Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

Zamani ndo ilikuwa coocked figure zinatolewa ndo maana hata takwimu zilidhibitiwa ili watoe wenyewe wanachotaka. Usiri mkubwa na ukatili vilificha maovu mengi sana.
Kama zamani ilikuwa ni hivyo basi Sasa ni zaidi
 
Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.

Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Na hilo ndio lengo la mabeberu mkuu,hawatoi fedha kwa vitu vitakavyowainu,wanataka muendelee kuwatumikia daima
 
Kama zamani ilikuwa ni hivyo basi Sasa ni zaidi
Hapana, mama amejitahidi kuwa muwazi sema mfumo wa ccm unazingua,, wapigaji ni wengi.
Ukifukunyua sana mwishoe unajifukunyua mwenyewe.
 
Kwa mkopo huu na miradi yake ni kielelezo kuwa nchi yetu haijakomaa kiutawala/kiuongozi. Haya mambo ya kukopa yatungiwe sheria inayotoa nafasi kwa BUNGE kujadili na kuidhinisha maombi ya mikopo ili kuhakikisha zinaelekezwa mahali ambapo zitaweza kukuza uchumi kwa haraka ili kupunguza mzigo kwa vizazi vijavyo! Mpango wa taifa wa miaka mitano uoneshe maeneo yenye kuhitaji mikopo sio kila kiongozi anaamua kukopa tu.

Hivi unakopa pesa kuboresha mitaala ya vyuo vikuu wakati kila kukicha wafanyakazi waliokopa bodi ya mikopo wanakatwa mabilioni kila mwezi!! yanenda wapi?
Unakopa kuboresha internet (digital) wakati kila huduma ya mtandao serikali inakata asilimia 18 kwa watumiaji kuanzia muda wa maongezi hadi bando!!

Jamani kama taifa tunaingia kwenye shida kwa tamaa ya vitu vizeri bila kuwa na uwezo

Nashauri siku nyingine serikali itupatie mchanganuo wa deni lote tujue pesa zilifanya nini
Nakumbuka nakusitika niliposikia serikali inaombwa kusamehewa deni la Urafiki na Reli ya tazara! kumbe madeni mengine ni ya zamani ila kizazi hiki ndo kinaumia kulipa!!
 
Baada ya miezi ndio watajua hawajui mkuu!

Ngoja tukae kimya maana tukisema tunaambiwa mataga
Mkuu tunakwenda kuingizwa kwenye shida kubwa mno mno mno.... Na hawa ambao wanashangilia Sasa watakuja kujua baadae.... Ukwel kuondoka kwake ni hasara kubwa mno...

Sasa ona Sasa hv.. watu wanavyokopa halafu Kodi watu wanalipa kwa hiari jumlisha ufisadi unaoanza kuwepo maana watu hawaogopi wanachukua tu wanajua hakuna wakuwawajibisha...

Sa iv hakuna wanaemwogopa ngoja uone hzo pesa hakuna Cha maana kitakachofanyika zaidi ya watu kugawana na mwisho miladi inakufa.. kizazi kinachokuja kitakuwa kwenye wakati mgum..

Na wale wanajua wanakwenda kutulazimisha kufuata kile wanachotaka wao,... Tujiandae tu kisaikolojia ila nchi inakwenda kubaya mno......
 
Back
Top Bottom