Kuna dini zimebeba jukumu la kuhukumu watu badala ya Mungu mwenyewe. Wakati vitabu vya dini zote vinatuambia kuna siku ya hukumuPeace and harmony. Tofauti za kiimani zisiwe kigezo cha ubaguzi. Ishi imani yako na wengine waishi imani zao.
Wewe u nani uwahesabiaye wengine makosa na kujihesabia haki? Haikuandikwa Mungu ndiye hakimu wa haki? Tumwachie yeye ahukumuye.