Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Bro kama imekuumiza sana waandikie WB wakanushe barua yao....[emoji3][emoji3][emoji3]
Ungekuwa unajua unachoongea basi ungeyakubali maelezo ya akina Zitto! Sasa ikiwa 2015 GNI per capita ilikuwa $980; lakini kwa miaka 5 bado alikuwa anahangaika kuivusha from $980 to somewhehre around $1036 !
Kwa maana nyingine, kwa miaka yote hii kumbe Magu alikuwa ana-hustle kupandisha kwa angalau $60!!!
View attachment 1494583
Kama hapo huoni tatizo, then you've serious problem, kwa sababu, ikiwa from 2005 to 2010 ilipanda kwa $220, na from 2010 to 2015 pia ilipanda kwa $220, lakini miaka 5 ya JPM inaonesha ameshindwa kupandisha hata kwa $100!!