Wacha udini na kutoa habari chonganishi humu ,kila tatizo letu unataka kuwapandikizia wafata kristo .
Pale amana mpaka muosha choo ni waislamu , kwa kuwa wamefeli haimaanishi wakristo ndio sababu.
Personally nliwauliza wakuu pale itakuwaje na gharama za running a bank zipo juu bila interest mtamaintain ? Walinipa majibu basic sana.
Benki inaitaji IT systems ,security,staff , na other ancilliary expenses ambazo sio cheap bila interest au makato inakiwaje ?
Mbona NMB ,CRDB mpaka benki za kenya na rwanda zinaunda faida bongo na wakristo hao hao wapo humo ???
Ile benki ina management mbovu , that is the truth
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app