John Magufuli's pregnant schoolgirl ban angers Tanzanian womenMkuu unaonaje ukirudia kusoma hii habari na kuona kama mwandishi ameandiaka juu ya Tanzania kuwaruhusu "wazazi" kusoma kwenye madarasa aya wanafunzi wasio wazazi!
Tanzania haibagui wazazi!
Huko kooote kuanzia, QT, Private Candidate, nk mbona wamejaa wanafunzi wazazi wanasoma bila shida na wanafanya vizuri tu? Kuna Ulazima gani wa kuwachanganya na wale ambao hawajaamua kuwa wazazi? Tabia "chafu" ni contagious, sio vizuri kuchanganya haya makundi japo sio wote walichagua kuzalishwa wengine walibakwa!(waliobakwa kuna njia za kuwakinga na mimba wakiwahi kwenye huduma za afya)
Wekeni haya wazi mkose mkopo, si mlisema hasomeshi kabisa.Huko kooote kuanzia, QT, Private Candidate, nk mbona wamejaa wanafunzi wazazi wanasoma bila shida na wanafanya vizuri tu? Kuna Ulazima gani wa kuwachanganya na wale ambao hawajaamua kuwa wazazi? Tabia "chafu" ni contagious, sio vizuri kuchanganya haya makundi japo sio wote walichagua kuzalishwa wengine walibakwa!(waliobakwa kuna njia za kuwakinga na mimba wakiwahi kwenye huduma za afya)
Haijatoka badoSo ela wametoa bado masharti magumu
LOoo, umeshuka ngazi hadi kufika huku!Ujuha tu huo ulioandika hufahamu diplomasia inafanyika vipi. Wewe kaa shinda humu na majungu wenzako tunasonga mbele. Trumpet hawezi kufanya lolote kwa Serikali huru ya Tanzania na hawezi kuwa wa kwanza, wenzake walijaribu na ataiacha Tanzania kama alivyoikuta. JPM hawezi kumwalika ng'oo aje Bongo yeye alie tu. Sisi ni taifa huru na hatuwezi kubabaishwa na Vijibeberu.
Wekeni haya wazi mkose mkopo, si mlisema hasomeshi kabisa.
Sasa hivi mnaangaliwa kila mnachofanya. Chukueni pesa na msifuate maagizo ya mabeberu.Kina nani sasa waweke hayo wazi? Mbona toka enzi ilikuwa mwanafunzi akipata Mimba ndio bye bye?
Hajaanzisha JPM hi issue. Anyway, labda inawapa political mileage some other guys. But won't make any difference ukisema yes halafu ukikomaa huku ndani
Huwezi kuiondoa CCM madarakani kwa kutegemea kura. Kwa sasa nikwambie ukweli njia iliyobaki kuiondoa serikali ya CCM madaraka ni moja tu nayo ni......nk rejea yaliyotokea huko Rwanda 1994' nadhan umenielewa...kupiga kura eti CCM itaondoka madarakani ni kujilisha upepoKwa udhalimu na ukatili aloufanya kwa watz HATA AKIANDIKA BARUA KWENDA KWA MJOMBA WAKE SHETANI SHOKA LIPO SHINANI 2020 election hachomozi
Kwani hukuona ile cartoon ya Gado mfalme amekaa kwenye kiti cha enzi lakini watu wote wanamuona kuwa hana nguo ila yeye hajijui.Wamarekani wajanja sana anadhani hawajui?? Wale wanajua kila kitu ktk nchi hii hadi vitu asivyojua yeye.
sisiem yako inafanyanini?Unajua masharti hao wakiwa wanatoa hao watu na ndo maana wametufanya tusiendelee yani mnashanikia hao watu wanaotunyonya alafu wanavunga wanaleta misaada, mnashabikia vitu msivyovijua sijui Watanzania tutajitambua lini
Hilo halikuzingatiwa sanaKwaiyo wanafunzi hawatasitishwa masomo endapo watapata mimba?
Kama sheria ya kukataza mwanafunzi mjamzito asisome ilikua inapingana na haki za binadamu na ndio sababu iliyochangia kuzuiwa kwa mkopo. Basi kama kweli wamedhamilia kutoa mkopo basi lazima serikali imekubali kutengua sheria yake
Hatuendelei sababu ya ccm,usiwasingizie mabeberu, unawezaje tumia tril,1.5 kununua wapinxani na kurudia uchaguzi hewaUnajua masharti hao wakiwa wanatoa hao watu na ndo maana wametufanya tusiendelee yani mnashanikia hao watu wanaotunyonya alafu wanavunga wanaleta misaada, mnashabikia vitu msivyovijua sijui Watanzania tutajitambua lini