Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Sijakusoma sana mkuu ila system ya tz ni ku own nyumba yako ama kamata jumba zima kwa laki 5...

Na kwa USA naamini ni ubepari.... umetengeneza mzunguko wa biashara/pesa hivyo kutengeneza ajira nyingi na watu kupata pesa kiasi kuweza kulipa bills... Nakili kuwa naweza kuwa sijakujibu kitaalam sana ila unaweza kupata concept.. sorry.
unafikiria ni kwa nini wanaafford kulipia na Tanzania inashindikana?
 
Napenda kukugusa sehemu mbaya ili ukasirike na kurusha ngumi...

So now its Kima vs Nyumbu [emoji3][emoji3]
We kima si ulishasema huna cha kuongea, sasa mbona unazidi ku-quote posts zangu!! To be honest, I feel so irritating ku-argue na wewe, sema ndo vile tu!

All in all, utakapokuwa unapumuliwa kisogoni na huyo anayekufanya uanze kutukana watu kila anaposemwa basi usisahau kumwambia kwamba tangia jana umewakomesha kweli kweli wanaomsema!
 
Nyoka sio adui wa mwanadamu....
Kuna siku unalala ukiamka nyoka yuko next to you ana enjoy joto la mwili... unamshika mkia unamtoa nje...

Najua biblia ilitumia nyoka kumdanganya Eva ndio maana mna hasira nae... ilikuwa ni lugha ya mafundisho tu sio nyoka kweli[emoji3][emoji3]
Mnapishana na nyoka juu kwenye paa, unatofauti gani na mhanga?
 
Mwenye tembe ni fully owned halipi morgage...

USA unaalipia mortage 30 years na ukiumwa ama kukosa kazi miezi michache wanachukua....

Bado hata nunua cash ... wanakutegea kwenye kukosa kulipa kodi waichukue...hujakatia majani wanabeba...

I love my tembe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siku ukiangukiwa utakoma
 
Tusitegemee pia misaada na mikopo yenye masharti ya kutufanya kuwa ombaomba milele.
Tufike mahali tujiulize siku watoaji wakiamua kutunyima hiyo misaada na mikopo tutafanyaje? Tukumbuke hawa ni wafanya biashara kwa kila wanachofanya wanaangalia faida yao kwanza
Tuna stahili kuwa nchi ya uchumi wa kati?
 
Nyoka sio adui wa mwanadamu....
Kuna siku unalala ukiamka nyoka yuko next to you ana enjoy joto la mwili... unamshika mkia unamtoa nje...

Najua biblia ilitumia nyoka kumdanganya Eva ndio maana mna hasira nae... ilikuwa ni lugha ya mafundisho tu sio nyoka kweli[emoji3][emoji3]
Kwahiyo biblia ni waongo hakuna Mungu?
 
Nyoka sio adui wa mwanadamu....
Kuna siku unalala ukiamka nyoka yuko next to you ana enjoy joto la mwili... unamshika mkia unamtoa nje...

Najua biblia ilitumia nyoka kumdanganya Eva ndio maana mna hasira nae... ilikuwa ni lugha ya mafundisho tu sio nyoka kweli[emoji3][emoji3]
Kama hakuna MUNGU kwanini Mwenyekiti wako anajifanya mcha MUNGU kumbe ni muongo ndiyo maana matendo yake ni ya hovyo?
 
Tupo GNI per capita $1,063 ,siyo ya kuringia kutoka tulipokuwa $980 .Kumbuka JK alipandisha mpaka 720 mwaka 2010 kutoka kwenye $500 mwaka 2005.Mpaka hapa Magufuli hana maajabu yeyote.
Timu ya mpira ina wachezaji 11, lakini anayefunga goli ndio anayesifiwa haijalishi alicheza kwa kiasi gani. JK 720, 500, aliyefunga ni mwenye 54 na mchezo haujakwisha ni halftime tu. Bado mambo ni mbele kwa mbele.....
 
Umewahi kufika Singida, Simiyu, Mara, Geita, Shinyanga, Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Iringa, Njombe, Dodoma, Tanga, Pwani, Lindi, Ruvuma, Mtwara, Songwe na Kagera Mkuu?
Kote nimefika
 
Mkuu nimesema wapi hakuna mungu?

Hang over mkuu ama?

Ukiwa sober niulize tena
Kama hakuna MUNGU kwanini Mwenyekiti wako anajifanya mcha MUNGU kumbe ni muongo ndiyo maana matendo yake ni ya hovyo?
KctNhiy99LoLBTgLNO.gif
 
Back
Top Bottom