Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sina furaha. Kwani inanisaidia nn mkuu. Bank za kiislam zinakufa tu na ni kawaida bank kufa usidhani ni mwisho wa dunia zikifaInaonekana una furaha sana hii benki ife.Nakuhakikishia kama wakifuata ushauri wangu itadumu mpaka kiama. Hakuna historia ya benki za kiislamu kufa kwa kushindwa kujiendesha.
sasa hiyo faida ya 500 si ndio riba yenyewe, kwanini pasiwe nayo kabisa?Hi ni simple tu unaenda pale kukopa pesa kujenga nyumba unaombwa BOQ yako yote wananunua hivyo vifa vya ujenzi wanakuuzia kwa faida ndogo e.g nyundo zinauzwa 13000, wenyewe watakuuzia kwa 13500 kila nyundo faida yao ni sh 500 kila nyundo kwa mwezi au mwaka kulingana na makubaliano, wewe ndo unae wapeleka unako taka kununua hiyo sio riba ni faida......hiyo nyumba ikipata dhoruba hasara mnaigawana pasu kwa pasu
Mimi ni muislamu na natumia hii Bank kupitishia mshaharaHii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.
Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana kukua kwa kasi. Hata hivyo katika siku za karibu kwa mtazamo wa kimteja nimeona kuna shida zisizotatulika.
Katika pita pita yangu nimekutana na jamaa mwenye taarifa za ndani ambaye amethibitisha kuna hujuma za ndani kwa ndani zinazoendeshwa na wafanyakazi ambao kama wametumwa wafanye kazi hiyo.Kwa upande mwengine kuna benki nyengine ambazo zinakiuka sheria za BOT na kuacha ushirikiano na benki hii tena bila kukemewa.
inajulikana benki yoyote ya kiislamu duniani haiwezi kufilisika kwa njia za kawaida.Hata hivyo panapokuwa na hujuma zinazoendelea ndani kwa ndani hilo si ajabu kutokea.
Kuna tetesi kuwa wale waliopigania uanzishwaji wake na kupelekea furaha kwa jamii ya kiislamu na faida kubwa kwa wananchi kwa jumla walipoona wimbi la ufisadi na mbinu zao kuzidiwa na watu hao waliamua kukaa pembeni kuliko kuangalia kinachotokea.
Moja ya matawi muhimu ya benki ya Amana ni pale Tandamti ambapo awali wafanyabiashara wakubwa wa kiislamu walijazana kuweka fedha zao. Mara kadhaa nimekwenda nikakutana na wenzangu na mie wanaokwenda kutoa sh.10,000 za kununulia fungu la muhogo na dagaa. Inasemekana wengi wamekerwa na uzembe unaondelea wanapohitaji huduma kwenye benki hiyo.
Ushauri kama wapo wakereketwa wa benki ya Amana waliobaki katika uongozi wa juu basi wafukuze wapuuzi wote wanaotaka kutukanisha benki hiyo hasa kwenye vitengo ya teknohama na kila inapowezekana waanze kuajiri waislamu wenyewe kwanza wenye taaluma ya vitengo husika mbali mbali vya benki hiyo.
Salamu hizi zimfikie raisi Samia ili apeleke watu wake wakafuatilie mhimili huu wa uchumi iii mwaka wowote atakaondoka asije akaondoka na benki imekufa. Atabezwa kama alivyofanyiwa Kikwete aliyeondoka madarakani akiwawaacha masheikh wamerundikwa kwa makosa yasiyo na mbele wala nyuma.
Hiyo sio shida, kwenye uislamu Kuna course za uchumi kwa mujibu wa uislamu.Wenye akili wakisoma bandiko lako wataishia hapa.
Mambo ya kiuchumi nyinyi mnataka kuingiza udini.... Hata kwenye swala la bandari tumeona ujinga kama huu
Riba wanayo, wanazingua tuBado sijaelewa benki isiyotoza riba kabisa inawezaje kumudu gharama za uendeshaji. Kwa ufupi, kinachotokea ndicho hasa kinachotarajiwa kuwapo, vinginevyo ingekuwa ni mshangao
Hii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.
Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana kukua kwa kasi. Hata hivyo katika siku za karibu kwa mtazamo wa kimteja nimeona kuna shida zisizotatulika.
Katika pita pita yangu nimekutana na jamaa mwenye taarifa za ndani ambaye amethibitisha kuna hujuma za ndani kwa ndani zinazoendeshwa na wafanyakazi ambao kama wametumwa wafanye kazi hiyo.Kwa upande mwengine kuna benki nyengine ambazo zinakiuka sheria za BOT na kuacha ushirikiano na benki hii tena bila kukemewa.
inajulikana benki yoyote ya kiislamu duniani haiwezi kufilisika kwa njia za kawaida.Hata hivyo panapokuwa na hujuma zinazoendelea ndani kwa ndani hilo si ajabu kutokea.
Kuna tetesi kuwa wale waliopigania uanzishwaji wake na kupelekea furaha kwa jamii ya kiislamu na faida kubwa kwa wananchi kwa jumla walipoona wimbi la ufisadi na mbinu zao kuzidiwa na watu hao waliamua kukaa pembeni kuliko kuangalia kinachotokea.
Moja ya matawi muhimu ya benki ya Amana ni pale Tandamti ambapo awali wafanyabiashara wakubwa wa kiislamu walijazana kuweka fedha zao. Mara kadhaa nimekwenda nikakutana na wenzangu na mie wanaokwenda kutoa sh.10,000 za kununulia fungu la muhogo na dagaa. Inasemekana wengi wamekerwa na uzembe unaondelea wanapohitaji huduma kwenye benki hiyo.
Ushauri kama wapo wakereketwa wa benki ya Amana waliobaki katika uongozi wa juu basi wafukuze wapuuzi wote wanaotaka kutukanisha benki hiyo hasa kwenye vitengo ya teknohama na kila inapowezekana waanze kuajiri waislamu wenyewe kwanza wenye taaluma ya vitengo husika mbali mbali vya benki hiyo.
Salamu hizi zimfikie raisi Samia ili apeleke watu wake wakafuatilie mhimili huu wa uchumi iii mwaka wowote atakaondoka asije akaondoka na benki imekufa. Atabezwa kama alivyofanyiwa Kikwete aliyeondoka madarakani akiwawaacha masheikh wamerundikwa kwa makosa yasiyo na mbele wala nyuma.
Ishu kubwa tunashindwa kusimamia mambo, tusimtafute mchawiHii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.
Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana kukua kwa kasi. Hata hivyo katika siku za karibu kwa mtazamo wa kimteja nimeona kuna shida zisizotatulika.
Katika pita pita yangu nimekutana na jamaa mwenye taarifa za ndani ambaye amethibitisha kuna hujuma za ndani kwa ndani zinazoendeshwa na wafanyakazi ambao kama wametumwa wafanye kazi hiyo.Kwa upande mwengine kuna benki nyengine ambazo zinakiuka sheria za BOT na kuacha ushirikiano na benki hii tena bila kukemewa.
inajulikana benki yoyote ya kiislamu duniani haiwezi kufilisika kwa njia za kawaida.Hata hivyo panapokuwa na hujuma zinazoendelea ndani kwa ndani hilo si ajabu kutokea.
Kuna tetesi kuwa wale waliopigania uanzishwaji wake na kupelekea furaha kwa jamii ya kiislamu na faida kubwa kwa wananchi kwa jumla walipoona wimbi la ufisadi na mbinu zao kuzidiwa na watu hao waliamua kukaa pembeni kuliko kuangalia kinachotokea.
Moja ya matawi muhimu ya benki ya Amana ni pale Tandamti ambapo awali wafanyabiashara wakubwa wa kiislamu walijazana kuweka fedha zao. Mara kadhaa nimekwenda nikakutana na wenzangu na mie wanaokwenda kutoa sh.10,000 za kununulia fungu la muhogo na dagaa. Inasemekana wengi wamekerwa na uzembe unaondelea wanapohitaji huduma kwenye benki hiyo.
Ushauri kama wapo wakereketwa wa benki ya Amana waliobaki katika uongozi wa juu basi wafukuze wapuuzi wote wanaotaka kutukanisha benki hiyo hasa kwenye vitengo ya teknohama na kila inapowezekana waanze kuajiri waislamu wenyewe kwanza wenye taaluma ya vitengo husika mbali mbali vya benki hiyo.
Salamu hizi zimfikie raisi Samia ili apeleke watu wake wakafuatilie mhimili huu wa uchumi iii mwaka wowote atakaondoka asije akaondoka na benki imekufa. Atabezwa kama alivyofanyiwa Kikwete aliyeondoka madarakani akiwawaacha masheikh wamerundikwa kwa makosa yasiyo na mbele wala nyuma.
Kama ni wasikivu watasikia hapa.Ishu kubwa tunashindwa kusimamia mambo, tusimtafute mchawi
1. Amana Bank kuchukua advance salary mzunguko Hadi mtu anaghairi
2. Ukichukua advance salary, mshahara ukiingia unakuta hawajakata pesa yao. Yaani inabidi mtu achukue pesa yake halafu awaachie pesa yao watakata muda wanaojisikia, ila mtu akitaka kuchukua yote anaweza kuchukua (japo huifungia akaunti yake)
Wanashindwa kujifunza hata kwenye mitandao ya simu??
3. Kupata mkopo ni mzunguko mrefu Bora hata uende CRDB au NMB
4. Mkopo wanajifanya wanakukopesha thamani (wanakununulia vitu ). Huu ni uongo na udanganyifu na haipo katika uislamu.
Pia riba ipo, tena inakaribiana na CRDB
5. Ukiwa mzembe (hujui hesabu) kwenye mkopo wanakulipisha hela nyingi zaidi
6. Kuna mfanyakazi mwenzetu alienda kutoa 400k ikagoma, Kadi ikatoka, akatoa tena ikagoma Kisha akatoa Mara ya tatu 400k.
Kwenye risiti wamemuandikia katoa 1.2M badala ya 400k
7. Mwezi uliopita Kuna mfanyakazi mwenzetu hajaingiziwa mshahara, kumuuliza HR anaambiwa itakuwa Benki ndio shida, kwenda Benki eti wanasema walimruka
8. Mwezi huu Kuna mfanyakazi mwenzetu, amejaza fomu ya advance salary ila hakupewa akaamua apotezee, umetoka mshahara wamemkata hiyo advance salary ambayo hawajampa
IN SUMMARY
Benki inaendeshwa kihuni, inapoteza wateja, mwisho wa siku mnaanza lawama Kama hizi
Kwanza Amana Bank hawakopeshi pesaBasi kama wa riba tuabie rate yao, pia usema huduma zao zingine za ziada zinazo tozwa wateja ili tulinganishe na beki zingine, bila hivo zitabiki kua hujuma kama hujuma zingine za biashara.
Nilitaka nikufahamishe kuhusu uendeshaji wa Benki za kiislamu, shida ushaingiza udini, Bora nikuachena ofcourse principles za kiuchumi alizoleta mohamad ni za uongo, utaendeshaje bank, utalipate mishahara, na gharama zingnie bila kupata pesa ya ziada? na kama ipo wasiseme hakuna riba, waseme tu kuna riba. wenzao waarabu kwasababu wana pesa hua wanazifanya hizo bank kuwa ni services kwa raia wakiona inataka kudondoka wanaipush kwa pesa zao, hawa sasa wameingia kichwa kichwa, bank inafilisika, hakuna wa kulaumu kwasababu uongozi woooote ni wa waislam na wafanyakazi wooote ni waislam, wanahangaika kutafuta wapi watamwingiza mgalatia hawapaoni, wamebaki kutapatapa. jidhihirisheni mumtetee muanzisha dini wenu kuwa principles zake za uchumi zinafanya kazi kwa kupitia bank yenu, mkishindwa mrudi mumpokeee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu kwasababu mtajua mliingia cha kike. mlidanganywa kuwepo kwenye hiyo dini. jiteteeni sasa tuwaone.
enzi za Eliya Mtishibi kule Israel, aliwaita hivyo hivyo muombe moto ushuke, mliomba hadi mkajikatakata hakuna moto ulishuka, Eliya alipomwomba Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel ambaye ndiye aliyewaumba hata ninyi na anapenda mumrudie hata leo, moto ulishuka ukalamba mawe hadi maji. kwahiyo huko kushindwa kwenu sio kwa mara ya kwanza, mtaendelea kushindwa milele mbele ya wale wanaomwambini Mungu wa Kweli, Mungu wa Israel.
Mkuu hapo alie sema uongo ndo mwenye kosa sio benki, kwahiyo uaiseme kwamba wanatoza riba, mtu kanunua gari sh 15m kakuuzia 17m hiyo ni biashara na ziada ni faida sio riba.Kwanza Amana Bank hawakopeshi pesa
Wanakopesha thamani Kama nyumba, gari, pikipiki nk
Wanachokifanya, mfano Mimi nataka nikope gari
Natakiwa kwenda kwa wauzaji magari, nikubaliane nao Bei Kisha wanipe invoice statement
Mimi nawapelekea Amana, Kisha hao wanamlipa muuza gari directly na Mimi naenda kuchukua gari (watu wengi huwapanga wauzaji, huchukua pesa badala ya kitu kinachouzwa)
_ kwanza huu ni uhuni maana wao haikwepeki wamekopesha pesa sio gari.
Kama gari ni 15M unaweza ukajikuta unalipa 17M kasoro
Pia kupata huo mkopo lazima Kuna wajuba uwape hongo bila ya hivyo wanakuzungusha mno
Nilivyofanya calculation zangu nikapata riba ya 12.5% japo Kuna mfanyakazi mmoja tumemuuliz (kwa simu) anajifanya hajui
Wewe ulishawshi kuona mkombozi benki inatangaza na fasi za kazi? Hilo tangazo lilete hapa tulione kama ulisha wahi.Amana bank huwa wana ajili vp? Sijawahi kuona tangazo mtandaoni wakihitaji wafanyakazi, hii huenda inasababisha benki kukosa watu wenye weledi na washindani.
Una parochial understanding katika masuala ya uchumi ubongo wako umeja jaziba na chuki za kidini.na ofcourse principles za kiuchumi alizoleta mohamad ni za uongo, utaendeshaje bank, utalipate mishahara, na gharama zingnie bila kupata pesa ya ziada? na kama ipo wasiseme hakuna riba, waseme tu kuna riba. wenzao waarabu kwasababu wana pesa hua wanazifanya hizo bank kuwa ni services kwa raia wakiona inataka kudondoka wanaipush kwa pesa zao, hawa sasa wameingia kichwa kichwa, bank inafilisika, hakuna wa kulaumu kwasababu uongozi woooote ni wa waislam na wafanyakazi wooote ni waislam, wanahangaika kutafuta wapi watamwingiza mgalatia hawapaoni, wamebaki kutapatapa. jidhihirisheni mumtetee muanzisha dini wenu kuwa principles zake za uchumi zinafanya kazi kwa kupitia bank yenu, mkishindwa mrudi mumpokeee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu kwasababu mtajua mliingia cha kike. mlidanganywa kuwepo kwenye hiyo dini. jiteteeni sasa tuwaone.
enzi za Eliya Mtishibi kule Israel, aliwaita hivyo hivyo muombe moto ushuke, mliomba hadi mkajikatakata hakuna moto ulishuka, Eliya alipomwomba Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel ambaye ndiye aliyewaumba hata ninyi na anapenda mumrudie hata leo, moto ulishuka ukalamba mawe hadi maji. kwahiyo huko kushindwa kwenu sio kwa mara ya kwanza, mtaendelea kushindwa milele mbele ya wale wanaomwambini Mungu wa Kweli, Mungu wa Israel.
Lengo ni kulinganisha mbaya zaidi?Wewe ulishawshi kuona mkombozi benki inatangaza na fasi za kazi? Hilo tangazo lilete hapa tulione kama ulisha wahi.
Mimi sina la kufanya.Hatutaki watu wazembe na wasiosikiliza maoni.Alwaz aka @Ami njoo huku...benki yenu ya Amana imepost hasara ya 1.1bil Sept 2023, naona uhujumu umepamba moto....fanyeni mambo muiokoe kabla haijafungwa
Wenzenu wametengeneza faida ya mabilioni lakini Amana banki wao wanatengeneza hasara ya mabilioni
![]()
Tier-2 banks nearly triple total profit
The collective profit posted by second-tier banks in Tanzania jumped by 192 percent during the first three quarters of this year.www.thecitizen.co.tz
Safi sana, you're a great thinker. Hapa Tanzania kila failure tunasingizia hujuma wakati unakuta wafanyakazi hawana professionalism, wanaajiriwa kwa connection, usimamizi mbovu, ufisadi mwingi alafu kampuni ikifa unasikia "hujuma".Inayoitwa hujuma ni ya watu wa ndani wala sio ya washindani wa nje, na unaweza kuta ni gross incompetency sio kwamba wanaamua tuhujumu.
Yaani nahitaji pesa nikanunue passo ya milioni 8 unaninyima ela unaenda kuninunulia hiyo passo na kunidai milioni 10 alafu unaniambia hakuna riba?? Natakiwa niwe mbumbumbu kwanza ndio niamini huo upuuzi, kitu bila riba nipe milioni kumi nikurudishie milioni kumi kwa muda wa miaka mitano, hiyo ndiyo interest free, out of that ni utapeli kama utapeli mwingineKasome islamised economics ujue tofauti ya riba (interest) na faida (profits) tatizo lenu mnakurupuka bila kua analytical katika jambo unalo paswa kujufunza kwanza.