Mgm-
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 6,077
- 8,794
OkayBanks ni kwa Ajili ya Transactions na sio kwa ajili ya kuhifadhi PESA.Kama unataka kuhifadhi PESA inabidi uingie kwenye Bond Market.Benki unawakopa tu.
OkayBanks ni kwa Ajili ya Transactions na sio kwa ajili ya kuhifadhi PESA.Kama unataka kuhifadhi PESA inabidi uingie kwenye Bond Market.Benki unawakopa tu.
10,000 × 10= 100,000Ukikata elfu 10 kwa wateja 10 unapata shilingi ngapi ya chap?
Hizo faida zote wanazipeleka CCM nyie endeleeni kuliaNa msichojua wametoka kutangaza faida ya billion 417 baada ya kodi kwa miezi tisa ya mwanzo kwa mwaka 2026.
Unafikiri hizo faida zimetokana na mojawapo ya chanzo kipi?
Kwahiyo tukae kimya tusiseme? Tutawasema hadi waone aibuHizi tuhuma za benki hii ni za miaka nenda rudi
Mkuu, unapoint nzuri ila mtu kusoma anapata shida.Sana,Mimi nimekuwa Mteja wa Benki za CRDB,NMB,KCB,EQUITY,STANBIC,ACB,ABC,SELCOM,BARCLAYS(Kabla hawajabadili) BOA na FNB. Kwa kiasi kikubwa nina uzoefu na UBORA wa huduma ya KILA BENKI.Kuna Benki kwa ajili ya MIKOPO,kuna BENKI kwa AJILI ya miamala midogo midgo,Kuna Benki kwa AJILI ya BRANCH network(Ingawa kwa sasa Chanel za Banking zimeondoa hiyo shida).Kwa sasa Benki Bora kwangu kwa UPANDE wa gharama nafuu na UBORA wa HUDUMA ni EQUITY Bank na SELCOM MF.Hao wengine labda nikitaka MIKOPO MIKUBWA na kwa Sasa sijafikia Level hiyo...
Utakuwa umetisha mkuu. Ila ukiacha hvy unatuchanganya sisi tulipata F za mathematics.Mjomba ngoja niongeze 0 nyingine hapo mbele 😀
Nimesha kwambia we mshamba, tulia nimvute vale nafaka, nimle geto kwangu takuita uje dirishani uwe unachungulia 🤣Hizo hela unazo za kuweka equity? Ama unazani watakubali hizo peanuts zako unazozipata kwa kujirekodi chumbani kwa shemeji yako na kuposti tiktok na instagram?
Kula hicho chuma chini maaamaaee!
View attachment 3702232
Ukiweka hela bank, baada ya muda itaisha kwa makato,kuna makato bankHili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?
Nashauri BoT ilazimishe benki zitoe taarifa kwa wenye akaunti kiasi wanachokata kwa mwezi. Na kisibadilike kwani mtu akitoa hela anakatwa pia.
Kumbuka CRDB ina wateja Milioni 7, wanachokata kwa kila mtu ni kikibwa sana ukizidisha kwa idadi ya wateja.
View attachment 3702135
View attachment 3702136
View attachment 3702137
View attachment 3702138
View attachment 3702187
Ina maana mwaka jana wale jamaa walivyopiga bilioni kadhaa kwenye acc ya CRD na kupelekea CRD kuwa down kwa siku kadhaa wewe acc yako haikuguswa? Maana kile kikombe kila mtu alikipitia ingawa walirejesha zile hela...Ninatumia crdb tangu 2009 sijawahi pata changamoto hiyo. Wao walijichanganya wakaniingizia 18m na ikadumu kwa wiki nzima. Wamekuja kusanda 3m imeenda! Ikiwa Kila pesa yangu ikiingia nafekwa niliishi kama shetani maana ndo account ya mshahara
Mnoooo yani
Hii hesabu umeitoa wapi? Mimi nimezidisha wateja elfu 10 halafu wakakatwa elfu 10 kwa wakati mmoja. 10,000×10,000! Sawa?10,000 × 10= 100,000
Mbona kama walichangiana mabilion kwa mabilionYale mabilion ya Uchafuzi mwaka jana unadhani yalitoka wapi?...
Ndo mnayalipa kwa stail hiyo,..wakubwa wanajua na hakuna kitu mtafanya...
Wewe ni Muongo sana.Siyo kweli mimi hicho kitu hakijawahi kutokea na sometimes nakuaga na Balance hadi ya 100m hapo kuibiwa 70k si ndiyo rahisi zaidi? Tafuteni pesa jamani siyo kuangalia Salio kila sekunde 30
Sio benki zote, ni CRDB tu kwa sababu nahisi hii benki kuna shida kubwa sana ya liquidity, ndo maana michezo ya balance za watu imekuwa mingi sana. Miaka miwili ijayo itakuwa migumu sana kwaoUkiweka hela bank, baada ya muda itaisha kwa makato,kuna makato bank
Kila bank ina makato ya mwezi, duniani koteSio benki zote, ni CRDB tu kwa sababu nahisi hii benki kuna shida kubwa sana ya liquidity, ndo maana michezo ya balance za watu imekuwa mingi sana. Miaka miwili ijayo itakuwa migumu sana kwao