Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
Peace and harmony. Tofauti za kiimani zisiwe kigezo cha ubaguzi. Ishi imani yako na wengine waishi imani zao.

Wewe u nani uwahesabiaye wengine makosa na kujihesabia haki? Haikuandikwa Mungu ndiye hakimu wa haki? Tumwachie yeye ahukumuye.
Mimi nimeuliza ila nijue kama mayahudi yanasherekeaga Xmass
 
Wamewatakia wanaosherehekea Krismasi salamu za upendo na amani! Jirani yangu ni nani? Aliulizwa Yesu hilo swali kwenye ule mfano wa Msamaria!
Unatype sana wakat ni swala la kujibu kama wanasherekea au hawasherekei?
 
Back
Top Bottom