Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

Ona huyu, anaambiwa dola yeye anasema kadi za ccm,
Tukiwaambia ccm itatawala miaka elf mbili mnapinga
Bwashee sio kila mahali ni siasa, kuwa siriasi wakati mwingine
Usijitoe akili, CCM inahusika kwa kila kitu kwenye hili la kupungua kwa dola na mengineyo.
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Dolla zipo huko nje wajanja wamezikwapua halafu mnaimb eti wazirudishe ebo nchi haiendeshwi hivyo ,beral zilivyozuiliwa wanafiki si walipga kelele sasa kikowapi
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Wacha wafiche zote ili tushindwe kuagiza toka nje, halafu akili za kuzalisha vya ndani ndio zitatujia...
 
Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?

Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?

Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.

"Toothless bulldog"
Bi tozo wala halimhusu ueye amedondokewa na embe dodo full kula bats hata nchi ikidondoka yey ataridi zake kizimkaze
 
Usiturudishe kwenye ule UHAYAWANI wa
MAGUFULI. Kunya g'anya fedha za mtu aliyezitolea jasho lake siyo uungwana. Ndiyo maana JITU lile lilikufa tarrhe 17/ 03/21.
Wewe ni mnufaika na dorra kupande ,achieni dorra mlizo zificha
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Jamani kama walioficha hizo dolali si mchukue hatua !! Ya nini kulalamika while you have authority to handle all issues concerning fedha. Mnaliabisha taifa kwenye uso wa dunia.
 
Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?

Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?

Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.

"Toothless bulldog"
Magufuli alivyopora watu sukari, sukari ilishuka bei?

Magufuli alivyopora watu hela zao, hukuona baadhi ya benki zilivyofilisika?

Magufuli alivyokuwa anaimba kila siku tunajenga nchi kwa hela za ndani, deni la taifa lilipungua?

Usifiche uchafu wa ngozi kwa kupaka mafuta!
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Tutuba, sarafu ya BRICS vipi?
 
Kwenye ukoo na familia yako hakuna "majitu" yaliyokufa!? Nao walinyang'angya fedha za nani!? Kuwa na heshima.
Walikufa natural death, ila huyu Magufuli alikufa kwa madhambi aliyojibebesha!
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Benki kuu inaongozwa na vilaza hawajui wanachofanya!! Kupatikana kwa dollar katika mzunguko huja kwa sera mahiri za fedha na sio kuomba watu waachie dollar zao!!
Hayo ndio matokeo ya kuchagua watu kuongoza taasisi nyeti kwa kujuana na sio weledi!
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Tumezificha mahala salama.
 
Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?

Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?

Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.

"Toothless bulldog"
Unategemea mama Abdul awachukulie hatua wafadhiri wake wa Royal Tour? She is in bed with the Tanzanian Mafia!
 
Yule mwamba alikuwa na maono ya mbali sana...upuuzi wa hivi haukuwahi kutokea... RIP Jiwe.
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Wameficha au wamejitunzia?
 
Halafu hiyo hela ya Afrika utaitumia kufanyia nini wakati hamtengenezi chochote?

Mjapan atakubali kuuza V8 zake kwa pesa ya madafu, ya Afrika?
Unanunua kwa pesa ya Japan sio lazma Dollar
 
walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko
Katoa mchongo kwa umma, kwa wale wenye dola ukificha dola sasa hivi utatengeneza faida kubwa baadae.

Sasa kwa nn nizitoe ???

Kama kuweka dollar ndani kuna faida kubwa kuliko kuiweka kwenye mizunguko ya miradi ya daladala za Mbagala na Kimbiji kwa mpika uji, why the eff niitoe chimbo dollar yangu you brain dead duschebag central bank governor ???
 
Halafu hiyo hela ya Afrika utaitumia kufanyia nini wakati hamtengenezi chochote?

Mjapan atakubali kuuza V8 zake kwa pesa ya madafu, ya Afrika?
Maana yake, siyo vizuri kutegemea Currency moja kwa uchumi wa Dunia. Wenye nazo wakiamua, uchumi wa Dunia unayuba
 
Back
Top Bottom