Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Ni kweli Mkuu jumbe, tunafurahi Mashekh na Maaskofu wamesimama kidete kuombea Tanzania amani pia kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kututumikia vyema
Wale vijakazi wa mabeberu wameshikwa na aibu
 
What a move! Big Congrats to Mr. President and the people of Tanzania, the plan was to be achieved in 2025.
But finally reached in 2020.
 
Machadema yatapinga!
Hawatakosa la kusema, sasa hivi watamzushia JF Member Kawe ALUMNI eti kafoji au kapewa fake document kutoka Lumumba etc etc. Hao ni WB wenyewe wamekubali jambo liwe jambo. Bado tunawasubiri IMF nao watoe OK halafu watu walie !
 
Sisi ni matajiri, nyie Chadema hamna shukrani Rais Magufuli anawalipa mshahara ila mnapiga kelele
Wote MATAGA mumefuata mkondo mmoja wa kusifia. Ngoja tuje na uchambuzi maana wote hamjui mnachojadili. Nimeona hadi mwenyekiti wenu ame tweet inaelekea na yeye hajui vizuri
 
Tulia hivyo hivyo sindano izame
Duh! Hata Lesotho wamo mkuu?, Alaf mh Kabudi si alituambia inaitwa United Republic of Tanzania mkuu?

Nitaendelea kusema siku zote Rais Magufuli anaweka historia ambayo itachukua vizazi vingi hadi kuja kufikiwa na viongozi wajao wa taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…