Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Tsh. 7,834 kwa siku ni maskini kupindukia

World Bank inajua wapo Wahadzabe pia, Khoisan, Basarawa, raia wa misituni DRC n.k hao wote wamezingatiwa kupata huo "wastani".
 
Watakuwa USA na Umoja wa Ulaya hao.Sisi huku uchumi wetu upo juu na tunawazidi mbali sana.Vipi,wanataka tuwaidhinishie misaada? They don't have to worry much,Watapata.
 
Ukiona binadamu anaishi maisha hayo halafu unasema anafuraha huyo ni mjinga anaesubiri kufa na sio kuenjoy dunia Hana tofauti na nyani maana nyani nao huwa wanafuraha sana
 
World Bank inajua wapo Wahadzabe pia, Khoisan, Basarawa, raia wa misituni DRC n.k hao wote wamezingatiwa kupata huo "wastani".
Mbona hatuzioni huku au wanazipiga juu kwa juu?
 
Kwani wao ni akina nani mpk wapange,acha kusikiliza vitu vya kipiizi
 
Sasa hawa watu wanaosema wanasurvive kwa elfu 7 and below wanaishije, bado nawaza...ndio maana nikasema kwenye mchango wangu labda ni hawa young ages ambayo hawana majukumu and they don't pay bills.
Ata kwa hao young ages...anaangaliwa 'bread winner' tu
 
Yoda Inafikirisha kwa kweli, nimeshangaa baadhi ya wachangiaji humu wakisema wanaweza kusurvive kwa $3 and below like how?? Nikwamba living cost ya Tz ndio imekuwa chini hivyo, paying gas, Internet, transport meals and drinks na bado mambo kibao.
 
Hesabu inachukulia wastani wa thamani ya matumizi ya MTU kwa siku
Kwahiyo unataka kuniambia hiyo average waliipata bila kuhusisha matumizi ya fedha ya mkopo?,amini usiamini debt inachukua sehemu kubwa zaidi kwenye matumizi kuliko cash
 
$3 kwa siku ni kwa nchi masiki, kwa nchi za kipato cha kati ni $6.85, nchi tajiri hiko kipimo hakiwahusu.
 
Nashukuru nimeepuka kikombe cha ufukara huo.
 
hapana, mbona tanzania imepiga maendeleo kuliko marekani? bimkubwa kasema.
 
Yoda Inafikirisha kwa kweli, nimeshangaa baadhi ya wachangiaji humu wakisema wanaweza kusurvive kwa $3 and below like how?? Nikwamba living cost ya Tz ndio imekuwa chini hivyo, paying gas, Internet, transport meals and drinks na bado mambo kibao.
Kuna waongo na wengine hawaelewi hiyo $3 inamaanisha nini, mfano huko vijijini boda zimejaa ndio usafiri mkubwa sehemu nyingi na watu wanalipa hadi buku 3 kwa tripu moja, wananunua mafuta ya taa kila siku n.k
 
Yani huyo Akuamkie jamni eela ngumu sana na ukiishika ni shwaa sijaamin jana nimejifanya kupika pilau kilakitu kipo ni nyama na viungo Elf 9 shwaa nikasema nn nikaanza kisearch chenji ufukara tabu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona hutaki effective utilisation of resource (money) 🀣🀣🀣
 
Natumia zaidi lakin inategemea na siku na vyakula vipo ndani kunasiku sifikii. Hiyo mfano nikiamua nisinunue vitu nje au mgahan nilliko ugali buku πŸ˜€ tunazungumzia kula Tu lakin
Unajua life sometime linatufanya sisi tunajiona smart 🀣 kwani kusomba vitu vya ndani ndo umekwepa matumizi ni umepunguza ruti za rejareja ila tabu iko pale pale on every month tena matumizi ni zaidi mama chanja kodi ya kichwa ibaki mezani hata kama stoo imejaa πŸ˜„
 
Really? Interesting! Una familia? Unafanyaje fanyaje, ebu tupe experience yako kama hutojali.
Ndio nina familia, vile nafanya kwa kweli ndio mshangao wenyewe, ila formula yangu kubwa ni two in one kwenye mlo wa siku, na wakati mwingine two in three.
 
$3 kwa siku ni kwa nchi masiki, kwa nchi za kipato cha kati ni $6.85, nchi tajiri hiko kipimo hakiwahusu.
Chukulia Tanzania, na mdau ambaye ni above average tuseme anapata 20k kwa siku akienda kupiga issue zake za u day worker...; huyu jamaa nikiweka usafiri kwenda na kurudi, nikiweka maji ya kunywa hata kama akipiga ndefu mchana na tuseme hata nyumba huko anakopanga tuseme anamzingua mwenye nyumba na ni mtu wa kukimbia na madeni (hapo nikiweka bili ya maji na umeme) tunaongelea mtu ambaye anakopa mwezi ujao ili alipe madeni ya mwezi uliopita (in short yupo kwenye absolute poverty na kipato chake cha 20k kwa siku)

Chukulia average Joe mmoja yupo huko Bush, yeye mitikasi yake hata kwa miguu anatembea maji anaweza kunywa hata ya mtoni au ya mvua amekinga (after all sewage system haijachafuliwa kama ya mjini ambapo typhoid ni nje nje) huyu mtu hata akilipa luku ni Tshs 100 per unit (tariff zero) kupika anaweza kutumia kuni, starehe zake ni ngoma na kukutana nawadau kijiweni; mjomba wake akimtumia hata 10k huenda ikamaliza miezi mitatu kwa kununua local brew....

Kwa mfano wa hao wawili wa pili anaishi a fulfilling happier sustainable life without stress ingawa hata wallet hana na mpesa yake haijawahi kusoma zaidi ya 30k at any given time....

i.e. "Each case must be considered on its own merits"
 
Huyo average Joe mmoja wa huko Bush yeye chakula anakitoa wapi? Au anaishi kwa kula matunda pori na wanyamapori wa serikali?? Haumwi na akiumwa hatibiwi hospitali? Hanywi pombe wala kufanya mapenzi? Wastani wa miaka ya kuishi ya average Joe ni miaka mingapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…