Benki ya Dunia inatarajiwa kuidhinisha mkopo wa $500M kwa Tanzania baada ya Tanzania kutoa utetezi wake

Benki ya Dunia inatarajiwa kuidhinisha mkopo wa $500M kwa Tanzania baada ya Tanzania kutoa utetezi wake

Chezeya beberu wewe! Ohh China ndo rafiki wa kweli misaada yao haina mashariti, beberu katupia korona Kule wahangaika Mayo mpaka kesho, huku beberu anawacheka tu. Wale vibaraka waliokuwa wanategemea China hawana pa kushika zaidi ya kujisalimisha kwa beberu.

Waswahili husema usitukame mamba kabla ya kuvuka mto, magufuli aliongea shit nyingi sana dhidi ya beberu, beberu alikaa kimya tu

Sasa beberu anataka uchaguzi Huru na wa haki, na deokrasia, zile tambo zao sijui sisi ni dona kantri au sijui sisi ni sovereign country hatupangiwi sizisikii tena
Haya maneno hayana chochote iyo demokrasia huyo mmarekani anaifanya? Angalia alivyovamia nnchi za watu na kuua watu wasiokuwa na hatia na kama hujui anaitumia kama fimbo yakutokupiga maendeleo
 
At first I thought I was arguing with a learned and informed person, kumbe I was wrong. Ndio maana nikabadili mtazamo wangu juu yako.

Sasa unataka nikuwekee official statistics, this shows how little learner and uinformed person you are!

Ni wazo zuri ila it will take you days or months if not years to kuelewa ili tuanze kujadiliana hapa.

Ndio maana nikasema, tufanye nimeshindwa kuleta data hivyo nilichokisema awali ni uongo kwa sababu serikali hii ya wanyonge hua haikopi, inajitosheleza kwa kila kitu. Makusanyo ya ndani yanatosha kulipa mishahara, kulipa madeni, kuendesha serikali na kujenga miundombinu. Ikitokea serikali imekopa ni kwa bahati mbaya sana.

Ahsante.
I'm asking of you a learned and informed brother to educate me by showing the evidence like learned brethren normally do.

Just a simple citation, a link or a screenshot will enlighten my dull mind comprehensively.

Whether I will understand what is inside the document or not, that should not be of your concern, leave that matter to me, because I can ask someone to interpret and analyse the figures for me.
 
Tunamkubali beberu, kwa kuwa anatutetea dhidi ya mkoloni mweusi ccm, hayo mengine hayatuhusu
Unajua masharti hao wakiwa wanatoa hao watu na ndo maana wametufanya tusiendelee yani mnashanikia hao watu wanaotunyonya alafu wanavunga wanaleta misaada, mnashabikia vitu msivyovijua sijui Watanzania tutajitambua lini
 
Mwanzoni somo la diplomasia ya kikanda lilipita kushoto naw wanalamba matapishi yao
 
Magufuli mjanja sana, kawachukua kina Mbatia kaenda kuwapa chai ikulu then anawaandikia barua mabeberu uchaguzi utakuwa huru, wakati chama kikuu cha upinzani amekikwepa kama hakijui vile, asijidanganye mabeberu hawajaona hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mkuu unadhani hao mabeberu hawaoni huo mchezo..we subili wakijakutoa tamko ndo utajua kuwa wana akili kuliko meko, tatizo master plan wa kijani ni bure kabisa yani wanapanga vitu vya kitoto sana kuwahadaa watu
 
At first I thought I was arguing with a learned and informed person, kumbe I was wrong. Ndio maana nikabadili mtazamo wangu juu yako.

Sasa unataka nikuwekee official statistics, this shows how little learner and uinformed person you are!

Ni wazo zuri ila it will take you days or months if not years to kuelewa ili tuanze kujadiliana hapa.

Ndio maana nikasema, tufanye nimeshindwa kuleta data hivyo nilichokisema awali ni uongo kwa sababu serikali hii ya wanyonge hua haikopi, inajitosheleza kwa kila kitu. Makusanyo ya ndani yanatosha kulipa mishahara, kulipa madeni, kuendesha serikali na kujenga miundombinu. Ikitokea serikali imekopa ni kwa bahati mbaya sana.

Ahsante.
Why don't you seize this rare opportunity to humiliate your opponent?
I'm here ready to eat my humble pie!
Give me the reference, mere words will not save your face today.
 
Haya maneno hayana chochote iyo demokrasia huyo mmarekani anaifanya? Angalia alivyovamia nnchi za watu na kuua watu wasiokuwa na hatia na kama hujui anaitumia kama fimbo yakutokupiga maendeleo

Kitu ambacho hujaelewa ni kwamba hao mnaowaita mabeberu hawa lazimishi mabadiliko katika nchi zenu ila wanachotaka wao ni kuona uchaguzi,haki za binadamu zikiheshimika sasa kwa ugumu na uroho wa viongozi wengi wa Africa wanagoma kuheshim Maamuzi ya wananchi na hapo ndo maana mabeberu wanaingia kwa ubabe na kuwavuruga. Lakini mkiacha mchezo uwe fair kama mechi za mpira hutawaona wakiwawekea vikwazo vyovyote
 
Trump apokea ujumbe wa Rais Magufuli, uchaguzi huru ukisisitizwa Trump apokea ujumbe wa Rais Magufuli

Ujuha tu huo ulioandika hufahamu diplomasia inafanyika vipi. Wewe kaa shinda humu na majungu wenzako tunasonga mbele. Trumpet hawezi kufanya lolote kwa Serikali huru ya Tanzania na hawezi kuwa wa kwanza, wenzake walijaribu na ataiacha Tanzania kama alivyoikuta. JPM hawezi kumwalika ng'oo aje Bongo yeye alie tu. Sisi ni taifa huru na hatuwezi kubabaishwa na Vijibeberu.
 
Mmbeambiwa mwanzishe mfumo wanafunzi wote wapate elimu. Si mlisema wakipata mimba elimu ni basi
 
Back
Top Bottom