Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Ungekuwa unajua unachoongea basi ungeyakubali maelezo ya akina Zitto! Sasa ikiwa 2015 GNI per capita ilikuwa $980; lakini kwa miaka 5 bado alikuwa anahangaika kuivusha from $980 to somewhehre around $1036 !
Kwa maana nyingine, kwa miaka yote hii kumbe Magu alikuwa ana-hustle kupandisha kwa angalau $60!!!
View attachment 1494583
Kama hapo huoni tatizo, then you've serious problem, kwa sababu, ikiwa from 2005 to 2010 ilipanda kwa $220, na from 2010 to 2015 pia ilipanda kwa $220, lakini miaka 5 ya JPM inaonesha ameshindwa kupandisha hata kwa $100!!
Yaani tunalingia $1,063 ,Uchumi wa kati ni kuanzia $4000 na kitu. Kwanza upper lower income ni 1,035. Kenya wao wapo $ 1800 ila wapo kimyaaaa.
😂😂😂Bro kama imekuumiza sana waandikie WB wakanushe barua yao....[emoji3][emoji3][emoji3]
MaCCM bhana..!! Kwani mmelogwa!!?
Asiye kuelewa atakuwa na matatizo ya akili...
Nchi ilishafika hapo since 2018
Zimbambwe na matatizo tao yote walisha ingia miaka mingi. Sio kitu cha ajabu wala nini sema mi ccm imetuchelewesha hadi chadema walipo ahidi kuingiza nchi ndani ya miezi 6 ndio imeamka.
Kabisa hawaanalyse mambo. Wanapokea kama yalivyo.
😁😁😁 wasiombe tutolewe, wamwombe huyo Pompeo awahamishie huko kwakeWanatamani wampigie simu pompeo, ili Tanzania tutolewe
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati
Sisi ni matajiri
Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020
============
[emoji16][emoji16][emoji16] wasiombe tutolewe, wamwombe huyo Pompeo awahamishie huko kwake
Zitto na waumini wake wamechelewa kuzuia hii barua isitoke....
Sasa wanakosoa as if WB wamekosea...
Wanakuja na stories na dataz na evidences.. why thou?[emoji3][emoji3]
Eti kuniuma! Unajua nyie watu siasa zinawafanya mshindwe kuwa reasonable! In short, mnachofurahia kwa mbwembwe hapa is just virtual thing manake physically or in reality, hakuna chochote!Bro kama imekuumiza sana waandikie WB wakanushe barua yao....[emoji3][emoji3][emoji3]
Yani hata Zimbabwe na uchumi wao mbaya walitutangulia.Angalia 2015 hadi 2018
View attachment 1494758