BANCABC, DCB NA SELCOM MF BANK hawana makatoNina akaunti NBC na crdb tangu 2005 mbuzi wewe,na chuo nilisoma biashara
Bank gani hiyo tz haina makato ya mwezi?
Nina account ya USD Equity wana annual fee tu ni dola 1.7 kwa mwaka...Nina akaunti NBC na crdb tangu 2005 mbuzi wewe,na chuo nilisoma biashara
Bank gani hiyo tz haina makato ya mwezi?
Njia nzuri ya kutambua kama kuna mapungufu kwenye akaunti yako ni kufuatilia bank Statements kama anavyosema huyo dada wa mwisho.Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?
Nashauri BoT ilazimishe benki zitoe taarifa kwa wenye akaunti kiasi wanachokata kwa mwezi. Na kisibadilike kwani mtu akitoa hela anakatwa pia.
Kumbuka CRDB ina wateja Milioni 7, wanachokata kwa kila mtu ni kikibwa sana ukizidisha kwa idadi ya wateja.
View attachment 3702135
View attachment 3702136
View attachment 3702137
View attachment 3702138
View attachment 3702187
View attachment 3702385
Sasa ukiwa na accout NBC na CRDB ndo inakufanya una-draw conclusion dunia nzima kwamba: kila benki inakata monthly maintenance fee? Kama chuo ulisoma biashara na hauelewi 'freemium business model ni nini?' basi rudi kusoma chuo upya, kwa sababu elimu bado hajakupa maarifa ya kutosha.Nina akaunti NBC na crdb tangu 2005 mbuzi wewe,na chuo nilisoma biashara
Bank gani hiyo tz haina makato ya mwezi?
Sasa hivi watu wameongezeka. Gharama inatakiwa zipungue. Halafu fee ya kila mwaka inafanya kazi gani hadi tukatwe kila mwezi.1. Maintenance fee Schedule 1,800tshs
2. Makato ya muamala pale unapomtumia mtu pesa. 1,500 tshs
3. Tax 350tshs
Wewe account yako haina kitu bwabwa Wewe endelea kukata viuno CCM kwa buku 7Siyo kweli mimi hicho kitu hakijawahi kutokea na sometimes nakuaga na Balance hadi ya 100m hapo kuibiwa 70k si ndiyo rahisi zaidi? Tafuteni pesa jamani siyo kuangalia Salio kila sekunde 30
Mkuu, mie sitabisha sana maana kila mtu ana madai yake lakini baada ya malalamiko kama haya, itabidi kila mteja arudi tena kwenye ile T&C alosaini wakati wa kufungua akaunti.Sasa hivi watu wameongezeka. Gharama inatakiwa zipungue. Halafu fee ya kila mwaka inafanya kazi gani hadi tukatwe kila mwezi.
Hayo makato wamekubaliana na nani?
Wanipigie simu niangalie kama naweza, kama siwezi nifunge account.
Najaribu kuscreen shoot inashindikana siku hizi Simbanking wameboresha nilitaka nikulize japo nimeingiza kwenye mzunguko kama 70m lakini si habaWewe account yako haina kitu bwabwa Wewe endelea kukata viuno CCM kwa buku 7
Kutokurudi kusoma sio sababu ya kukatwa hela. Mfano mimi nimejiunga CRDB 2002 hata sikua na simu, ila sjawahi kuisoma hiyo T and C.itabidi kila mteja arudi tena kwenye ile T&C alosaini wakati wa kufungua akaunti.
Kipindi kile unaleta hapa Jamiiforums mamalamiko yako kuhusu CRDB tulibeba jambo lako kama jambo letu. Leo hii wenzako wanapata shida unawaambia warudi kusoma T&C. Je, wewe ulipoleta mjadala hiyo T&C ulosaini hukuiona?Mkuu, mie sitabisha sana maana kila mtu ana madai yake lakini baada ya malalamiko kama haya, itabidi kila mteja arudi tena kwenye ile T&C alosaini wakati wa kufungua akaunti.
Kwa nyakati tofauti nimedokezwa kwamba ile akaunti ilikuwa na mradi wa mtu na hata wengine wakasema kuna mtu ambae alikuwa ana mrija ambao umeelekea kule ofisi ya juu kabisa.
Pia ningependa kufahamu kama ile fedha niliyoweka kama pauni zisizopungua 400 nilizoweka mwaka 2006 bado zitakuwepo katika hiyo akaunti au ndiyo zilikuwa zikikatwa kidogokidogo na sasa hakuna kitu.
Mwisho ningependa kufahamu kwanini CRDB huwa hawapendi kuwasiliana na wateja wao hata kwa njia ya barua pepe ili kuwapa taarifa mbalimbali za kuhusu benki yao na kama kuna mabadiliko yoyote maana walitoa njia zao zote za mawasiliano kama vile namba ya simu ya mkononi na sanduku la posta.
Ningependa kusikia kutoka CRDB kuhusu hii akaunti ya Tanzanite mekaaje imekufa au bado ipo hai na je kama kuna uwezekano wa wateja wa akaunti ya Tanzanite kuweza kufanya maombi upya ili kuboresha taarifa zao ambazo sisi wengine kwa sasa tunaishi Tanzania.
Na mie wakati ule sikusoma uzuri hizi T&C lakini baada ya kurudi na kuzisoma nikaona kwamba ni kweli nilihitaji kusoma T&C.Kipindi kile unaleta hapa Jamiiforums mamalamiko yako kuhusu CRDB tulibeba jambo lako kama jambo letu. Leo hii wenzako wanapata shida unawaambia warudi kusoma T&C. Je, wewe ulipoleta mjadala hiyo T&C ulosaini hukuiona?
Siyo wewe tu maandishi huwa ni Madogo halafu mengi ukisoma mstari mmoja tuu una signNa mie wakati ule sikusoma uzuri hizi T&C lakini baada ya kurudi na kuzisoma nikaona kwamba ni kweli nilihitaji kusoma T&C.
Hata nilipofuatilia hizo 400 nikaambiwa nifungue akaunti ingine kwani ile ilikuwa dormant kwa muda fulani.
Hivyo tokea pale nafuatilia makato kwa kusoma bank stetements na pia nina online access na hakuna shida.
Lakini kiukweli pia nina akaunti Stanbic ambayo ni ya fedha za kigeni tu.
CRDB ni tanzanite kutoka ile waloimeza na 400
Taja bank Tanzania ambayo haina makato ya mwezi nikaweke helaSasa ukiwa na accout NBC na CRDB ndo inakufanya una-draw conclusion dunia nzima kwamba: kila benki inakata monthly maintenance fee? Kama chuo ulisoma biashara na hauelewi 'freemium business model ni nini?' basi rudi kusoma chuo upya, kwa sababu elimu bado hajakupa maarifa ya kutosha.
Wadau wamezitaja hapo. Halafu haya mambo ni uelewa tu. Account zipo za aina nyingi, kuna account ambazo mandate zake zimeelekeza kwamba hazina makato ya mwezi. Chunguza vizuri, kwa sababu we ndo unabisha. Ukipata majibu rudi hapa.Taja bank Tanzania ambayo haina makato ya mwezi nikaweke hela
Akaunti maalum siyoWadau wamezitaja hapo. Halafu haya mambo ni uelewa tu. Account zipo za aina nyingi, kuna account ambazo mandate zake zimeelekeza kwamba hazina makato ya mwezi. Chunguza vizuri, kwa sababu we ndo unabisha. Ukipata majibu rudi hapa.