Hiyo pesa ya Japan [emoji384] unaitoa wap wakati hakuna chochote unachouza Japan.Unanunua kwa pesa ya Japan sio lazma Dollar
Kuchapisha pesa hakujawahi kuwa Suluhu ya uchumi dhaifu. Badala yake huleta dhahama!!!They will print the fiat currency!
Hizo akili zakufabya hivyo zipo sasa.Afrika ikisimama yenyewe anaweza kuwa mzalishaji mkubwa wa tatu duniani ,baada ya Marekani na china.
Tunaweza kufanya kama ulaya wanavyotumia EURO na hiyo currency ndio itatumika kuleta balance of payments
Hii ndiyo hoja ya kujadili!!Hizo akili zakufabya hivyo zipo sasa.
Hapo ni tega nikutege. Kama wanazo si wazitoe tu!!Kwa nini bank kuu isitoe hizo dolla wanazosema wanazo ili walioficha wapate hasara?
Hii Nchi hii!!View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Ni ngumu sana kwa watu hao kurudisha fedha zao walizoficha kwa urahisi kwa sababu Serikali ya Tz haiaminiki. Nyinyi BOT, Je, mnajua kwa uhakika kwamba "Kinyonga ana rangi?"View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa...
Absolutely, Je, hawajajifunza kutokana na vitendo vya namna hii vya Bw. Robert Mugabe kule Zimbabwe?Kuchapisha pesa hakujawahi kuwa Suluhu ya uchumi dhaifu. Badala yake huleta dhahama!!!
Tangu anateuliwa niliona janga, hivi nani anaweza kuficha fedha isiyo yake hadi ikaadimika?View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa...