Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

Kwani wewe hujawahi kukereka na mbwa kubweka nje ukiwa ndani kwako?Unaweza kuwa ndani umelala mbwa wakabweka nje wakakukera.Hawana cha ziada wanachoweza kukufanya lakini unakerwa na milio yao.
Hawana cha maana wanachoweza kufanya ni kubweka tu.
Akili zenu ni kama za nguruwe anayekula hadi kinyesi chake, tukiwambia vibaraka wa mabeberu mnabisha nani aliyewapa ahadi ya huo mkopo kama sio mabeberu, sycophant.
 
Kwamba huo mkopo watalipa CHADEMA kupitia riba tajwa?

Unaizungumzia CHADEMA isiyo hata na kiongozi ngazi ya mtaa, haina ruzuku na mwezi wa 10 unaelekea wa 11 haijafanya hata rally moja , account za benki zimefungwa, ofisi zimefungwa na magari yanapigwa vumbi tu ,haishiriki uchaguzi wowote hadi 2030.

CCM yenye umiliki wa kuanzia mgambo hadi jeshi bado CHADEMA inawanyima usingizi?

Hakika umehitimu hatua ya uchawa sasa utunukiwe ukunguni.

Haya kamata posho yako hapo ya pasaka ukiwa hapo MboziView attachment 3567998
Hao nguruwe wanaofugwa kwenye makorido ya lumumba, chadema itawatesa na mama yao mpaka wanakufa kama hawaamini wasikilizie wataona.
 
Andikeni barua ya kupinga kama mliyoandika dhidi ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete au andamaneni.
Hivi maandamano lini tena?Kuna mzushi mmoja anaitwa Lord nani sijui amepotelea wapi na mikwara yake mbuzi?
 
Akili zenu ni kama za nguruwe anayekula hadi kinyesi chake, tukiwambia vibaraka wa mabeberu mnabisha nani aliyewapa ahadi ya huo mkopo kama sio mabeberu, sycophant.
Maandamano lini?Au mnangoja maagizo ya yule mwehu?
 
Sijawahi kuona mtu au nchi inaona ufahari kukopa tena kwa Beberu linalohimiza ushoga na vita. Only Tanzania under Samia.

Haya tuambie mmekubali masharti yapi ili kupata huu mkopo? Maana hakuna mkopo bila masharti. Au uiname 7 au ugawe rasimali bure.
 
Back
Top Bottom