Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Kwani chadema inatoa misaada kwa watu au inatoa ajira hadi ishindiane na serikali uaji ya mamaduro? Hata hivyo mikopo yote inajulikana inaenda wapi kwa ufisadi uliotamalaki na mapropaganda ya kumsafisha mama yao, cag atakuja kusema kama hata kijana mmoja alipata huo msaada hapo baadaye yetu macho! Anyway yale madawa expired mshayachange tarehe na kuyagawa? Tunayasubiri huku uswekeni kwa wivu mkubwa
Viwango vya chawa navyo vinashuka kwa kasi sana Makonda hajatoa fungu la seminar tu mkaelimishwe na kujua kazi za upinzani against serikali chawa uchawani
Viwango vya chawa navyo vinashuka kwa kasi sana Makonda hajatoa fungu la seminar tu mkaelimishwe na kujua kazi za upinzani against serikali chawa uchawani