Punguza shobo choko... hilo tbo unalompa Jiwe mie silitakiBisexuals huwa mna hasira ...
Pepo hilo kemea likutoke...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza shobo choko... hilo tbo unalompa Jiwe mie silitakiBisexuals huwa mna hasira ...
Pepo hilo kemea likutoke...
Ndo hilo tu dadangu?! It doesn't make any sense... yaani unaibuka from nowhere na kutaka kufahamu maisha binafsi ya watu lakini unaishia kuongea hayo tu?!ndiomaana jumbe zako zinafanana uwezo wa elimu yako kukuxaidia kufikiri
Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'For the current 2021 fiscal year, low-income economies are defined as those with a GNI per capita, calculated using the World Bank Atlas method, of $1,035 or less in 2019; lower middle-income economies are those with a GNI per capita between $1,036 and $4,045;
Punguza shobo choko... hilo tbo unalompa Jiwe mie silitaki
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!Biashara matangazo.... unajitangaza vyema..
Ila mimi mlokole...
Kemea pepo la u gay limetoke huyu kijana
Narudia, kwa takwimu hizo za WB, ni ushahidi tosha kwamba Jiwe amevuruga uchumi, na hata corrupt JK Government, was far better compared to huyu jamaa
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1497062
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1497063
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1497064
Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi!
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!Attention Deficience Disorder ADD
Ni dalili za majini katika ulimwengu wa kiroho.....
Kemea mapepo haya....
Unazungumziaje kupanuliwa na kuboreshwa kwa huduma za jamii na miundo mbinu km za usafiri, katika kuchangia kupunguza gharama za matumizi (siyo kipato) kwa mwananchi mmoja mmoja, kaya na jamii kwa ujumla, sekta ambazo awamu zilizopita hazikutilia maanani?Narudia, kwa takwimu hizo za WB, ni ushahidi tosha kwamba Jiwe amevuruga uchumi, na hata corrupt JK Government, was far better compared to huyu jamaa
Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'
Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1497062
Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.
Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1497063
Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!
On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.
View attachment 1497064
Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi!
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!Mimi mlokole.....
Wahuni wenzako watakupa unachotaka...
Binafsi nakemea pepo lako la u gay
Chifu...Unazungumziaje kupanuliwa na kuboreshwa kwa huduma za jamii na miundo mbinu km za usafiri, katika kuchangia kupunguza gharama za matumizi (siyo kipato) kwa mwananchi mmoja mmoja, kaya na jamii kwa ujumla, sekta ambazo awamu zilizopita hazikutilia maanani?
Je hizo takribani Trilioni 3 kwa ukubwa gani?! Wanaendelea:-Serikali imetumia kiasi cha Shilingi Trilioni 2.957 kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) huku kasi ya utekelezaji ikiongezeka.
Yaani 75% ya kuelekea Morogoro, na Makutupora Singida 28% lakini tayari SGR imeshabugia takribani Trilioni 3.Mradi wa SGR kwa kipande cha Dar es Salaam na Morogoro umefikia asilimia asilimia 75 wakati kipande cha Morogoro Makutopora Singida kimefikia takribani asilimia 28”
Haya piga hesabu mwenyewe hapo bila kusahau suala la on and off linalotokana na ujenzi kukamilika kiasi gani na gharama zake.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa kipande cha pili cha reli chenye urefu wa kilometa 422 utagharimu Shilingi Trilioni 4.3
Kwamba mkataba uliopigwa chini kwamba wa kifisadi ni ule ambao ungejenga kilometa 2,561 kwa Trillion 17.5 (approximate current exchange rate) na ule usio wa kifisadi utajenga kilometa 422 kwa Trilion 4.3 Trillion!!Transport Minister Samuel Sitta told parliament on Saturday a Chinese consortium had been awarded a contract to build a 2,561 km (1,536 miles) standard gauge railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbours at a cost of $7.6 billion.
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!
Chifu...
Suala la Huduma za Jamii, kwa maana ya Huduma za Afya, wanaotakiwa kushukuriwa ni wafuatao, kwa uzito from top bottom:-
1. MABEBERU... IMF, WB na Paris Club
2. Benjamin Mkapa
3. JK na JPM.
Hii hoja yako inahitaji mjadala mpana na unaojitegemea! Hapa nitachangia kwa uchache!Umefafanua kwa takwimu hongera sana. Hoja yangu katika mada kuu ndiyo imenisukuma kuanzisha mada binafsi Maendeleo ya watu au vitu?
Nikirejea maelezo yako hapo juu, ni budi tujiulize:
√ Wananchi wengi kero zao ni nini?
√ Serikali za awamu zote zimezishughulikiaje?
√ Vyama vya upinzani vina Sera/Mikakati ipi ya kutatua kero hizo za wananchi?
Ni kwa kujibu maswali hayo nina amini WaTz tutakuwa tunaongea lugha moja "mabadiliko kimaendeleo", iwapo tunaikubali DIRA YA MAENDELEO 2025 (Development Vision 2025) kama mpango (roadmap) sahihi wa maendeleo ya nchi hii.
Bado unajikita kwenye macroeconomics (uchumi wa taifa) ukigusia kwa mbali microeconomics (uchumi wa mtu). Unataja sana miradi mikubwa ya SGR na Ndege (macroeconomic projects) kana kwamba ndiyo miradi pekee inayoendelea.Hii hoja yako inahitaji mjadala mpana na unaojitegemea! Hapa nitachangia kwa uchache!
Mimi ni mfuasi wa Welfare Economy! Kwa lugha nyepesi, welfare economy inaangalia ni namna gani allocation of resources and goods zina-affect the wellbeing of the people.
Huyu JPM nilianza kutofautiana nae mwaka 2016 baada ya kuona ninachokiamini mimi sio anachokiamini yeye!!
Naamini sana kwenye microeconomics kwa sababu hii ndio inaleta ugali mezani moja kwa moja! JPM alipoanza kuivuruga sekta binafsi, nikajua hii moja kwa moja kwa moja inaenda ku-affect the wellbeing of the people!
Alipokuja kuwekeza trillions kwenye ndege... nikajaribu ku-analyse multiplier effect sikuona inayoendana na investment iliyofanyika!!
Nilipotafakari SGR ameiandalia mikakati gani ili iwe economically and commercially viable... hadi sasa sijapata jibu! Nikajaribu kujiuliza ikiwa TAZARA bado haina matatizo yoyote ya maana lakini Transporters wana-opt kutumia magari, Je JPM alifanya utafiti kujua kwanini why transporters hawatumii TAZARA na kwanini anaamini hatimae watatumia SGR!!
Chukulia JK kwa mfano! Ili kuhakikisha SGR inakuwa commercially and economically viable, alitaka ujenzi wake uende sambamba na Bandari ya Bagamoyo, Bagamoyo Special Economic Zone pamoja na SGR.
The idea behind ilikuwa kwamba, cargo ya Mchina kwenda maeneo mbalimbali East and Central Africa ipitie Bagamoyo na kupelekwa bara kwa kutumia SGR! Ile Bagamoyo Special Economic Zone ilikuwa ni kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa for export kama ilivyo pale Benjamin Mkapa SPecial Economic Zone.
Meaning bidhaa ambazo zingezalishwa Bagamoyo, zingine za kwenda bara zingetumia SGR ambayo ilitakiwa kufika hadi Bagamoyo, na zingine zingine zingekuwa shipped using Bagamoyo Port!! Yaani kulikuwa na uwezekano mkubwa sana in years ile Bagamoyo Special Economic Zone kuwa largest industrial park in East Africa.
Sasa ukifanya projection of economic activities unaona ni namna gani kungekuwa na ongezeko kubwa la ajira ambayo in turn inge-improve social wellbeing!
Bahati mbaya au mzuri, wakaja wengine wakaona mradi wa kifisadi, wapuuzi wengine wakaja na hoja za kijinga kabisa kama vile eti JK anapendelea kwao, matokeo yake mustakabali wa Bagamoyo Port anaujua Mungu pekee!!
Maana yangu ni nini?! Magufuli mfuasi mzuri wa infrustrasture development lakini ninapopishana nae mimi ni pale ninaposhindwa kuona link ya infrastructure zinazojengwa to the people's activities.
Ni rahisi sana kusema SGR ikikamilika hatimae Wakulima wataweza kusafirisha bidhaa zao across the country or at least to Dar es salaam! HOW? Bidhaa zipi?
Tuna mikakati ipi itakayopelekea uzalishaji mkubwa wa bidhaa za kuweza ku-feed mutltion billion railway project?! Hii mikakati ndiyo itafanya reli itumike profitably na ku-create multiplier effect ambayo ni msingi bora wa uchumi wa watu!
Tusipofanya hivyo, kuna hatari ikageuka kuwa kama SGR ya Kenya ambayo hadi sasa wanasita sita kuendelea na awamu ya pili! Na wakati Kenya wanakurupuka kujenga SGR watu tulisema hivi hivi kwa sababu Kenya waliangalia sana kutupiga bao Tanzania kwa kuwavuta Rwanda na Uganda upande wake kama wateja wa SGR!!
Hiyo ni bank yako iambie itangazeKenya na yenyewe ipo msisahau
Hiyo ni bank yako iambie itangazeKenya na yenyewe ipo msisahau
NImejibu... sana tu!Bado unajikita kwenye macroeconomics (uchumi wa taifa) ukigusia kwa mbali microeconomics (uchumi wa mtu). Unataja sana miradi mikubwa ya SGR na Ndege (macroeconomic projects) kana kwamba ndiyo miradi ipekee inayoendelea.
Bado swali langu la msingi linalohusu maendeleo ngazi ya jamii linasubiri jibu, ambalo naamini litakuwa kigezo cha kuwashawishi wapiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Kwamba Tanzania ni nchi ya Kipato cha Kati, swali ni: Je, Mtanzania wa kawaida anahitaji nini na hadi sasa Serikali imefanya ni kumfikia huyo Mtanzania na kwa kiwango gani atimize ndoto zake, kwenye nchi huru?
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!
Punguza shobo choko, hujishtukii... hilo tobo unalompa Jiwe mie silitaki!!!