Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
🤣Uko sahihi, Taifa la uchuuzi.
Wote tunafanya uchuuzi.
Ni kuchuuza tu, kila kona fremu na mastoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Uko sahihi, Taifa la uchuuzi.
Wote tunafanya uchuuzi.
Mifumo yote imefeli, isipokuwa tu ya kuwasaka wapinzani na wakosoaji wa serikali, hiyo ndo iko vzr.Hii nchi kila kitu kimefichwa...
Sukari
Mafuta
Dola
Title ya mada uliweza kuiona au wewe ndiye bot?
😂😂Title ya mada uliweza kuiona au wewe ndiye bot?
😂😂😂😂😂(𝐈𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐍𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐨𝐦𝐞 𝐊𝐢𝐭𝐨𝐦𝐚𝐫𝐢)
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake.
Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa Marekani kulegeza masharti ya riba kwenye masoko yake ya fedha, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia na ya nchini na kuendelea kutoa bei elekezi na kufuatilia kwa karibu sekta ya fedha nchini.
Meneja Msaidizi Utafiti wa BoT, Dk. Lusajo Mwankemwa, amebainisha hayo alipotoa mada kuhusu majukumu ya taasisi hiyo benki hiyo wakati wa semina kwa waandishi wa habari, ambao walitaka kujua hatua zinazochukuliwa kuimarisha upatikanaji dola nchini.
"BoT tunajua na tunaona dola zipo ila ni ngumu kukufuata kutaka tuchukue dola nyumbani kwako, mimi (BoT) nitasema dola moja ni kiasi hiki (bei elekezi).
NIPASHE
Hahahaha watakuja kuficha funguo za ikuluNawaza tu siku wakificha pedi ivi itakuwaje???manake looklike wanaamua tu kwamba sasa ivi tufiche bidhaa fulani
Na sukari na umeme pia umefichwa?BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake.
Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa Marekani kulegeza masharti ya riba kwenye masoko yake ya fedha, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia na ya nchini na kuendelea kutoa bei elekezi na kufuatilia kwa karibu sekta ya fedha nchini.
Meneja Msaidizi Utafiti wa BoT, Dk. Lusajo Mwankemwa, amebainisha hayo alipotoa mada kuhusu majukumu ya taasisi hiyo benki hiyo wakati wa semina kwa waandishi wa habari, ambao walitaka kujua hatua zinazochukuliwa kuimarisha upatikanaji dola nchini.
"BoT tunajua na tunaona dola zipo ila ni ngumu kukufuata kutaka tuchukue dola nyumbani kwako, mimi (BoT) nitasema dola moja ni kiasi hiki (bei elekezi).
"Siwezi kuja nyumbani kwako wewe uliyezihifadhi nikikwambie lazima kuuza kwa bei hii, BoT jukumu lake ni kutoa mwongozo wa kuhakikisha bidhaa hiyo inapatikanaje," amesema.
Pia soma:
- BoT: Mnaoshikilia Dola mziweke sokoni kwenye mfumo rasmi
Na afadhali kama hawajasema CHADEMA ndio imeficha.Hii nchi kila kitu kimefichwa...
Sukari
Mafuta
Dola