Tangu lini mzazi akaitwa mtoto? Huyo ni mtu mzima, si mtoto tena.Wajinga na wapumbavu( maccm) ndio yanayodhani mtoto akirudi shuleni ni vibaya sijui yanapungukiwa nini akirudi kusoma au ni roho mbaya tu.
Haya mabinti yanayobakwa mengi ni mashenzi sana.Kwa maana wanabakwa ama? Atakaebakwa awe na ushahidi ili handling ya case yake iwe tofauti.
bure kabisa, wanateteana tuHaya mabinti yanayobakwa mengi ni mashenzi sana.
Unakuta serikali inafungua kesi halafu vyenyewe vinakaa kwenda kutoa ushahidi.
Wameshanichosha hawa mabinti ni [emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa anaebana anajulikana vizuri tu ila muda ukifika AIBUHawa WB, ni kawaida yao na tumeisha wazoea, ni wanabana tuu kama kawaida yao, watabana, watabana, watabana, mwisho wataachia.
P
cc: Pascal Mayallaivi jamani mbona kiki za kuwa makusanyo yako juu na tunaweza kuwa donor kantri inakuwa kinyume na maamuzi ya kuendelea kuombaomba mikopo??
Tuwape muda watabadilika polepole tayari wameanzaWatu weusi tuna shida sana. Nafikiri kuna Tatizo kubwa sana kwenye akili zetu na mioyo yetu. Hivi mtoto aliyepata ujauzito kuna Tatizo gani kwa yeye kuendelea na elimu hii hii ya kawaida kama wenzake ?
Ndugu lets think beyond our noses,majirani zetu kenya mtoto anatoka darasani na kukimbia nyumbani kunyonyesha ,na wanatuzidi uchumi elimu kasoro madini tu,mbona wako sawa tu sisi,tunafeli wapi?Mtoto akipewa mimba kuwepo na special schools za wazazi ambazo ni private kama walivyofanya juvenile courts. Wasichanganyikane na wenzao ambao ni fresh.
Na kitendo cha mtoto kupata mimba kinafutia validity ya kuitwa mtoto. Ngumu ku exercise haki za mtoto maana keshakuwa mzazi. Apambane na hali yake maana alipovua chupi alijua kabisa kuwa madhara yake atavimba juu.Tusiendekeze ujinga.
Baba kasema wote wanaohusika na mimba out! Mmoja jela mwengine kwa baba ake!Ndugu lets think beyond our noses,majirani zetu kenya mtoto anatoka darasani na kukimbia nyumbani kunyonyesha ,na wanatuzidi uchumi elimu kasoro madini tu,mbona wako sawa tu sisi,tunafeli wapi?