Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

Ni bora kuachana na huo mkopo.. Huwezi idhinisha umalaya kwa wanafunzi kisa dola milioni mia tano.
Kutunga sheria ya kuidhinisha umalaya kwa wanafunzi kutaharibu mabinti zetu wanaojitunza.
Bye bye WB.. U can keep your money.
Sasa si muwaambie tu kuwa hatutaki pesa zenu?!! Na mkome kuwa mnatuweka kwenye list za nchi zinazotakiwa kupata mikopo, kwani hii sio mala ya kwanza. This is donor country bwana!! Dolar milioni 500,kitu gani bwana!!! "BAADA YA MUNGU NI MZUNGU"
 
Bila kuitaja cdm hapo Lumumba buku7 haingii?
 
Nchi za magharibi kutoa mimba ruksa ndio maana mabinti wao hawazai ovyo mpaka wakitaka
 
GUSSIE,
Hili suala ni pana.kutamka hadharani kuwa binti mwenye mimba atafukuzwa shule ni kumnyanyasa mwana mke na kuonea watoto.

Hawa wanafunzi wanashurutishwa na waalimu kufanya ngono.Wengi ni wahanga wa umaskini.

Tupambane na wanaotia wanafunzi mimba kwanza.
 
Sio kila apataye mimba amejitakia. Hawa watoto mara nyingi wanakuwa wahanga wa manyanyaso ya kingono na ukatili wa kijinsia kwa sababu hawana nguvu ya kukataa na kujadiliana. Pia umaskini unachangia wai kulaghaika.
 
GUSSIE,
Mimi naona sheria kali zingewekwa kwa wale wanaowapa Mimba wanafunzi. hao watoto unajua ndio wanapevuka na wanakua na moto sana kwahiyo wanashawishika kirahisi.

We should fight the cause rather than the results
 
Hakimu Mfawidhi,
Kupata mimba shule ni sawa na kufukuzwa shule! Ikiwa yeyote aliyefukuzwa shule hasiruhusiwe kusoma shule nyingine basi kuna wengineo hata huo urais wangeusikiaga tu. Elimu ni haki ya kila raia tusibaguane! Siyo wote wenye ndoa halali huishi kwa raha na amani, wapo wanaoishi bila ndoa halali na wametengeneza familia bora.
 
Sio kila apataye mimba amejitakia. Hawa watoto mara nyingi wanakuwa wahanga wa manyanyaso ya kingono na ukatili wa kijinsia kwa sababa hawana nguvu ya kukataa na kujadiliana. Pia umaskini unachangia wai kulaghaika.
Kwa maana wanabakwa ama? Atakaebakwa awe na ushahidi ili handling ya case yake iwe tofauti.
 
Ndio hasa nilichokisema kusoma wasome ila kwa mfumo wa pekeyao ambao sio sawa na ule wa watoto wengine waliofata kusoma shule. Mtoto anatakiwa aogope kufanya mapenzi kabla ya wakati sio kuendekeza umalaya af wakitiwa mimba wanakuja kuleta shida kwa wazazi na serikali.
 
Mkia mtaufayata tu. Hahahaaaa aibuuuu
 
Hahhaaaa Modomo umeuponza kichwa. Anapenda kuonge ongea sana
 
MsemajiUkweli,
Unaposema kiimani unamaanisha imani ya dini gani? kila mtu na imani yake.sie tusiokuwa na dini je?
 
Na mtu aliyebakwa akiwa mwanafunzi akapta mimba je??na yeye utasema ni Malaya??
 

Unafikiria kwa kutumia ubongo kama sisi au unatumia “kinyeo” kufikiria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…