HOJA Benki ya CRDB inatuhumiwa kuibia watu hela kwenye akaunti zao. BoT ipo Kimya

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kalishawahi kukukuta nn
Sana,Mimi nimekuwa Mteja wa Benki za CRDB,NMB,KCB,EQUITY,STANBIC,ACB,ABC,SELCOM,BARCLAYS(Kabla hawajabadili) BOA na FNB. Kwa kiasi kikubwa nina uzoefu na UBORA wa huduma ya KILA BENKI.Kuna Benki kwa ajili ya MIKOPO,kuna BENKI kwa AJILI ya miamala midogo midgo,Kuna Benki kwa AJILI ya BRANCH network(Ingawa kwa sasa Chanel za Banking zimeondoa hiyo shida).Kwa sasa Benki Bora kwangu kwa UPANDE wa gharama nafuu na UBORA wa HUDUMA ni EQUITY Bank na SELCOM MF.Hao wengine labda nikitaka MIKOPO MIKUBWA na kwa Sasa sijafikia Level hiyo...
 
Ngoja nikafungue account Equity ASAP.
 
Waki-lock pesa yako chanell ya kufuata ili irudi ni ipi mkuu.
 
Unaanzia Branch wakupe Maelezo kwa nini iko locked.Wakishindwa Unaandika Barua ya malalamiko.Ndani ya muda wa malalamiko wasipotatua Unapeleka Malalamiko BOT.Mara nyingi Benk haikubali kufikia hatua ya kujieleza BOT maana wanakuwa wanafanyiwa scrutiny so kama Tatizo ni lao mara nyingi wana fanya manual adjustment huku wakiendelea kufuatilia.

Mimi niliwahi kufanyiwa Double refund kwa sababu.
 
Tanzania kuna benki ama takataka tu ? , tu fungueni account equity au kcb na Absa ,achana na hizo takataka za nmb ,crdb and the likes
Sii kwamba watu hawazijui hzo foreign banks hapana ila watu wanataka assurance ya pesa zao in case anything happens. Mfano leo hii hyo equity ikatangaza kufirisika au ikafungwa gafla kama zilivofungwaga baadhi ya banks kipindi cha magufuli je ww mteja utaenda china kudai pesa zako?
 
Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.

Mtu unaweza pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. So bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?

Nashauri BoT ilazimishe benki zitoe taarifa kwa wenye akaunti kiasi wanachokata kwa mwezi. Na kisibadilike kwani mtu akitoa hela anakatwa pia.

Kumbuka CRDB ina wateja Milioni 7, wanachokata kwa kila mtu ni kikibwa sana ukizidisha kwa idadi ya wateja.

View attachment 3702135
View attachment 3702136
View attachment 3702137
View attachment 3702138
View attachment 3702187
CRDB Bank yng. Njoo mjibu tuhuma hz za wizi wa pesa za wananchi.
 
Unaanzia Branch wakupe Maelezo kwa nini iko locked.Wakishindwa Unaandika Barua ya malalamiko.Ndani ya muda wa malalamiko wasipotatua Unapeleka Malalamiko BOT.Mara nyingi Benk haikubali kufikia hatua ya kujieleza BOT maana wanakuwa wanafanyiwa scrutiny so kama Tatizo ni lao mara nyingi wana fanya manual adjustment huku wakiendelea kufuatilia.

Mimi niliwahi kufanyiwa Double refund kwa sababu.
Juma3 inabidi nitinge pale HQ yao Posta.

Maana naona huku branch hili tatizo ni kama limewazidi kimo!
 
Siyo kweli mimi hicho kitu hakijawahi kutokea na sometimes nakuaga na Balance hadi ya 100m hapo kuibiwa 70k si ndiyo rahisi zaidi? Tafuteni pesa jamani siyo kuangalia Salio kila sekunde 30
Baada ya kuchezewa matako hapo lumumba hatimae umefikisha mil 100,sijui ilo tundu lina hali gani
 
Benki Pekee ambayo Haina Makato ya Kihuni ni Benk ya EQUITY Tu kwa Tanzania Lbada na Hawa Selcom Microfinance.Benki zingine zote zina makato tena ambayo hayaeleweki ni ya nini.
Ubaya wa foreign banks ni usalama wa pesa yako. Unakumbuka miaka ya nyuma hapo kuna bank za nje zilifungwaga bila maelezo na wateja hawakupataga pesa zao mpaka kesho
Kwa sababu Watanzania wana Ujinga mwingi.Hawajui kufanya Research.Mimi Primary Business Bankers wangu ni EQUITY BANK na Primary Personal Bankers wangu ni Selcom Microfinance.Benki za NMB na CRDB nazitumia kwa miamala midogo ya Binafsi na SIO ya BIASHARA Kabisa.Maana huwa nafuatilia sana kuhusu hizo Gharama zao na huwa sioni mantiki yoyote
Selcom nahisi hawajitangazi ndo mana hawafahamiki sana. But pia hii selcom ilikumbwa na kashfa fulani ya wizi wa bilion kadhaa branch ya Iringa.
 
Ubaya wa foreign banks ni usalama wa pesa yako. Unakumbuka miaka ya nyuma hapo kuna bank za nje zilifungwaga bila maelezo na wateja hawakupataga pesa zao mpaka kesho

Selcom nahisi hawajitangazi ndo mana hawafahamiki sana. But pia hii selcom ilikumbwa na kashfa fulani ya wizi wa bilion kadhaa branch ya Iringa.
Banks ni kwa Ajili ya Transactions na sio kwa ajili ya kuhifadhi PESA.Kama unataka kuhifadhi PESA inabidi uingie kwenye Bond Market.Benki unawakopa tu.
 
Mkuu hivi equity Iko poa mana nataka nihamie uko vipi makato yao kwa mwezi yapoje mkuu
Hizo hela unazo za kuweka equity? Ama unazani watakubali hizo peanuts zako unazozipata kwa kujirekodi chumbani kwa shemeji yako na kuposti tiktok na instagram?

Kula hicho chuma chini maaamaaee!

Screenshot_20260913_204628_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom