figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hizi tuhuma za benki hii ni za miaka nenda rudiHili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweza pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. So bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?
Nashauri BoT ilazimishe benki zitoe taarifa kwa wenye akaunti kiasi wanachokata kwa mwezi. Na kisibadilike kwani mtu akitoa hela anakatwa pia.
View attachment 3702135
View attachment 3702136
View attachment 3702137
View attachment 3702138
Kama shetani au sio...Ninatumia crdb tangu 2009 sijawahi pata changamoto hiyo. Wao walijichanganya wakaniingizia 18m na ikadumu kwa wiki nzima. Wamekuja kusanda 3m imeenda! Ikiwa Kila pesa yangu ikiingia nafekwa niliishi kama shetani maana ndo account ya mshahara
Ndo hao hao wanatoa hela za watu kwenye account. Kaja kuaribu mjadala kuzima malalamiko ya watu.Kama shetani au sio...
Tanzania kuna benki ama takataka tu ? , tu fungueni account equity au kcb na Absa ,achana na hizo takataka za nmb ,crdb and the likes
Ukizoea mshahara halafu uwe unakatwa cha moto utakionaKama shetani au sio...
Hakika 70k hapo huwezi kuihisi!Siyo kweli mimi hicho kitu hakijawahi kutokea na sometimes nakuaga na Balance hadi ya 100m hapo kuibiwa 70k si ndiyo rahisi zaidi? Tafuteni pesa jamani siyo kuangalia Salio kila sekunde 30
si ungebadili acc ya mshahara utoe iyi 18mNinatumia crdb tangu 2009 sijawahi pata changamoto hiyo. Wao walijichanganya wakaniingizia 18m na ikadumu kwa wiki nzima. Wamekuja kusanda 3m imeenda! Ikiwa Kila pesa yangu ikiingia nafekwa niliishi kama shetani maana ndo account ya mshahara