Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Sijakusoma sana mkuu ila system ya tz ni ku own nyumba yako ama kamata jumba zima kwa laki 5...

Na kwa USA naamini ni ubepari.... umetengeneza mzunguko wa biashara/pesa hivyo kutengeneza ajira nyingi na watu kupata pesa kiasi kuweza kulipa bills... Nakili kuwa naweza kuwa sijakujibu kitaalam sana ila unaweza kupata concept.. sorry.
unafikiria ni kwa nini wanaafford kulipia na Tanzania inashindikana?
 
Napenda kukugusa sehemu mbaya ili ukasirike na kurusha ngumi...

So now its Kima vs Nyumbu [emoji3][emoji3]
 
Nyoka sio adui wa mwanadamu....
Kuna siku unalala ukiamka nyoka yuko next to you ana enjoy joto la mwili... unamshika mkia unamtoa nje...

Najua biblia ilitumia nyoka kumdanganya Eva ndio maana mna hasira nae... ilikuwa ni lugha ya mafundisho tu sio nyoka kweli[emoji3][emoji3]
Mnapishana na nyoka juu kwenye paa, unatofauti gani na mhanga?
 
Siku ukiangukiwa utakoma
 
Tuna stahili kuwa nchi ya uchumi wa kati?
 
Kwahiyo biblia ni waongo hakuna Mungu?
 
Kama hakuna MUNGU kwanini Mwenyekiti wako anajifanya mcha MUNGU kumbe ni muongo ndiyo maana matendo yake ni ya hovyo?
 
Tupo GNI per capita $1,063 ,siyo ya kuringia kutoka tulipokuwa $980 .Kumbuka JK alipandisha mpaka 720 mwaka 2010 kutoka kwenye $500 mwaka 2005.Mpaka hapa Magufuli hana maajabu yeyote.
Timu ya mpira ina wachezaji 11, lakini anayefunga goli ndio anayesifiwa haijalishi alicheza kwa kiasi gani. JK 720, 500, aliyefunga ni mwenye 54 na mchezo haujakwisha ni halftime tu. Bado mambo ni mbele kwa mbele.....
 
Umewahi kufika Singida, Simiyu, Mara, Geita, Shinyanga, Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Iringa, Njombe, Dodoma, Tanga, Pwani, Lindi, Ruvuma, Mtwara, Songwe na Kagera Mkuu?
Kote nimefika
 
Mkuu nimesema wapi hakuna mungu?

Hang over mkuu ama?

Ukiwa sober niulize tena
Kama hakuna MUNGU kwanini Mwenyekiti wako anajifanya mcha MUNGU kumbe ni muongo ndiyo maana matendo yake ni ya hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…