Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.

======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households.

The funding will benefit more than three million people through skills training and social protection programmes.

Over 650,000 graduates are expected to gain employment opportunities under the initiative.

The move reflects a broader push across Africa to tackle unemployment and economic vulnerability.

1775502077459.png

My Take
Hakuna fitina mtafanya dhidi ya maslahi ya Nchi itafanikiwa.
 
Kwamba huo mkopo watalipa CHADEMA kupitia riba tajwa?

Unaizungumzia CHADEMA isiyo hata na kiongozi ngazi ya mtaa, haina ruzuku na mwezi wa 10 unaelekea wa 11 haijafanya hata rally moja , account za benki zimefungwa, ofisi zimefungwa na magari yanapigwa vumbi tu ,haishiriki uchaguzi wowote hadi 2030.

CCM yenye umiliki wa kuanzia mgambo hadi jeshi bado CHADEMA inawanyima usingizi?

Hakika umehitimu hatua ya uchawa sasa utunukiwe ukunguni.

Haya kamata posho yako hapo ya pasaka ukiwa hapo Mbozi
downloadfile-270.png
 
Kwani wewe hujawahi kukereka na mbwa kubweka nje ukiwa ndani kwako?Unaweza kuwa ndani umelala mbwa wakabweka nje wakakukera.Hawana cha ziada wanachoweza kukufanya lakini unakerwa na milio yao.
Hawana cha maana wanachoweza kufanya ni kubweka tu.
 
Back
Top Bottom