Benki ya Amana inahujumiwa

Benki ya Amana inahujumiwa

na ofcourse principles za kiuchumi alizoleta mohamad ni za uongo, utaendeshaje bank, utalipate mishahara, na gharama zingnie bila kupata pesa ya ziada? na kama ipo wasiseme hakuna riba, waseme tu kuna riba. wenzao waarabu kwasababu wana pesa hua wanazifanya hizo bank kuwa ni services kwa raia wakiona inataka kudondoka wanaipush kwa pesa zao, hawa sasa wameingia kichwa kichwa, bank inafilisika, hakuna wa kulaumu kwasababu uongozi woooote ni wa waislam na wafanyakazi wooote ni waislam, wanahangaika kutafuta wapi watamwingiza mgalatia hawapaoni, wamebaki kutapatapa. jidhihirisheni mumtetee muanzisha dini wenu kuwa principles zake za uchumi zinafanya kazi kwa kupitia bank yenu, mkishindwa mrudi mumpokeee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yenu kwasababu mtajua mliingia cha kike. mlidanganywa kuwepo kwenye hiyo dini. jiteteeni sasa tuwaone.

enzi za Eliya Mtishibi kule Israel, aliwaita hivyo hivyo muombe moto ushuke, mliomba hadi mkajikatakata hakuna moto ulishuka, Eliya alipomwomba Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel ambaye ndiye aliyewaumba hata ninyi na anapenda mumrudie hata leo, moto ulishuka ukalamba mawe hadi maji. kwahiyo huko kushindwa kwenu sio kwa mara ya kwanza, mtaendelea kushindwa milele mbele ya wale wanaomwambini Mungu wa Kweli, Mungu wa Israel.
Mifumo ya benki za kiislamu ipo nje ya Uarabuni zaidi.Malaysia ,South Afrika mpaka UK na nchi nyengine kadhaa.Na kote wamethibitisha ni mfumo madhubuti wa kiuchumi.Umeletwa na muumba wa Ulimwengu na kudokezwa na Mtume wake SAW huwezi kukuta kasoro unazosema.Na miamala yake inatia pesa nje nje kuliko benki yoyote ile.Muhimu wawepo wateja tu.
 
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.

Kundi kubwa lipi,la hawa waisalamu wa temeke,kariakoo na magomeni ndio unaona kundi kubwa ambao na wenyewe ni hohehahe.
 
Mifumo ya benki za kiislamu ipo nje ya Uarabuni zaidi.Malaysia ,South Afrika mpaka UK na nchi nyengine kadhaa.Na kote wamethibitisha ni mfumo madhubuti wa kiuchumi.Umeletwa na muumba wa Ulimwengu na kudokezwa na Mtume wake SAW huwezi kukuta kasoro unazosema.Na miamala yake inatia pesa nje nje kuliko benki yoyote ile.Muhimu wawepo wateja tu.

Sasa mbona hatuzisikii ulimwenguni na tunazozisikia ndio kama hii amana tiatia maji pangu pakavu mnakuja kulialia,au mmemkufuru mungu wa waarabu?
 
haujaletwa na muumba wa ulimwengu huu, allah hajaumba chochote na sio Mungu wa kweli. basi kama kwenye hizo nchi wamefanikwa, kawaulizeni walifanyaje ili muache kulialia na kurusha lawama kwa wagalatia.
 
Sasa mbona hatuzisikii ulimwenguni na tunazozisikia ndio kama hii amana tiatia maji pangu pakavu mnakuja kulialia,au mmemkufuru mungu wa waarabu?

Strongest Islamic banks in 2021

World's largest Islamic banks in 2022

Note: Countries include Bahrain, Egypt, Indonesia, Kuwait, Malaysia, Pakistan, Qatar, Saudi Arabia, Turkey, and United Arab Emirates. At end-2013, there were about 410 Islamic banking institutions worldwide, including the fully Shari'ah compliant banking systems in Iran and Sudan.
 
Inayoitwa hujuma ni ya watu wa ndani wala sio ya washindani wa nje, na unaweza kuta ni gross incompetency sio kwamba wanaamua tuhujumu.

Ingekuwa ni benki ya wazee wa waraka wa bandari usingesikia haya mambo ya sijui hujuma sijui wafanyakazi wanafanya makusudi. Hakuna marupurupu makubwa kwa wafanyakazi, wanajilinganisha na wenzao wa benki nyingine hivyo mwenye uwezo mkubwa hawezi kaa hapo mnabaki na wanyonge wasiokuwa motivated.

Benki ina shareholders wa aina gani na management gani, kama wamekaa kiimani sana badala ya kibiashara lazima tatizo liwepo kwenye uendeshaji, hiyo siyo charity.

Uongozi mbovu unaharibu sana benki hasa hapo Kenya bora hata sisi Tanzania ushindani sio mkubwa sana.

Alafu bila riba hakuna banking system, Saudi Arabia wana mapato ya mabilioni ya dola kutokana na mafuta kwa mwaka ila wana riba ambayo sababu ni haramu wanaiita 'tozo'.

Anayetozwa tozo na anayelipa riba wote wanatoa in monetary terms, ila tozo ni halali. Waitaliano walipoanzisha banking system baadae ikavamiwa na Wayahudi hawakuipa sura ya kutoa hela bure na ukarudishiwa, na mifumo iko hivyo hivyo ni vigumu kubadilisha. Hiyo ni biashara.
Comment mjarabu Sana hii
 
Strongest Islamic banks in 2021

World's largest Islamic banks in 2022

Note: Countries include Bahrain, Egypt, Indonesia, Kuwait, Malaysia, Pakistan, Qatar, Saudi Arabia, Turkey, and United Arab Emirates. At end-2013, there were about 410 Islamic banking institutions worldwide, including the fully Shari'ah compliant banking systems in Iran and Sudan.

Basi nendeni mkawaulize wamefanya nini,ila hao ni guru kwenye islamic banking na sio kwenye world banking system,ni sawa na kutafuta guru kwa ka group kadogo kawamachinga halafu najitapa ndio wafanyabiashara wakubwa duniani.
 
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.
Muda utaongea. Kama haitakufa kabisa hautaona ikikua. Itakuwa bank dumavu
 
Muda utaongea. Kama haitakufa kabisa hautaona ikikua. Itakuwa bank dumavu
Wakifuata ushauri wangu ufuatao itakuwa benki moja kubwa Tanzania na kuzipindua benki zote za riba.
1.Bodi ya benki itoe mwezi mmoja tu kwa wahusika wa teknohama kuondosha udororo wowote uliokuwepo kabla
2.Muda huo wa mwezi mmoja watayarishe timu nyengine ya wataalamu kujiandaa kushika nafasi iwapo hali haikurekebishwa.
3.Wapeleke malalamiko rasmi kwa benki kuu kwa kila benki inayopunguza ushirikiano nayo hasa katika miamala ya TISS na mabadilishano ya hawala kwa jumla.
4.Wafuatilie vijana wapenda rushwa katika kutoa huduma kama vile za mikopo.Rushwa haikubaliki kabisa katika uislamu na kwenye benki ndio zaidi.
.5.Wapunguze waajiriwa wa kike ambao mwishowe huleta mipasho na midemko ya kimitindo ndani ya benki.
Wakianza na hayo watanitafuta wanipe bahshishi na mimi sitajitokeza kwa hilo kwani nia yangu ni ufanisi wao tu sina haja ya kulipwa na wao.
 
Hii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.

Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana kukua kwa kasi. Hata hivyo katika siku za karibu kwa mtazamo wa kimteja nimeona kuna shida zisizotatulika.

Katika pita pita yangu nimekutana na jamaa mwenye taarifa za ndani ambaye amethibitisha kuna hujuma za ndani kwa ndani zinazoendeshwa na wafanyakazi ambao kama wametumwa wafanye kazi hiyo.Kwa upande mwengine kuna benki nyengine ambazo zinakiuka sheria za BOT na kuacha ushirikiano na benki hii tena bila kukemewa.

inajulikana benki yoyote ya kiislamu duniani haiwezi kufilisika kwa njia za kawaida.Hata hivyo panapokuwa na hujuma zinazoendelea ndani kwa ndani hilo si ajabu kutokea.

Kuna tetesi kuwa wale waliopigania uanzishwaji wake na kupelekea furaha kwa jamii ya kiislamu na faida kubwa kwa wananchi kwa jumla walipoona wimbi la ufisadi na mbinu zao kuzidiwa na watu hao waliamua kukaa pembeni kuliko kuangalia kinachotokea.

Moja ya matawi muhimu ya benki ya Amana ni pale Tandamti ambapo awali wafanyabiashara wakubwa wa kiislamu walijazana kuweka fedha zao. Mara kadhaa nimekwenda nikakutana na wenzangu na mie wanaokwenda kutoa sh.10,000 za kununulia fungu la muhogo na dagaa. Inasemekana wengi wamekerwa na uzembe unaondelea wanapohitaji huduma kwenye benki hiyo.

Ushauri kama wapo wakereketwa wa benki ya Amana waliobaki katika uongozi wa juu basi wafukuze wapuuzi wote wanaotaka kutukanisha benki hiyo hasa kwenye vitengo ya teknohama na kila inapowezekana waanze kuajiri waislamu wenyewe kwanza wenye taaluma ya vitengo husika mbali mbali vya benki hiyo.
Salamu hizi zimfikie raisi Samia ili apeleke watu wake wakafuatilie mhimili huu wa uchumi iii mwaka wowote atakaondoka asije akaondoka na benki imekufa. Atabezwa kama alivyofanyiwa Kikwete aliyeondoka madarakani akiwawaacha masheikh wamerundikwa kwa makosa yasiyo na mbele wala nyuma.
Amana bank Tanzania kuna makosa ya uongozi siyo hujuma.

Waliokuw wanaiendesha au wanaoiendesha hiyo benki, utaalaam wao upo kwenye biashara au benki za kibiashara.

Nawashauri Amana wachukuwe partners benki za zamani za Kiislam zilizofanikiwa Kimataifa kama vile Faisal Islamic Bank, watashinda.

Nje ya hapo, hakuna waongozaji benki ya Kiislam ndani ya Amana Bank.

Msitafute mchawi wakati wachawi ni wenyewe wenye benki, wameiendesha kienyeji sana. Banking Industry ni "dynamic" huwezi kuiendesha kama biashara za kawaida.
 
Asante dada.Najua na wewe unawafikia kirahisi utawapasha ana kwa ana.
 
hiyo kutotoza riba ndio nguzo kubwa inayozishikilia benki za kiislamu zisianguke.Na jiulize kwa nini benki nyengine zimeamua kufuata mfumo huo.Tatizo linaloinyemelea Amana bank ni kama ilivyoelezwa hapo juu.Kuna mapandikizi wengi.
Amana Benki wanatoza Riba Mimi ni Muslim na ni mteja wa Benki hiyo sema wanaficha na Kuna hadithi mtume anasema Kuna "kipindi kitafika Riba itapewa majina mengi" mara tozo mara mirabaha Lakini
kimsingi ni Riba

Sema Hilo neni Islamic Banking ni mkakati wa Kibiashara kuteka jamii fulani ya wateja na naona Benki nyingine wameona hiyo fursa waka adopt mfano CRDB wana albarakh account, KCB na NBC

Pili hii Benki Ina makato makubwa Mimi mpaka nimeachana nayo natumia Benki nyingine Huduma kwa mteja mbovu alafu uswahili mwingi
 
Ninge kushauri to take your time ujifunze jinsi Islamic banking system inavo operate, pesa ya kuhudumia wafanya kazi inapatikana vizuri, haitowi huduma bure inacho tafoutisha na banki zingine ni mambo kama matatu au mawili hususani pale katika kukopa kerejesha na kushindwa kulipa, ukisoma islamised economics hizo oparation are very alaborated. Tatizo letu wabongo hatupendi kusoma vitabu.
naona huo mfumo ungefaa kwenye nchi ya kiislam,,,,,huku kwenye nchi zisizo za kidini huoo mfumo unatumika vibaya na wafanyakazi wengi ndo wanaoharibu ,,,,,huduma za islamic banking zimekua nyingi nchini na kwa benki nyingi ila kuna loopholes wameziona humo na wanazitumia
 
Amana Benki wanatoza Riba Mimi ni Muslim na ni mteja wa Benki hiyo sema wanaficha na Kuna hadithi mtume anasema Kuna "kipindi kitafika Riba itapewa majina mengi" mara tozo mara mirabaha Lakini
kimsingi ni Riba

Sema Hilo neni Islamic Banking ni mkakati wa Kibiashara kuteka jamii fulani ya wateja na naona Benki nyingine wameona hiyo fursa waka adopt mfano CRDB wana albarakh account, KCB na NBC

Pili hii Benki Ina makato makubwa Mimi mpaka nimeachana nayo natumia Benki nyingine Huduma kwa mteja mbovu alafu uswahili mwingi
wamebadili neno riba tu kua tozo na maneno mengine ila ni kilekile
 
Amana Benki wanatoza Riba Mimi ni Muslim na ni mteja wa Benki hiyo sema wanaficha na Kuna hadithi mtume anasema Kuna "kipindi kitafika Riba itapewa majina mengi" mara tozo mara mirabaha Lakini
kimsingi ni Riba

Sema Hilo neni Islamic Banking ni mkakati wa Kibiashara kuteka jamii fulani ya wateja na naona Benki nyingine wameona hiyo fursa waka adopt mfano CRDB wana albarakh account, KCB na NBC

Pili hii Benki Ina makato makubwa Mimi mpaka nimeachana nayo natumia Benki nyingine Huduma kwa mteja mbovu alafu uswahili mwingi
Basi kama wa riba tuabie rate yao, pia usema huduma zao zingine za ziada zinazo tozwa wateja ili tulinganishe na beki zingine, bila hivo zitabiki kua hujuma kama hujuma zingine za biashara.
 
Wakifuata ushauri wangu ufuatao itakuwa benki moja kubwa Tanzania na kuzipindua benki zote za riba.
1.Bodi ya benki itoe mwezi mmoja tu kwa wahusika wa teknohama kuondosha udororo wowote uliokuwepo kabla
2.Muda huo wa mwezi mmoja watayarishe timu nyengine ya wataalamu kujiandaa kushika nafasi iwapo hali haikurekebishwa.
3.Wapeleke malalamiko rasmi kwa benki kuu kwa kila benki inayopunguza ushirikiano nayo hasa katika miamala ya TISS na mabadilishano ya hawala kwa jumla.
4.Wafuatilie vijana wapenda rushwa katika kutoa huduma kama vile za mikopo.Rushwa haikubaliki kabisa katika uislamu na kwenye benki ndio zaidi.
.5.Wapunguze waajiriwa wa kike ambao mwishowe huleta mipasho na midemko ya kimitindo ndani ya benki.
Wakianza na hayo watanitafuta wanipe bahshishi na mimi sitajitokeza kwa hilo kwani nia yangu ni ufanisi wao tu sina haja ya kulipwa na wao.
Hawataweza. Ami you are in illusion.
 
Back
Top Bottom