Benki ya Amana inahujumiwa

Hii benki pamoja na kwamba ni Islamic inaendeshwa kidini mno, ikifika wafanyakazi wore ni waislam, ukiomba tends hata Kama una vigezo hawakupi Kama wewe sio mwislamu. Waache ubaguzi was kidini.
Kwahiyo wewe wataka kuwapangia tearms and conditions of operation, kila firm ina vigezo vyake huenda hivyo ndo vigezo vyeke vya tenda, neenda benki ya mkombozi kama ukiwa muislamu wanaweza kukuuzia hisa hata ukiwa na kuasi gani, kwanza unauliziwa parokia unao toka,
 
Kwa mkombozi nitakupinga, Kuna wafanyakazi wengi was Imani tofauti achana na mkombozi nenda TEC utakuta wafanyakazi was dini nyingine na wanaishi bila kubaguliwa na wapo naowafahamu personal.
 
Kwa mkombozi nitakupinga, Kuna wafanyakazi wengi was Imani tofauti achana na mkombozi nenda TEC utakuta wafanyakazi was dini nyingine na wanaishi bila kubaguliwa na wapo naowafahamu personal.
Mimi naongelea hisa sio wafanya kazi ata pale amana benki wanao ujumu pale sio waislamu, katika top executive huwezi kukuta mwenye dini nyingine zaidi ya wakatoliki wale walio bobea kabisa.
 
Tatizo la benki za Waislamu ni kutaka kujilinganisha na benki nyingine. Mnataka muendeshe benki yenu kidini alafu itengeneze faida na kunawiri kama benki nyingine za biashara.

Anayewahujumu ni nani? Wakati kuanzia Mkurugenzi mpaka msafisha Choo wote ni Waislamu? Kwa nini msiseme mnahujumiana na badala yake mnatafuta huruma kwa kulia lia?

Benki yeyote inatengeneza faida kwenye riba za mikopo. Ninyi mnatoza riba kwa jina la 'kugawana faida', tena mkichukua asilimia kubwa zaidi ya kile kinachotoswa kwenye riba. Huo ni unafiki.

Nendeni mkapate elimu kwa CEO wa CRDB, ni Muislamu mwenzenu. Atawaonyesha jinsi ya kupata faida. Benki zisipopata faida uendeshaji wake utasuasua na pengine kuanza kutumia hela za wateja.

Ukute hata wewe unabwabwaja hapa, ila hujatia hata mia kwenye akaunti yako ya Amana. Kwa sababu huna imani na benki hiyo.
 
Mimi naongelea hisa sio wafanya kazi ata pale amana benki wanao ujumu pale sio waislamu, katika top executive huwezi kukuta mwenye dini nyingine zaidi ya wakatoliki wale walio bobea kabisa.
Ulichoongea Sasa na mwanzoni tofauti, nilichoongelea ni zabuni kutolewa kwa misingi ya dini hata kama.una sifa.
 
suala la mashehe kurundikwa magerezani sio la mtu mwingine, ni ustaadhi Kikwete. angekuwa aliwaweka JOhn tunajua mngelia na kunung'unika maisha yenu yote, hivyo pambaneni na hali zenu, ni muislam mwenzenu aliwaweka.

tukijka kwenmye suala la benki ya Amana, hapo sasa unamlaumu nani? unataka kulaumu wakristo tena? benki nzima hakuna mfanyakazi mkristo hata mmoja, mnaajiri waislam tu, hivyo wanaowahujumu ni waislam wenzenu au pengine hamna uwezo kuiendesha. mbona hata chuo cha morogoro mlipewa lakini kimebaki kama sekondari tu hata hakisikiki?
 
Mimi naongelea hisa sio wafanya kazi ata pale amana benki wanao ujumu pale sio waislamu, katika top executive huwezi kukuta mwenye dini nyingine zaidi ya wakatoliki wale walio bobea kabisa.
Top Executive ipi? Acha kujitekenya.

Unaufahamu hata uongozi wa Amana Bank? Ok, acha nikusaidie.

Managing Director ni Abubakari A. Ali
Deputy MD ni Musa Kikoi
CFO ni Said Mbaruku
CIA ni Mwinyi Sekro

Wote hao ni WAISLAMU.

Twende kwenye Board of Directors, ukimuondoa Joseph Gonslaves waliobaki wote ni Waislamu.

Sasa hao wakatoliki wanaohujumu benki yenu wapo wapi?
 
Kasome islamised economics ujue tofauti ya riba (interest) na faida (profits) tatizo lenu mnakurupuka bila kua analytical katika jambo unalo paswa kujufunza kwanza.
kama islamic economics ni kit real, onyesheni basi kwa kutumia benki yenu hiyo, mmepewa uwanja mdhihirishe kama icho kitu kinawezekana au mlidanganywa na mood.
 
Nakuhakikishia hakuna benki inapata faida katika miamala kuliko Amana kwa kufuata misingi ya sharia.Tatizo kuna watu wanafanya juhudi kukimbiza wateja wenye pesa ambao ndio watakaofanya hiyo miamala.
Huyo CEO wa CRDB wala si lolote kwa waislamu, Na yeye huenda anafanya juhudi kuwachukua wateja wa Amana kwa kuanzisha miamala uchwara ya kiislamu (ALBARAKAH) na wala haoneshi nia ya kweli ya kutaka miamala ya kiislamu katika benki yake.
 
wanatafuta sababu, wafanyakazi woote mle ndani ni waislam kwasababu benki inatakiwa kuendeshwa kwa sharia ya kiislam ambayo wakristo hawazijui. wamefeli sasa wanatafuta mchawi hapatikani, kwahiyou wanataka kusema wakatoliki au wagalatia wameenda kuwahonga waislam wenzao ili kuhujumu icho kibenki? mbona mnajiaibisha muonekane ni watu wa kulalamika tu siku zote?
 
Mimi naongelea hisa sio wafanya kazi ata pale amana benki wanao ujumu pale sio waislamu, katika top executive huwezi kukuta mwenye dini nyingine zaidi ya wakatoliki wale walio bobea kabisa.
Wacha udini na kutoa habari chonganishi humu ,kila tatizo letu unataka kuwapandikizia wafata kristo .
Pale amana mpaka muosha choo ni waislamu , kwa kuwa wamefeli haimaanishi wakristo ndio sababu.

Personally nliwauliza wakuu pale itakuwaje na gharama za running a bank zipo juu bila interest mtamaintain ? Walinipa majibu basic sana.
Benki inaitaji IT systems ,security,staff , na other ancilliary expenses ambazo sio cheap bila interest au makato inakiwaje ?

Mbona NMB ,CRDB mpaka benki za kenya na rwanda zinaunda faida bongo na wakristo hao hao wapo humo ???
Ile benki ina management mbovu , that is the truth

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nakuhakikishia hakuna benki inapata faida katika miamala kuliko Amana kwa kufuata misingi ya sharia.Tatizo kuna watu wanafanya juhudi kukimbiza wateja wenye pesa ambao ndio watakaofanya hiyo miamala.
Hahahaha!. Ami acha kuchekesha. Kwamba hakuna benki inayotengeneza faida zaidi ya benki ya Amana. Ok, weka takwimu hapa, acha kelele. Mwaka jana Amana ilitengeneza faida kiasi gani?

Miamala ipi Amana inafanya kwa kabenki kadogo kama hako? Haina hata branches 20 nchi nzima, miamala mingapi inafanyika?

Mteja havutwi bali anaamua mwenyewe kuondoka. Huduma zikiwa za hovyo, kuna haja gani ya kubaki?

Umeeleza wazi kwenye post yako ya kwanza kuwa umeshakutana mara kadhaa ni kuchukizwa kwa wenzaki wanaoenda kutoa walau elfu kumi tu ya mihogo. Je, mteja gani atakubali kuletewa upuuzi kwa Mabillion yake?
Huyo CEO wa CRDB wala si lolote kwa waislamu, Na yeye huenda anafanya juhudi kuwachukua wateja wa Amana kwa kuanzisha miamala ya kiislamu ALBARAKAH na wala haoneshi nia ya kweli ya kutaka miamala ya kiislamu katika benki yake.
Akawaoneshe namna benki inavyopaswa kuendeshwa. Atawasaidia kwa kuwa ni Muislamu kindakindaki..
 
Mkuu huo sio udini nakueleza ukweli kabisa, unajua wengi hatujui islamic system of banking bora tukae kimya.
 
s
Wenye akili wakisoma bandiko lako wataishia hapa.

Mambo ya kiuchumi nyinyi mnataka kuingiza udini.... Hata kwenye swala la bandari tumeona ujinga kama huu
nadhani, hili jambo waende wakajadiliane huko misikitini na wapate majibu hukuhuko, sisi wenzao huwa hatuliilii ovyo, benki zetu za mkombozi na maendeleo zinaendelea vizuri mno na hatuhitaji kulialia kutafuta mchawi. hapo wanatafuta mchawi baada ya kufeli kuendesha benki na mchawi atakuwa mgalatia wakati benki nzima hakuna mgalatia hata mmoja, kafiri haajiriki pale.
 
Kasome islamised economics ujue tofauti ya riba (interest) na faida (profits) tatizo lenu mnakurupuka bila kua analytical katika jambo unalo paswa kujufunza kwanza.

Sina haja ya kusoma,wewe uliyesoma weka maelezo,ila nacho jua na nilishaenda kukopa hela huko kwenye hizo islamic banking,riba ipo ila mmei sugar coat,ili kuwapumbaza wafia dini.
 
Sina haja ya kusoma,wewe uliyesoma weka maelezo,ila nacho jua na nilishaenda kukopa hela huko kwenye hizo islamic banking,riba ipo ila mmei sugar coat,ili kuwapumbaza wafia dini.
OK eleza hiyo suger coated riba ilikua je, kama sio wewe alio toa taarifa za uongo kwenye benki na wenyewe wakazifanyia kazi hivo hivo.
 
Kwahiyo nyinyi kila kitu mnahujumiwa?

[emoji28][emoji28][emoji28],wazee wa kulialia,unaleta dini kwenye biashara lazima ufeli tu,wamesahau ya kaisari mpe kaisari.

Wenzao waarabu wana mafuta yawapa pesa nyingi,huku bongo pangu pakavu wanataka kuiga waarabu kisa wamekaririshwa kusali kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…