Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

maganjwa,
Sijui wataingia uchaguzi kwa sababu zipi hasa chini ya tume ya uchaguzi iliyopo sasa na wasimamizi wa uchaguzi.

Mazingira yote yaliyoandaliwa ni kuwa wabunge wao karibu wote hawawezi kurudi bungeni tena baada ya uchafuzi huo.

Hapa ndipo tutakapojua wazi kwamba hatuna vyama vya upinzani Tanzania
 
Kila mtu naekutana nae anasema hana muda wa kupiga kura kajiandikisha kupata kadi ya mpiga kura kwa ajili ya matumizi mengine
 
kudai tume huru sio kazi ya chama cha upinzani tu ni kazi ya kila mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, lakini ni lazima pawepo na usimamizi na uongozi toka kwa hivyo vyama vya siasa na asasi za kijamii.
Wananchi hawawezi tu kuibuka kama uyoga na kudai bila kuwa na uongozi na uratibu juu ya jambo kubwa kama hili.
 
Hapa tunaongelea elimu ipi mkuu?

Maana hii elimu za siku hizi hata mtu akiwa na PH.d hana tofauti na la 7.

Nadhani mifano ya hao watu unaielewa vzr mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Mkuu huoni watu wenye hizo PhD wakipigia simu wenye zero brain...
Je huoni kuwa wenye zero brains wanapata mileage kubwa sana...
Je, mkuu huoni kuwa hao wenye elimu wengi wao hata kujenga hoja zenye mashiko ni shida sana!
Utasikia vitisho tu.... Uzinduzi tu... Uchumi unakua kwa kasi ya pesa zetu wenyewe tena bila hata kupitia Bungeni!
Mara ooh majizi yataendelea kufyekwa...
Mara SGR, Mara angalia angani utaona (Ndege)
Material things are
 
Angalau kikwete alijaribu kufungua milango ya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni katiba mpya,
Sijui kama atatokea rais mwengine wa angalau kuitamani katiba mpya kama alivyofanya mzee kikwete

Ndio maana nimeuliza elimu unayoisema ni hii hii ya darasani au ipi boss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi nakuambia kutoka bottom of my heart ninaumwa sana naipenda nchi yangu sana mno ila ccm naomba kwa mungu wangu ninayemuamini aiondoe kwa amani maana imetufilisi

Hauko peke yako but pasipo na juhudi za pamoja mafanikio hayatapatikana.

Upinzani vumilianeni tumwondoe adui kwanza.
 
Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa ccm bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu. mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020. leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi. Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania. Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana

chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya tanzania

mungu ibari africa mungu ibariki tanzania

Suala la tume huru ya uchaguzi na katiba mpya halina mjadala. Hili tumeshalisema sana, na baada ya huu uhuni uliofanyika wakati wa uchaguzi wa uchaguzi wa SM kila mtu amejiridhisha pasi na shaka kuwa sasa ni muda muafaka wa tume huru ya uchaguzi. Ni vyema vyama vya kweli vya upinzani vikatangaza wazi kuwa bila tume huru vya uchaguzi hakuna uchaguzi mkuu mwaka huu. Hiyo pekee yake itautia najisi uchaguzi huo, wananchi wote watafahamu na dunia itafahamu.

Katika mazingira hayo ccm itakuwa haina jinsi zaidi ya kukubali takwa hilo la halali kabisa. Na hata ccm ikilazimisha uchaguzi huo bado utakuwa ni uchaguzi utakaokuwa na wapiga kura wachache sana, na hatimaye kutoa viongozi walio kisheria bila uhalali wa umma. Hapo ni wazi nchi itaingia kwenye matatizo ya mahusiano ya. Kimataifa.
 
Na wewe si udai mbona unawasukumia wenzako
Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa CCM bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu.

Mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020.

Leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi.

Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania.

Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana

chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya Tanzania

Mungu ibari Africa mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No political revolutions with no pains.

Sasa wapinzani wa Tanzania wanataka mabadiliko e.g katiba mpya na n.k yatokee kutokana na miandiko Yao na kelele za kwenye social media like JF na Twiter. Will never happen.
Jifunzeni na kusoma Vitabu alichokifanya huyu field marshial kuiokoa Cuba. Mtakuja kunishukuru hapo baadae
tapatalk_1577569272603.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau kikwete alijaribu kufungua milango ya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni katiba mpya,
Sijui kama atatokea rais mwengine wa angalau kuitamani katiba mpya kama alivyofanya mzee kikwete

Sent using Jamii Forums mobile app

Kati ya makosa tunayozidi kufanya sisi wananchi ni kutegemea kudra za mtu mmoja kufanikisha mambo mengi muhimu tunayohitaji sasa na baadaye...
Yaani it is like tunaweka ndoto zetu kwenye ndoto zake... Asipoota ndoto ndo ivo tena!
This is double bad by all means!!
 
Suala la tume huru ya uchaguzi na katiba mpya halina mjadala. Hili tumeshalisema sana, na baada ya huu uhuni uliofanyika wakati wa uchaguzi wa uchaguzi wa SM kila mtu amejiridhisha pasi na shaka kuwa sasa ni muda muafaka wa tume huru ya uchaguzi. Ni vyema vyama vya kweli vya upinzani vikatangaza wazi kuwa bila tume huru vya uchaguzi hakuna uchaguzi mkuu mwaka huu. Hiyo pekee yake itautia najisi uchaguzi huo, wananchi wote watafahamu na dunia itafahamu.

Katika mazingira hayo ccm itakuwa haina jinsi zaidi ya kukubali takwa hilo la halali kabisa. Na hata ccm ikilazimisha uchaguzi huo bado utakuwa ni uchaguzi utakaokuwa na wapiga kura wachache sana, na hatimaye kutoa viongozi walio kisheria bila uhalali wa umma. Hapo ni wazi nchi itaingia kwenye matatizo ya mahusiano ya. Kimataifa.
Na hii maana yake tutakuwa tumewashtaki Hawa waonezi kwa umma; umoja wa mataifa na Mungu.
 
Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa CCM bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu.

Mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020.

Leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi.

Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania.

Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana

chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya Tanzania

Mungu ibari Africa mungu ibariki Tanzania
Wapinzani naona wanapinzika na hili sijui kwa nini! Lakini kwa kweli hili linahitaji kipaumbele kuliko chochote kwa sasa.
 
Mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020
Haha haaa,yaani wewe unajiweka pembeni!
Too late,huwezi kudai tume wakati bunge limebakiza miezi sita
Vikao vya bajeti vinaanza April bada ya hapo bunge linavunjwa
Madai ya tume yalitakiwa yaanze siku ile magufuli anazindua bunge,badala yake mkatoka nje
 
Kati ya makosa tunayozidi kufanya sisi wananchi ni kutegemea kudra za mtu mmoja kufanikisha mambo mengi muhimu tunayohitaji sasa na baadaye...
Yaani it is like tunaweka ndoto zetu kwenye ndoto zake... Asipoota ndoto ndo ivo tena!
This is double bad by all means!!
uko sawa kaka lkn kumbuka hii ni tanzania,bado tupo nyuma sana elimu ya uraia,
Mpaka kufika huko uliposema ww ni hatua ,taratiibu tutafika ila kwa sasa bado sana,tena sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko sawa kaka lkn kumbuka hii ni tanzania,bado tupo nyuma sana elimu ya uraia,
Mpaka kufika huko uliposema ww ni hatua ,taratiibu tutafika ila kwa sasa bado sana,tena sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah ila taratiibu yetu imekuwa zaidi ya taratiiiibuuuu...
Kuna nchi tulianza nazo pamoja... Nyingine tukazipa support sisi ili waanze... Angalia walipo... Sisi bado tunaangaika na mabadiliko ya majina ya watu ndani ya chama-kongwe!
Daah... Ukifikiria sana unaweza kupata stroke!
 
Watawala wa Africa wanakuwaga na akili wakishatoka mamlakani hata gywe atakuja kujutia kwa kuwambikia watu kesi zisizo na dhamana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom