandiko Yao na kelele za kwenye social media like JF na Twiter. Will never happen.
Jifunzeni na kusoma Vitabu alichokifanya huyu field marshial kuiokoa Cuba. Mtakuja kunishukuru hapo baadaeView attachment 1310574
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sawa kaka lkn kumbuka hii ni tanzania,bado tupo nyuma sana elimu ya uraia,Kati ya makosa tunayozidi kufanya sisi wananchi ni kutegemea kudra za mtu mmoja kufanikisha mambo mengi muhimu tunayohitaji sasa na baadaye...
Yaani it is like tunaweka ndoto zetu kwenye ndoto zake... Asipoota ndoto ndo ivo tena!
This is double bad by all means!!
uko sawa kaka lkn kumbuka hii ni tanzania,bado tupo nyuma sana elimu ya uraia,
Mpaka kufika huko uliposema ww ni hatua ,taratiibu tutafika ila kwa sasa bado sana,tena sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app