Benki ya Amana inahujumiwa

Mifumo ya benki za kiislamu ipo nje ya Uarabuni zaidi.Malaysia ,South Afrika mpaka UK na nchi nyengine kadhaa.Na kote wamethibitisha ni mfumo madhubuti wa kiuchumi.Umeletwa na muumba wa Ulimwengu na kudokezwa na Mtume wake SAW huwezi kukuta kasoro unazosema.Na miamala yake inatia pesa nje nje kuliko benki yoyote ile.Muhimu wawepo wateja tu.
 
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.

Kundi kubwa lipi,la hawa waisalamu wa temeke,kariakoo na magomeni ndio unaona kundi kubwa ambao na wenyewe ni hohehahe.
 

Sasa mbona hatuzisikii ulimwenguni na tunazozisikia ndio kama hii amana tiatia maji pangu pakavu mnakuja kulialia,au mmemkufuru mungu wa waarabu?
 
haujaletwa na muumba wa ulimwengu huu, allah hajaumba chochote na sio Mungu wa kweli. basi kama kwenye hizo nchi wamefanikwa, kawaulizeni walifanyaje ili muache kulialia na kurusha lawama kwa wagalatia.
 
Sasa mbona hatuzisikii ulimwenguni na tunazozisikia ndio kama hii amana tiatia maji pangu pakavu mnakuja kulialia,au mmemkufuru mungu wa waarabu?

Strongest Islamic banks in 2021

World's largest Islamic banks in 2022

Note: Countries include Bahrain, Egypt, Indonesia, Kuwait, Malaysia, Pakistan, Qatar, Saudi Arabia, Turkey, and United Arab Emirates. At end-2013, there were about 410 Islamic banking institutions worldwide, including the fully Shari'ah compliant banking systems in Iran and Sudan.
 
Comment mjarabu Sana hii
 

Basi nendeni mkawaulize wamefanya nini,ila hao ni guru kwenye islamic banking na sio kwenye world banking system,ni sawa na kutafuta guru kwa ka group kadogo kawamachinga halafu najitapa ndio wafanyabiashara wakubwa duniani.
 
Ukiondoa hujuma za makusudi hakuna uwezekano wa hii benki kufa mfano wa Efatha.Kwa hivyo tusizungumzie kifo ila tujiulize wapi wanakwama ilhali wana kundi kubwa la wateja.
Muda utaongea. Kama haitakufa kabisa hautaona ikikua. Itakuwa bank dumavu
 
Muda utaongea. Kama haitakufa kabisa hautaona ikikua. Itakuwa bank dumavu
Wakifuata ushauri wangu ufuatao itakuwa benki moja kubwa Tanzania na kuzipindua benki zote za riba.
1.Bodi ya benki itoe mwezi mmoja tu kwa wahusika wa teknohama kuondosha udororo wowote uliokuwepo kabla
2.Muda huo wa mwezi mmoja watayarishe timu nyengine ya wataalamu kujiandaa kushika nafasi iwapo hali haikurekebishwa.
3.Wapeleke malalamiko rasmi kwa benki kuu kwa kila benki inayopunguza ushirikiano nayo hasa katika miamala ya TISS na mabadilishano ya hawala kwa jumla.
4.Wafuatilie vijana wapenda rushwa katika kutoa huduma kama vile za mikopo.Rushwa haikubaliki kabisa katika uislamu na kwenye benki ndio zaidi.
.5.Wapunguze waajiriwa wa kike ambao mwishowe huleta mipasho na midemko ya kimitindo ndani ya benki.
Wakianza na hayo watanitafuta wanipe bahshishi na mimi sitajitokeza kwa hilo kwani nia yangu ni ufanisi wao tu sina haja ya kulipwa na wao.
 
Amana bank Tanzania kuna makosa ya uongozi siyo hujuma.

Waliokuw wanaiendesha au wanaoiendesha hiyo benki, utaalaam wao upo kwenye biashara au benki za kibiashara.

Nawashauri Amana wachukuwe partners benki za zamani za Kiislam zilizofanikiwa Kimataifa kama vile Faisal Islamic Bank, watashinda.

Nje ya hapo, hakuna waongozaji benki ya Kiislam ndani ya Amana Bank.

Msitafute mchawi wakati wachawi ni wenyewe wenye benki, wameiendesha kienyeji sana. Banking Industry ni "dynamic" huwezi kuiendesha kama biashara za kawaida.
 
Asante dada.Najua na wewe unawafikia kirahisi utawapasha ana kwa ana.
 
hiyo kutotoza riba ndio nguzo kubwa inayozishikilia benki za kiislamu zisianguke.Na jiulize kwa nini benki nyengine zimeamua kufuata mfumo huo.Tatizo linaloinyemelea Amana bank ni kama ilivyoelezwa hapo juu.Kuna mapandikizi wengi.
Amana Benki wanatoza Riba Mimi ni Muslim na ni mteja wa Benki hiyo sema wanaficha na Kuna hadithi mtume anasema Kuna "kipindi kitafika Riba itapewa majina mengi" mara tozo mara mirabaha Lakini
kimsingi ni Riba

Sema Hilo neni Islamic Banking ni mkakati wa Kibiashara kuteka jamii fulani ya wateja na naona Benki nyingine wameona hiyo fursa waka adopt mfano CRDB wana albarakh account, KCB na NBC

Pili hii Benki Ina makato makubwa Mimi mpaka nimeachana nayo natumia Benki nyingine Huduma kwa mteja mbovu alafu uswahili mwingi
 
naona huo mfumo ungefaa kwenye nchi ya kiislam,,,,,huku kwenye nchi zisizo za kidini huoo mfumo unatumika vibaya na wafanyakazi wengi ndo wanaoharibu ,,,,,huduma za islamic banking zimekua nyingi nchini na kwa benki nyingi ila kuna loopholes wameziona humo na wanazitumia
 
wamebadili neno riba tu kua tozo na maneno mengine ila ni kilekile
 
Basi kama wa riba tuabie rate yao, pia usema huduma zao zingine za ziada zinazo tozwa wateja ili tulinganishe na beki zingine, bila hivo zitabiki kua hujuma kama hujuma zingine za biashara.
 
Hawataweza. Ami you are in illusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…