Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

Daudi alijutia makosa yake ila Netanyahu hajawahi jutia kuiba pesa za walipakodi wa Israel. Ni fisadi ambaye anajifichia kwenye vita kupata popularity.
Mbona Mahakama haijam convict sasa?
 
acha kumfananisha mtumishi wa Mungu Daud na vitu vya ajabu,kipindi cha daud ukimwaga damu isiyo na hatia,ujue na yako lazima imwagike.
 
acha kumfananisha mtumishi wa Mungu Daud na vitu vya ajabu,kipindi cha daud ukimwaga damu isiyo na hatia,ujue na yako lazima imwagike.
Mbona Daudi anaelezwa kama ndiye mfalme aliyepigana vita vingi na kuua watu wengi kuliko mfalme yeyote duniani kwa enzi zile? Kwani ndugu unaijua kweli Biblia au unabisha kutoa usingizi alfajiri hii
 
Mbona Daudi anaelezwa kama ndiye mfalme aliyepigana vita vingi na kuua watu wengi kuliko mfalme yeyote duniani kwa enzi zile? Kwani ndugu unaijua kweli Biblia au unabisha kutoa usingizi alfajiri hii
Dunia tumeshuhudia watemi kama Gengis khan,Alexander the great n.k, Israel wako overlated Sana na historia yao.
 
Kwani daudi alihitaji mbeleko ya Marekani?
 
Hapana, Netanyau anafadhiliwa na Marekani kwa mabilioni ya Dola kifedha na silaha huku akiwashambulia Wapalestina na Walebanoni wasio hata na air defense hata moja huwezi kumfananisha na Mfalme Daudi aliyepambana na Goliath.

zitto junior Mathanzua
In addition Netanyahu is a very evil man fighting for Satan's army.David on the other hand was a true servant of God despite his short comings,so you can't compare the two in any way.

Also note that Israel is a fake nation with Zionists having stolen the identity of true Jews and Netanyahu is one of those Zionists-fake Jews so to say .David again on the other hand was a true Jew.So the two people are incomparable.
 
Yes yule kamanda, alifanya daudi astarehe sana kuna vita alikuwa anapgana akisha maliza wanajeshi wakibakia wachache ,ana mwita Daudi amalizie asije onekana yeye ndo kachukua ushindi
Hizo story mnazipataga wapi
 
Netanyahu ni mjinga sana hotuba zake ni kama vile sio kiongozi wa serikali ni kama katoka tu chumbani kwake mbio mbio kwenda kuongea na watu
Lakini ndio anawashughulikia magaidi bila kupepesa macho
 
Dunia tumeshuhudia watemi kama Gengis khan,Alexander the great n.k, Israel wako overlated Sana na historia yao.
Hata hivyo tunacho cha kusimulia watoto au wajukuu zetu, kuwa aliwahi kutokea mwamba kwa jina Benjamin Netanyahu πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
 
Kwani daudi alihitaji mbeleko ya Marekani?
Kwani hao Wamerekani unadhani ni Waarabu au Wamatumbi? Ni Wayahudi in Diaspora, ndiyo wana run dunia 🌎 🌍 🌐
 
You too Mathanzua you are fake human based on your argument of fake Jews.

A Jew will remain Jew wherever and whenever he/she is
 
Kwani hao Wamerekani unadhani ni Waarabu au Wamatumbi? Ni Wayahudi in Diaspora, ndiyo wana run dunia 🌎 🌍 🌐

Kumbe kina Obama, Kamala, P. Didy, Musk, Powell, list ni ndefu, ni wayahudi?
 
Daudi hakuua watoto na watu wasio na hatia,hakuruhusu ushoga Nk acheni kukufuru mtapotea.
 
Daud
 
You too Mathanzua you are fake human based on your argument of fake Jews.

A Jew will remain Jew wherever and whenever he/she is
Unahitaji elimu zaidi kuhusu Israel mkuu,hujui kabisa.There are fake Jews ambao wamejiingiza Kwa siri Israel,Jesus Himself talked about this very sema issue.Read Revelation 2:9 and 3:9 below.

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Ufunuo wa Yohana 3:9
[9]Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.

Mimi sibahatishi mkuu,I know what I am talking about.Ukitaka taarifa zaidi kuhusu swala hili zipi,ila taarifa hii niliyokupa ndiyo yenyewe,from Jesus Himself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…