Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Wale wale!!!
 
Akili ya mbayuwayu changanya na zakwako pia soma somo la social inference
 
Halafu hiyo hela ya Afrika utaitumia kufanyia nini wakati hamtengenezi chochote?

Mjapan atakubali kuuza V8 zake kwa pesa ya madafu, ya Afrika?
Afrika ikisimama yenyewe anaweza kuwa mzalishaji mkubwa wa tatu duniani ,baada ya Marekani na china.

Tunaweza kufanya kama ulaya wanavyotumia EURO na hiyo currency ndio itatumika kuleta balance of payments
 
View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.

Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.

Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?

Hivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?

Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?

Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.

"Toothless bulldog"
"Wakitajwa nchi itatikisika"
 
Mnashindwa hata kuwa na akiba ya dhahabu wakati zimejaa ardhini na watu wanafukua kila kukicha

Kuna nchi hawana madini ila wanatuzidi kwa uwekezaji na wanazihifadhi matani mengi tu
Eti ndio binadamu wa kwanza duniani what a joke kweli wazungu wanatukebehi kama watani zao
Unakuta mtu yuko busy kufukunyua history kuthibitisha kwamba waafrika ndio Jamii ya kwanza kustaarabika. Jamani
 
Back
Top Bottom