ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #81
Nyumbu mara zote hawana akili.Wewe ni mjinga na mpumbavu wa grade ya mwisho. Wewe unafurahi mikopo ambayo wanaiba akina Samia na wezi wenzake, akiwamo mwanawe, wewe unayefaidika kwa vipesa mbuzi unapiga kelele kama vile unanufaika FALA WEWE.
Mimi sina chama kama wewe na wala sikuwahi kuwa kwenye chama chochote cha siasa Tanzania, na wala sioni umuhimu huo, sijui CHADEMA wala CCM wala CHAUMMA lakini naongea ukweli bwege wewe MJINGA unayeona kujenga stendi ya bus ni deal.....Hivi ebu jiangalie kama una akili kweli? Hizo stendi usaidizi wake kwa jamii ni kiasi gani? Strategies gani zitakazotumiwa na halmashauri kunyanyua uchumi wa sehemu husika zaidi ya kuwakamua wananchi wasio na fedha kwa kuwaibia. Tumeona stendi nyingi tu, kwanza zina hali mbaya, vyoo vinanuka, majengo yamechakaa na viongozi wa halmashauri wameweka vitega uchumi vya kuwaumiza wananchi, mfano ukisindikiza mgeni ukiingia ndani ya stand unalipia aidha mia nne au mia tano. Tuambie hizo pesa zinaenda wapi? na nini rationale ya kuwachaji hadi wanaosindikiza ndugu zao???? Unatetea system ya ovyo ya money making and grabbing systems. Manufaa ya stands ni nini? Utasema maduka......Hayo ni maduka kwanza au ni frames? Unaingia ndani kununua bidhaa na on-top of that you have to pay, sawa tuseme ni malls hizo......Hivi wewe TAAHIRA umeona wapi kuingia kwenye malls unatakiwa ulipe? Tembea uone huku duniani jinsi malls zinavyofanya kazi......Huko TZ kote wanakojenga hizo mnazosema PLAZA/STANDS/MALLS mbona tunaziona zikiwa tupu????? It is white elephant's project. Unaongea utumbo tu wa kusifia lakini huoni the real situation on the ground. Fala wewe.
Sasa niulize ilikuwaje Chadomo wawe na shobo kutaka Nchi inyimwe mikopo kama Haina faida.
Ukijibu Hilo swali ndio Utajua kwamba wewe ni mpumbavu afadhari ya nyumbu.