Ccm ni jangaKuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Aliacha hakuna kitu, serikali ilikuwa inakopa kwa wafanyabiashara kina rostam!Hivi yule raisi mwingine aliacha kiasi gani?
Nimekuelewa sana.Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Kwanza sio kweli kwamba kuna fedha kama hiyo..Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Kwani ilikuwa ni lazima?na sababu ya serikali kukataa lock down ilikuwa ni nini tena ?
Asalaam aleykum bi Faiza! Heri ya mfungo wa Ramadhan! Nilikumiss mno humu jukwaani.Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Eeehh umefufuka!!!Kuwa na akiba iliyorundikana benki bila kuzunguka hakuna faida yoyote kwa yeyote bali ni hasra kubwa kwa wananchi. Hiyo hutumika kama dhamana za benki kuweza kuiingiza nchi kwenye hasara za kukopa zaidi.
Ulikufa na njaa?Mwenye wasiwasi anasemaje? Kwamba shughuli zimesimama?
Halafu huyo gavana na hayati hilo la kujimwambafai eti tunazo za kutosha miez 6 mbona ule mwez wa korona shughuli ziliposimama hawakulisha wananchi? Shei.nZi
Unaacha hoja unanirukia mimi, hutoweza. Nafahamu hoja ni nzito kwako.Jadili mambo ya CCM tu. Haya mengine yamekuzidi kimo kwa mbali sana, utaaibika bure tu.
Sasa anaongea na wanafunzi wa sekondari kweli tumuone ameongea serious kabisa?Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.
Source: ITV habari
Kama usemavyo ni sawa basi labda angesema tunaweza kuhimili mzunguko wa kibiashara za nje kwa miezi sita kwa takwimu za fedha za kigeni zilizopo kwenye mzunguko nchini.Kwanza sio kweli kwamba kuna fedha kama hiyo..
Nilikuwa napitia monthly reviews za B.O.T
Ni vichekesho
Hii nchi ya ajabu sana yani viiongozi sio ambitious kabisaEti hata kama uzalishaji utasimama
Yaani ndio sifa hizo
Kama usemavyo ni sawa basi labda angesema tunaweza kuhimili mzunguko wa kibiashara za nje kwa miezi sita kwa takwimu za fedha za kigeni zilizopo kwenye mzunguko nchini.