Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Tupo $ 1,063 huko $ 1,090 hatujafika. Labda tutafika 2025.
 
Tangu mwaka 2015 adui wa Tanzania ni

1.Chadema
2.Ujinga
3.Maradhi
4.Umasikini

Kikwete ni ccm kama Magufuli na USD80 za Magufuli zimetosha kuwafanya mabeberu waunge mkono juhudi na kuitangaza Tanzania kuwa sasa ina uchumi wa kati.

Weka link ili tusome kilichoandikwa.
 
Safi sana great thinker umeshusha data anayepinga aje na data pia
 
Uchumi wa kati huku wagogo wanakula nyasi.
 
Rais muongo huyu. Hapa wajinga watajua tumefika level moja na South Africa yenye GDP ya $6,606 wakati sisi tuna $ 1,063.
Na Watanzania tulivyo wagumu wa kutafakari jambo basi hapo tutaishi kusifia tu wakati hatujui hata ni nini maana yake.
 
Mkuu wacha fix ya kusema miaka mitano mitano etc. What you brought was wrong, kubali hilo then tujikite kwenye issues. Hakuna mahali popote uchumi ulipwaya kwa sababu 2015-16 budget yake alifanya JMK kwa hiyo basi mwaka wa kwanza huwa ni mfuto. Uchumi wake hasa ni kuanzia 2016/17 na kuendelea kwa hiyo ulipokuwa unasema JK kwa miaka 10 na kulinganisha ulikuwa unapotosha.

BTW soma hii hapa ''The world’s Middle Income Countries (MICs) are a diverse group by size, population, and income level. They are defined as lower middle-income economies - those with a GNI per capita between $1,006 and $3,955; and upper middle-income economies - those with a GNI per capita between $3,956 and $12,235 (2018). Middle income countries are home to 75% of the world’s population and 62% of the world’s poor. At the same time, MICs represent about one third of global GDP and are major engines of global growth.''

Wacha kuleta fake news.
 
Reactions: Oii
Tangu mwaka 2015 adui wa Tanzania ni

1.Chadema
2.Ujinga
3.Maradhi
4.Umasikini

Kikwete ni ccm kama Magufuli na USD80 za Magufuli zimetosha kuwafanya mabeberu waunge mkono juhudi na kuitangaza Tanzania kuwa sasa ina uchumi wa kati.
Tupe tafsiri ya UCHUMI WA KATI mkuu na sisi tufahamu basi ili twende sawa
 
Hivi Lower middle income ndo uchumi wa kati?
Ni wa kati ila ni lower. Sio ule wa kati wenyewe ambao unaitwa upper middle.
Yaani watanzania wengi wameelewa kuwa tumefika upper middle income ambayo inaanzania $4046 wakati sisi tupo GNI ya $ 1,063 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…