ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Watafute mbinu zingine Zenye akili sio huo ujingaWatawanga,watatuma barua za fitina lakini hawafanikiwi wala hawatafanikiwa.Ni majungu tu.
Nimecheka kwa nguvu, nasikia na Bank ya Dunia wakasema cdm wakileta ujinga tena wanaongeza mkopo🤣🤣Watafute mbinu zingine Zenye akili sio huo ujinga
Unaumia sana baada ya Dua la kuku 😂😂😂😂Nimecheka kwa nguvu, nasikia na Bank ya Dunia wakasema cdm wakileta ujinga tena wanaongeza mkopo🤣🤣
Chadomo ndio Walisema wameandikia barua WB na bwana zao wengine Ulaya wasiikopeshe Tanzania kisa ujinga wao.Kaka kwahyo wewe ukiwa na madeni wanaumia chadema?
Msaada gani?Eti who are you wakati unaishi kwa msaada wao!!
Nimeumia sana, hasa hapo bank ya Dunia waliposema wanawasikiliza nyie ccm, na sio cdm.Unaumia sana baada ya Dua la kuku 😂😂😂😂
Kabla hujaangalia kama CHADEMA watanuna kajifunze kanuni za uandishi wewe chawa mwandamizi.Mi CHADEMA hapa Lazima Inune na kuanza kutukana Matusi kama vichaa au wendawazimu
as if adui mkubwa wa hii nchi ni chadema , nchi mbona ina matatizo mengi chadema ni watu wadogo mnoPoleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
View: https://www.instagram.com/p/DWoXSBYDJyh/?igsh=MTMzZ3c3aXRvNHpueQ==
My Take
Hakuna fitina mtafanya dhidi ya maslahi ya Nchi itafanikiwa.
Kumbe chao mnakihitaji na kukechekelea ? Kama ni hivyo haina haja ya kusema mnaweza kujitegemea bila ya misaada ya wazungu.Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
View: https://www.instagram.com/p/DWoXSBYDJyh/?igsh=MTMzZ3c3aXRvNHpueQ==
My Take
Hakuna fitina mtafanya dhidi ya maslahi ya Nchi itafanikiwa.
Lini tuliwahi sema hatuhitaji mikopo?Kumbe chao mnakihitaji na kukechekelea ? Kama ni hivyo haina haja ya kusema mnaweza kujitegemea bila ya misaada ya wazungu.
Ndio Kwa sababu ndio vibaraka wa Mabeberu yaani ma snitch.as if adui mkubwa wa hii nchi ni chadema , nchi mbona ina matatizo mengi chadema ni watu wadogo mno