Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja. Now Mkapa the wise one.
P
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutamsamehe kwa kutufanikishia tume huruAmetubu
Kwa maana nyingine Mkapa anathibitisha kwamba NEC ni tawi la CCM na hao CCM ndio huhesabu kura na kuamua yupi wamgawie ngapi.
Mpango mkakati 2020 ili kumfurusha mzee meko, kwani moja haikai wala mbili haishikiki, kuna moto unawaka mule ndani
Tutamsamehe kwa kutufanikishia tume huru
Naunga mkono hoja. Now Mkapa the wise one.
P
Hawawez kubal kubal zamisha meli yao hii n ya kudos kwa nguvu zte co kusubr ihsan ya viongoz
Kwahiyo hutaki tume huru ya uchaguzi?Zile damu za Wapemba zinaanza kumlilia
Tume huru na ayatakayo mkapa ni kutaka kuiuwa ccm
I second u. Tuangalie maneno yake yana ukweli kiasi gani. Hili analosema linahitajika sasa au haliitajiki?Pamoja na yote
Hiki anachokiongea ndio haki na ukweli halisi