Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Tunakuunga mkono... hatufurahii bali tutaungana nanyi kuipinga barua kwa nguvu zote...

Will that make you feel better?
 
Barua gani haina hata saini. Hii ni fake 100%. Taarifa zote zimepikwa ili kusaidia campaini za ccm
 
''The GNI per capita is usually influenced by factors such as economic growth, inflation, exchange rates, and population growth. To keep the income classification thresholds fixed in real terms, the scale for categorising countries is usually adjusted annually for inflation using the Special Drawing Rights (SDR) deflator.

The analysis is usually done on July 1 every year. Another African country that moved to the lower-middle-income category was Benin with GNI per capita of $ 1,250. The latest achievement puts Tanzania in the same category with Kenya.''

Tumewawashia taa majirani zetu ni swala la muda tu!
 
Tuna amani , hatuna ukabila, maziwa makuu, bahari ya hindi, mito, gesi, mifugo ya kila aina, visiwa,makaa ya mawe, mafuta,mlima mrefu zaidi afrika, milima mingine mirefu zaidi, madini mbalimbali na ya kipekee (Tanzanite), mbuga za wanyama, ardhi yenye rutuba, maeneo ya kihistoria na watu zaidi ya milioni 55...

Je, kwanini imechukua miaka 58 kama taifa kufikia uchumi wa kati?

Ni kina nani hao wanaohujumu hili taifa lenye kila kitu kuendelea kwa kasi ndogo namna hii?

Nafikiri kama taifa, baada ya kujipongeza kufikia the so called uchumi wa kati tuwe na mjadala wa kitaifa wa kushughulikia vitu vyote vilivyotufanya tutumie miaka 58 kufikia uchumi wa kati ili hali tukiwa na kila kitu nchi inachopaswa kuwa nacho
 
Namba hazidanganyi mkuu,ni sawa haiwezi kuwa na rate ya constant kwa mwaka kwamba ni 6.6 usd ,nimechukulia kama ndani ya miaka 6 pato limeongezeka kwa usd 40 inamaana evarage ya ukuaji ni 6.6 usd kwa mwaka ,elewa tena ni evarage!!! Yaani labda mwaka 2015 ilikuwa 10usd,mwaka 2016 ikawa usd 8 ,mwaka 2017 ikawa 12usd,mwaka 2018 ikawa 5usd,mwaka 2019 ikawa 5 usd etc sasa ukija kuchukua evarage kwa mwaka ndio unapata hiyo 6.6usd sasa ili tuje kufika 12,00usd kutoka tuilpo now 1090 usd itatuchukua miaka 1600!
 
Asipoelewa aende kwa Ngwajima akaombewe
 
Muda wa kujenga major infrastructure lazima uchumi uyumbe... acha akili za kishirikina.
 
Ukiwa huna insurance marekani wanatibiwaje? Only ICU utapokelewa bure na ukitoka bill yako itafuata.

Foleni ya hospitali za bure USA sijui masaa mangapi[emoji3][emoji3] hutoamini..

Na bongo hospitali hakuna dawa wakati wenzetu hospitali unaambulia cheti kajinunulie mwenyewe huko...

Hayo maji bei mbaya...

Barabara shida ipo na msongamano upo ndio maana wanazijenga kila siku... hazijawahi kuwa comfortable as u might think. Huko vijijini za vumbi zipo na zinatope..

Usisahau kuwa kuna za kulipia nyingi sio bure

Shule bure ila kama za kata bongo kwa maana ya utoaji elimu (majengo safi)... wenye uwezo wanatafuta maeneo yenye shule nzuri.. maskini ni kayumba kama kawa... drugs na kukosa walimu na vitabu kama tz.

Huo umeme sio bure..

Infwakt unaongelea nchi la kibepali hivyo kutolalamika kunatokana na kununua...

Kwetu kuna element ya ujamaa .. bei ziwe chini/huduma ikitegemea subsidizes
 
kwa mazingira mazuri na rasilimali zilizopo tanzania, yawezekana tumekosa sera nzuri za uchumi na kukosa vipaombele kwenye mipango ya maendeleo.
 
Ni Kelli mkuu Dam55
Duh! Hata Lesotho wamo mkuu?, Halafu mh Kabudi si alituambia inaitwa United Republic of Tanzania mkuu?

Nitaendelea kusema siku zote Rais Magufuli anaweka historia ambayo itachukua vizazi vingi hadi kuja kufikiwa na viongozi wajao wa taifa hili.
 
Hongera za pekee kwa Mheshimiwa rais wangu JPM
 
Hiki ndo kipindi raia wamezidi kuishi kama mashetani, hakuna cha uchumi wa kati wala nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…