TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
kaulize Kama zipo, Task force aliyounda mama imelamba zote, ndio izo zinapelekwa tarulaKwani account yake ilikufa? Mkachukue sasa kmaa kuna hela zisizohalalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaulize Kama zipo, Task force aliyounda mama imelamba zote, ndio izo zinapelekwa tarulaKwani account yake ilikufa? Mkachukue sasa kmaa kuna hela zisizohalalo
Kama zamani ilikuwa ni hivyo basi Sasa ni zaidiZamani ndo ilikuwa coocked figure zinatolewa ndo maana hata takwimu zilidhibitiwa ili watoe wenyewe wanachotaka. Usiri mkubwa na ukatili vilificha maovu mengi sana.
Na hilo ndio lengo la mabeberu mkuu,hawatoi fedha kwa vitu vitakavyowainu,wanataka muendelee kuwatumikia daimaWamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.
Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Hapana, mama amejitahidi kuwa muwazi sema mfumo wa ccm unazingua,, wapigaji ni wengi.Kama zamani ilikuwa ni hivyo basi Sasa ni zaidi
Halafu angekuja na mbwembwe za tunatumia peas zetu za ndaniHii hela ingetolewa wakati wa jiwe angekula yote na majambazi wenzake akina Sabaya, Mnyeti, Kakoko na Bashite
Wewe ndiyo unademka na ndugaiNdio maana yafaa kuwa makini hapa, sio kila track mnademka nayo.
Mkuu tunakwenda kuingizwa kwenye shida kubwa mno mno mno.... Na hawa ambao wanashangilia Sasa watakuja kujua baadae.... Ukwel kuondoka kwake ni hasara kubwa mno...Baada ya miezi ndio watajua hawajui mkuu!
Ngoja tukae kimya maana tukisema tunaambiwa mataga