Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maelezo kila mtu anayafahamu usijidai unajua sana hapa, nilichokiandika na ulichokiandika wewe ni vitu viwili tofauti.Umri siyo warrant ya Kifo. Hata wewe waweza kufa ukiwa na umri unaoringia.
Nikifa wewe utapata hasara au faida gani?Eee bana kufa basi uridhike aah unaona wivu hadi kwa msiba wa mheshimiwa.
SureHakuna pengo Lolote
Mr Omar Juma was a trusted friend and close ally of Mr Mkapa and had been his vice president since the Tanzanian leader came to power in 1995. He was seen as a possible successor to Mr Mkapa when he steps down in 2005.Hata huyo Omar Juma makamu wake wa Rais walimfanya kitu kibaya wenyewe
Ndo uone akili za watz zilivyo. Watu wastani wao wa kuishi umri haufiki miaka 70, mzee kapiga zaidi ya 80, bado wanatafuta wachawi. Watanzania wangapi wanafikia umri wake?
Na kwa mwili wa mzee huyu miaka yote lazima alikuwa na magonjwa kadhaa kama BP, Kisukari, etc. Sema tu quality ya maisha yake ilimsaidia kuishi vizuri. Sitashangaa wakisema alipata stroke au heart attack. Mwili wake unaruhusu magonjwa hayo.
Ni kawaida viongozi wengi wa kiafrica wakitoka madarakani hujutia mabaya waliyofanya.Ninachoshukuru Mungu huyu mzee alibadilika sana mwishoni. Hata akiongea alionekana alikuwa anajutia maamuzi mengi aliyoyafanya huko nyuma ikiwemo kumpigia chapuo Magu kuwa raisi. Siku moja aliwaponda hadharani watu wanaosema raisi Magufuli amefanya hivi akawaambia waseme CCM imefanya hivi..
Hili ni pengo kubwa sana kwa Taifa letu. Hakika MOLA wetu ndiye alitoa, na pia ndiye ambaye amemtwa mja wake. Jina lake BWANA na likapate kuhimidiwa. Amen [emoji120] Pole nyingi sana kwa familia yake, na pole nyingi pia kwa Watanzania wote ambao wanaguswa na msiba huu mzito.
Nikifa wewe utapata hasara au faida gani?
iPerhaps Corona pia maanna gathering zote za vikao vya ccm Ila muhumbili wanajua zaidiHata mimi nahisi itakuwa ni hayo mawili: heart attack au bp.
Na jamaa alikuwa obese kiasi...
Sio kutafuta mchawi, kila jambo linachanzo na kama chanzo ni uzee isimwe.
Ufisadi wa kutishaKuna jambo la kujifunza kwa kifo cha mzee Mkapa
1.Binadamu wote njia yetu ni moja
2.Kifo sio Mali ya Binadamu bali ni Mungu mwenyewe hivyo hatuna sababu yakutoa uhai wa MTU awaweyote kwa sababu yoyote...
Hii inaondoa kifo?Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Tuishi vizuri na watu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Mtume Mwamposa?Kweli dunia ni njia kama anavyosema mtume kuwa
Ishi katika dunia kanakwamba ni mgeni au mpita njia