Benki ya Dunia inatarajiwa kuidhinisha mkopo wa $500M kwa Tanzania baada ya Tanzania kutoa utetezi wake

Haya maneno hayana chochote iyo demokrasia huyo mmarekani anaifanya? Angalia alivyovamia nnchi za watu na kuua watu wasiokuwa na hatia na kama hujui anaitumia kama fimbo yakutokupiga maendeleo
 
I'm asking of you a learned and informed brother to educate me by showing the evidence like learned brethren normally do.

Just a simple citation, a link or a screenshot will enlighten my dull mind comprehensively.

Whether I will understand what is inside the document or not, that should not be of your concern, leave that matter to me, because I can ask someone to interpret and analyse the figures for me.
 
Tunamkubali beberu, kwa kuwa anatutetea dhidi ya mkoloni mweusi ccm, hayo mengine hayatuhusu
Unajua masharti hao wakiwa wanatoa hao watu na ndo maana wametufanya tusiendelee yani mnashanikia hao watu wanaotunyonya alafu wanavunga wanaleta misaada, mnashabikia vitu msivyovijua sijui Watanzania tutajitambua lini
 
Mwanzoni somo la diplomasia ya kikanda lilipita kushoto naw wanalamba matapishi yao
 

Hivi mkuu unadhani hao mabeberu hawaoni huo mchezo..we subili wakijakutoa tamko ndo utajua kuwa wana akili kuliko meko, tatizo master plan wa kijani ni bure kabisa yani wanapanga vitu vya kitoto sana kuwahadaa watu
 
Why don't you seize this rare opportunity to humiliate your opponent?
I'm here ready to eat my humble pie!
Give me the reference, mere words will not save your face today.
 
Haya maneno hayana chochote iyo demokrasia huyo mmarekani anaifanya? Angalia alivyovamia nnchi za watu na kuua watu wasiokuwa na hatia na kama hujui anaitumia kama fimbo yakutokupiga maendeleo

Kitu ambacho hujaelewa ni kwamba hao mnaowaita mabeberu hawa lazimishi mabadiliko katika nchi zenu ila wanachotaka wao ni kuona uchaguzi,haki za binadamu zikiheshimika sasa kwa ugumu na uroho wa viongozi wengi wa Africa wanagoma kuheshim Maamuzi ya wananchi na hapo ndo maana mabeberu wanaingia kwa ubabe na kuwavuruga. Lakini mkiacha mchezo uwe fair kama mechi za mpira hutawaona wakiwawekea vikwazo vyovyote
 
Trump apokea ujumbe wa Rais Magufuli, uchaguzi huru ukisisitizwa Trump apokea ujumbe wa Rais Magufuli

Ujuha tu huo ulioandika hufahamu diplomasia inafanyika vipi. Wewe kaa shinda humu na majungu wenzako tunasonga mbele. Trumpet hawezi kufanya lolote kwa Serikali huru ya Tanzania na hawezi kuwa wa kwanza, wenzake walijaribu na ataiacha Tanzania kama alivyoikuta. JPM hawezi kumwalika ng'oo aje Bongo yeye alie tu. Sisi ni taifa huru na hatuwezi kubabaishwa na Vijibeberu.
 
Wamefyata mkia hahaha
Vp Kuhusu mtoto mpendwa Bashite
Kasamehewa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaonaje ukirudia kusoma hii habari na kuona kama mwandishi ameandiaka juu ya Tanzania kuwaruhusu "wazazi" kusoma kwenye madarasa aya wanafunzi wasio wazazi!
Tanzania haibagui wazazi!
 
Mmbeambiwa mwanzishe mfumo wanafunzi wote wapate elimu. Si mlisema wakipata mimba elimu ni basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…