Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Wanaajiri watu kuzidi mahitaji yao kwa mbali sana na wanajipangia mishahara ya kutaka kushindana na mawaziri kwa pesa yetu!
Sio account maalam, zipo aina nyingi za account. chunguza mkuuAkaunti maalum siyo
Equity haina.Taja bank Tanzania ambayo haina makato ya mwezi nikaweke hela
SijakuelewaWanaajiri watu kuzidi mahitaji yao kwa mbali sana na wanajipangia mishahara ya kutaka kushindana na mawaziri kwa pesa yetu!
Kama wanachaji kwa mwaka maana yake makato yapoEquity haina.
Ecobank haina.
Wana charge kwa mwaka.
Aina ndiyo umaalum wenyeweSio account maalam, zipo aina nyingi za account. chunguza mkuu
Uliuliza kila mwezi tumekuambia zipo. Now umerukia kwa mwaka?Kama wanachaji kwa mwaka maana yake makato yapo
Kama ni hivyo basi ushoga na uchawa unawalipa aiseeNajaribu kuscreen shoot inashindikana siku hizi Simbanking wameboresha nilitaka nikulize japo nimeingiza kwenye mzunguko kama 70m lakini si haba