Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

ndiomaana jumbe zako zinafanana uwezo wa elimu yako kukuxaidia kufikiri
Ndo hilo tu dadangu?! It doesn't make any sense... yaani unaibuka from nowhere na kutaka kufahamu maisha binafsi ya watu lakini unaishia kuongea hayo tu?!

All in all, sasa "kukuxaidia" ndo nini?! Sio Facebook hapa dadangu!
 
Narudia, kwa takwimu hizo za WB, ni ushahidi tosha kwamba Jiwe amevuruga uchumi, na hata corrupt JK Government, was far better compared to huyu jamaa

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:-
For the current 2021 fiscal year, low-income economies are defined as those with a GNI per capita, calculated using the World Bank Atlas method, of $1,035 or less in 2019; lower middle-income economies are those with a GNI per capita between $1,036 and $4,045;
Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).

per capita.png

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-

per capita 2.png

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

per capita 3.png

Sio siri tena kwamba, kwa takwimu hizo hapo juu, inathibitisha kwamba Magu ameharibu uchumi!
 
Attention Deficience Disorder ADD

Ni dalili za majini katika ulimwengu wa kiroho.....

Kemea mapepo haya....

Narudia, kwa takwimu hizo za WB, ni ushahidi tosha kwamba Jiwe amevuruga uchumi, na hata corrupt JK Government, was far better compared to huyu jamaa

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).

View attachment 1497062

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-

View attachment 1497063

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

View attachment 1497064

Unazungumziaje kupanuliwa na kuboreshwa kwa huduma za jamii na miundo mbinu km za usafiri, katika kuchangia kupunguza gharama za matumizi (siyo kipato) kwa mwananchi mmoja mmoja, kaya na jamii kwa ujumla, sekta ambazo awamu zilizopita hazikutilia maanani?
 
Chifu...

Upo tayari kuusikia ukweli na kuukubali lakini?! Ni matumaini yangu hautakuwa kama Wafuasi wa Magufuli ambao huwa hawautaki ukweli! Watakuja huku wamejivika ngozi ya kondoo lakini wakiambiwa ukweli tena wenye ushahidi wote, wanaanza ku-panic na matusi juu!!

Kama upo tayari kuusikia ukweli na kuuvumilia, ukweli wenyewe ndo huu hapa chini lakini unahitaji kuwa mvumilivu wa kusoma post ndefu!

Tukianza na suala la Huduma za Jamii! Kwa sasa sitaweka reference lakini nitaweka detailed info ili ukitaka kutafuta uthibitisho, itakupa urahisi kufanya hivyo with few clicks on the web.

Suala la Huduma za Jamii, kwa maana ya Huduma za Afya, wanaotakiwa kushukuriwa ni wafuatao, kwa uzito from top bottom:-

1. MABEBERU... IMF, WB na Paris Club
2. Benjamin Mkapa
3. JK na JPM.

MAELEZO:-

Mwaka 1995 Mabeberu walikubaliana kufuta madeni kwa nchi maskini zaidi lakini kwa masharti. Baada ya majadiliano, wakaona nchi 38 (or 28 sikumbuki sawasawa) ndizo zifutiwe kwa masharti kwamba, lile fungu ambalo walitakiwa kuwalipa Mabeberu walielekeze kwenye huduma za jamii na kuondoa umaskini wa kipato kwa wananchi... yaani income poverty.

Programu husika ilifahamika kama Highly Indebted PoorestCountries- HIPC. Uki-Google hiyo keyword utapata taarifa za kutosha. Sharti la kwanza ambalo Mabeberu walitoa, ni selected countries kuonesha nia ya kulipa... yaani over specified time, walipe kiasi fulani.

Kwa waliokuwa na uelewa kidogo enzi za Mkapa watakumbuka Utawala wa Mkapa ulishitumiwa sana ndani kwamba badala ya kushughulikia kero za kitaifa, amewekeza nguvu kwenye kulipa madeni! Watu ambacho hawakufahamu, Mkapa alikuwa anatekeleza hilo sharti la kuonesha nia ya kulipa.

Na kweli, Mkapa alifanaya vizuri sana kwenye zoezi la ulipaji, na hatimae Tanzania tukawa approved.

Kama ulikuwa na akili kidogo, nadhani enzi zile ulikumbuka the so-called Mkakati wa Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini Tanzani- MKUKUTA.

MKUKUTA ika-highlight maeneo ya kuyafanyia kazi kutokana na sharti hilo la Mabeberu. Priority ya kwanza ikawa kuongeza ACCESS to Education. Nimeweka "access' in capital letter kwa sababu lengo ilikuwa ni kuanza kwanza na access (quantity) ndipo lije suala la quality.

Hapo ndipo zikazaliwa Shule za Kata. Zikaanza kujengwa kila mahali bila kujali kama kuna walimu au hapana! Mkapa alianza tu na ujenzi wa Shule za Kata na muda wake ukaishia kijiti akapokea JK! Shule za Kata zikaenea nchi mzima, lakini hapakuwa na walimu wa kutosha!

Baada ya kukamilisha suala la access kwa kujenga mashule kote nchini, ndipo JK akageukia suala la quality kwa maana ya kupata walimu wenye sifa! Kama utakumbuka, baada ya hali kuwa mbaya zaidi, akaanza na kile kilichokuwa kinaitwa Walimu wa VodaFasta.

Kutoka kwenye Vodafasta akaongeza udahiri wa walimu maradufu! Kwa bahati mbaya Utawala wa JK ukagundua kwamba watu hawataki kwenda kusoma ualimu. Wakaamua kutoa incentives.

Incentive ya kwanza ni kuwahakikishia wale wote watakaoenda kusoma ualimu wataajiriwa na serikali. Incentive ya pili ilikuwa kubadili madaraja ya mishahara kwa walimu! Kwa mfano, wakasema Mwalimu wa Sayansi atalipwa sawa na mtumishi yeyote serikalini aliye kwenye taalamu ya kisayansi.

Hali kadhalika, walimu wa biashara na sanaa itakuwa hivyo hivyo, na sio kwamba mtu wa BSc. Environment Science analipwa laki 7 lakini mwalimu wa BSc. Education analipwa laki 4.5.

Na incetive ya tatu ilikuwa kuwahakikishia mikopo ya elimu na ajira.

Incentives zote tatu zilisaidia sana na madogo wakaanza kumiminika vyuo vya elimu kwenda kusoma ualimu na majority ya hawa walikuwa wanaajiriwa.

Mkakati huo ukaja kukumbwa na changamoto ya wanafunzi wachache sana wanaoenda kusoma Ualimu wa Masomo ya Sayansi. Hapa zikatolewa incentives za kila aina including kuwaita ma-jobless waliopo tu mtaani lakini wamemaliza Form VI miaka ya nyuma kwa masomo ya sayansi.

Hapo tena serikali ikawahakikishia kuwasomesha BURE kwa ngazi ya Special Adanvanced Diploma miaka mitatu na guarantee ya ajira!!

Bado serikali ikagonga mwamba kwa sababu waliojitokeza walikuwa wachache sana. Kutokana na hilo ndipo ikaanzishwa ile Special Diploma (Science & Mathematics) ambayo JPM alipoingia tu madarakani akaifuta na kusema waliochukuliwa ni vilaza. Kaleta alternative ipi kukabiliana na uhaba wa walimu wa sayansi... ONLY GOD KNOWS!

Na katika kukamilisha suala la quality, mwaka wake wa mwisho ndipo likaanza zoezi la ujenzi wa maabara nchi nzima!

Nasikia na hizo maabara Magu kazipiga chini.

JK muda wake ukaishia akaingia JPM ambae nae alitakiwa kuanzia alipoishia JK. Remember, priority ya kwanza ya MKUKUTA ilikuwa ni elimu na priority ya pili ilikuwa kuondoa umaskini wa kipato na huduma za afya. Zingine ni food security na huduma za maji.

Kwenye umaskini wa kipato ndipo ilizaliwa TASAF. Kwahiyo JPM alipoingia ndipo akaanzia kwenye huduma za afya, na kuendeleza suala la huduma za maji!!

Huo ndo ukweli wenyewe, hata kama serikali zilizopita zilikuwa hazipiti mbele kwa tambo!!!

Lakni hata ukija kwenye huduma za usafiri!! Are you serious kwamba JPM ndie amedumisha huduma za usafiri kuliko wengine wote?! Hivi huyu JPM alifahamika fahamika vipi Tanzania mzima kama sio safari zake za mara kwa mara mikoani wakati akiwa Waziri wa Ujenzi?

Sasa ikiwa pamoja na yote hayo bado mnaamini wengine woooote hawakufanya hawakutilia maanani sekta ya kijamii except JPM, sina cha kuongezea kwa kweli!

Kikubwa alichofanya JPM kuwazidi wenzake ni kununua ndege na ujenzi wa reli. Na hapa tusisahau ujenzi wa SGR ulikuwa mradi wa awamu iliyopita, lakini alipoingia JPM akapiga chini mpango mzima kwa madai kulikuwa na rushwa!!

Lakini ukisoma ripoti ya serikali kuhusu gharama zilizotumika hadi sasa; na yeye anaelekea kwenye gharama zile zile alizokuwa amedai watu wamepiga! Na asipoangalia, atavuka gharama zilizokuwa zimekubaliwa na mkandarasi wa kwanza!

Kwa mfano, March 01, 2020 Idara ya Habari Maelezo walitujuza kwamba:-
Serikali imetumia kiasi cha Shilingi Trilioni 2.957 kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) huku kasi ya utekelezaji ikiongezeka.
Je hizo takribani Trilioni 3 kwa ukubwa gani?! Wanaendelea:-
Mradi wa SGR kwa kipande cha Dar es Salaam na Morogoro umefikia asilimia asilimia 75 wakati kipande cha Morogoro Makutopora Singida kimefikia takribani asilimia 28”
Yaani 75% ya kuelekea Morogoro, na Makutupora Singida 28% lakini tayari SGR imeshabugia takribani Trilioni 3.

Kisha Dodoma Municipal Council wanatoa takwimu zingine kwamba:-
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa kipande cha pili cha reli chenye urefu wa kilometa 422 utagharimu Shilingi Trilioni 4.3
Haya piga hesabu mwenyewe hapo bila kusahau suala la on and off linalotokana na ujenzi kukamilika kiasi gani na gharama zake.

Hapo juu kuna Trillion 2.957 na chini kuna Trilion 4.3; ambapo total ni Trilioni 7.26.

Au tusiimize sana kichwa! Hapo juu wanasema ujenzi wa kipande cha pili ambacho ni ONLY 422km kitagharimu TZS Trillion 4.3 wakati Mkataba ambao JPM alisema umejaa ufisadi, Reuters wanatujulisha kwamba:-
Transport Minister Samuel Sitta told parliament on Saturday a Chinese consortium had been awarded a contract to build a 2,561 km (1,536 miles) standard gauge railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbours at a cost of $7.6 billion.
Kwamba mkataba uliopigwa chini kwamba wa kifisadi ni ule ambao ungejenga kilometa 2,561 kwa Trillion 17.5 (approximate current exchange rate) na ule usio wa kifisadi utajenga kilometa 422 kwa Trilion 4.3 Trillion!!
 
Chifu...
Suala la Huduma za Jamii, kwa maana ya Huduma za Afya, wanaotakiwa kushukuriwa ni wafuatao, kwa uzito from top bottom:-

1. MABEBERU... IMF, WB na Paris Club
2. Benjamin Mkapa
3. JK na JPM.

Umefafanua kwa takwimu hongera sana. Hoja yangu katika mada kuu ndiyo imenisukuma kuanzisha mada binafsi Maendeleo ya watu au vitu?

Nikirejea maelezo yako hapo juu, ni budi tujiulize:
√ Wananchi wengi kero zao ni nini?
√ Serikali za awamu zote zimezishughulikiaje?
√ Vyama vya upinzani vina Sera/Mikakati ipi ya kutatua kero hizo za wananchi?

Ni kwa kujibu maswali hayo nina amini WaTz tutakuwa tunaongea lugha moja "mabadiliko kimaendeleo", iwapo tunaikubali DIRA YA MAENDELEO 2025 (Development Vision 2025) kama mpango (roadmap) sahihi wa maendeleo ya nchi hii.
 
Hii hoja yako inahitaji mjadala mpana na unaojitegemea! Hapa nitachangia kwa uchache!

Mimi ni mfuasi wa Welfare Economy! Kwa lugha nyepesi, welfare economy inaangalia ni namna gani allocation of resources and goods zina-affect the wellbeing of the people.

Huyu JPM nilianza kutofautiana nae mwaka 2016 baada ya kuona ninachokiamini mimi sio anachokiamini yeye!!

Naamini sana kwenye microeconomics kwa sababu hii ndio inaleta ugali mezani moja kwa moja! JPM alipoanza kuivuruga sekta binafsi, nikajua hii moja kwa moja kwa moja inaenda ku-affect the wellbeing of the people!

Alipokuja kuwekeza trillions kwenye ndege... nikajaribu ku-analyse multiplier effect sikuona inayoendana na investment iliyofanyika!!

Nilipotafakari SGR ameiandalia mikakati gani ili iwe economically and commercially viable... hadi sasa sijapata jibu! Nikajaribu kujiuliza ikiwa TAZARA bado haina matatizo yoyote ya maana lakini Transporters wana-opt kutumia magari, Je JPM alifanya utafiti kujua kwanini why transporters hawatumii TAZARA na kwanini anaamini hatimae watatumia SGR!!

Chukulia JK kwa mfano! Ili kuhakikisha SGR inakuwa commercially and economically viable, alitaka ujenzi wake uende sambamba na Bandari ya Bagamoyo, Bagamoyo Special Economic Zone pamoja na SGR.

The idea behind ilikuwa kwamba, cargo ya Mchina kwenda maeneo mbalimbali East and Central Africa ipitie Bagamoyo na kupelekwa bara kwa kutumia SGR! Ile Bagamoyo Special Economic Zone ilikuwa ni kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa for export kama ilivyo pale Benjamin Mkapa SPecial Economic Zone.

Meaning bidhaa ambazo zingezalishwa Bagamoyo, zingine za kwenda bara zingetumia SGR ambayo ilitakiwa kufika hadi Bagamoyo, na zingine zingine zingekuwa shipped using Bagamoyo Port!! Yaani kulikuwa na uwezekano mkubwa sana in years ile Bagamoyo Special Economic Zone kuwa largest industrial park in East Africa.

Sasa ukifanya projection of economic activities unaona ni namna gani kungekuwa na ongezeko kubwa la ajira ambayo in turn inge-improve social wellbeing!

Bahati mbaya au mzuri, wakaja wengine wakaona mradi wa kifisadi, wapuuzi wengine wakaja na hoja za kijinga kabisa kama vile eti JK anapendelea kwao, matokeo yake mustakabali wa Bagamoyo Port anaujua Mungu pekee!!

Maana yangu ni nini?! Magufuli mfuasi mzuri wa infrustrasture development lakini ninapopishana nae mimi ni pale ninaposhindwa kuona link ya infrastructure zinazojengwa to the people's activities.

Ni rahisi sana kusema SGR ikikamilika hatimae Wakulima wataweza kusafirisha bidhaa zao across the country or at least to Dar es salaam! HOW? Bidhaa zipi?

Tuna mikakati ipi itakayopelekea uzalishaji mkubwa wa bidhaa za kuweza ku-feed mutltion billion railway project?! Hii mikakati ndiyo itafanya reli itumike profitably na ku-create multiplier effect ambayo ni msingi bora wa uchumi wa watu!

Tusipofanya hivyo, kuna hatari ikageuka kuwa kama SGR ya Kenya ambayo hadi sasa wanasita sita kuendelea na awamu ya pili! Na wakati Kenya wanakurupuka kujenga SGR watu tulisema hivi hivi kwa sababu Kenya waliangalia sana kutupiga bao Tanzania kwa kuwavuta Rwanda na Uganda upande wake kama wateja wa SGR!!
 
Bado unajikita kwenye macroeconomics (uchumi wa taifa) ukigusia kwa mbali microeconomics (uchumi wa mtu). Unataja sana miradi mikubwa ya SGR na Ndege (macroeconomic projects) kana kwamba ndiyo miradi pekee inayoendelea.

Bado swali langu la msingi linalohusu maendeleo ngazi ya jamii linasubiri jibu, ambalo naamini litakuwa kigezo cha kuwashawishi wapiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.

Kwamba Tanzania ni nchi ya Kipato cha Kati, swali ni: Je, Mtanzania wa kawaida anahitaji nini na hadi sasa Serikali imefanya ni kumfikia huyo Mtanzania na kwa kiwango gani atimize ndoto zake, kwenye nchi huru?
 
Bado unajikita kwenye macroeconomics (uchumi wa taifa) ukigusia kwa mbali microeconomics (uchumi wa mtu). Unataja sana miradi mikubwa ya SGR na Ndege (macroeconomic projects) kana kwamba ndiyo miradi ipekee inayoendelea.

Bado swali langu la msingi linalohusu maendeleo ngazi ya jamii linasubiri jibu, ambalo naamini litakuwa kigezo cha kuwashawishi wapiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.

Kwamba Tanzania ni nchi ya Kipato cha Kati, swali ni: Je, Mtanzania wa kawaida anahitaji nini na hadi sasa Serikali imefanya ni kumfikia huyo Mtanzania na kwa kiwango gani atimize ndoto zake, kwenye nchi huru?
NImejibu... sana tu!

Kwenye post yangu ya kwanza nilizungumzia issue ya MKUKUTA na yale niliyo-highlight ndiyo hasa anayohitaji mwananchi wa kawaida. Kwa kukumbushia tu nimetaja suala la huduma za elimu, afya, huduma za maji, kuondoa umaskini wa kipato, na kuhakikisha food security.

Na nikasema mikakati ya tangia wakati huo katika kufikia malengo ya MKUKUTA ambayo kimsingi ni collectively force huku kila rais akiwa amefanya lake katika kufikia hayo hapo juu!!

Lakini tunapozungumzia kupunguza umaskini wa kipato, mikakati endelevu haina direct relationship kama inavyotumika kwa TASAF. Hapo ndipo nikazungumzia suala la sekta binafsi! Sekta binafsi ni chanzo cha ajira, na ajira zinapunguza umaskini wa kipato; na hicho ndicho anachohitaji Mtanzani wa kawaida!

Sekta binafsi ikiendelea kukua itasababishwa uanzishwaji wa more and more individual firms na hivyo kuendeleza kukuza ajira, and in turn income to the population na hatimae kupunguza umaskini wa kipato!

Nikaja kuzungumzia miradi mikubwa, na hapo ndipo nikasema sioni direct correlation kati ya hii miradi mikubwa na jinsi itavyoondoa umaskini wa kipato equivalently to dollars to be spent.

Siwezi kutaja miradi yote, na kinyume chake nimetaja miradi inayotumia pesa nyingi kuwekeza, na impacy yake katika kujenga uchumi wa mwananchi ambao ndio hasa muhimu kwake!!

Kwamba SGR Fine... sasa mradi mkubwa kama huu utakaochukua zaidi ya TZS 15 Trillion, unaunganishwa vipi na shughuli za kawaida za mwananchi ambayo ndiyo microeconomic yenyewe! Na sio kuunganishwa tu, impact yake itakuwa vp compared to dollars spent!

Ndipo nikatoa mfano wa SGR ya JK na SGR ya JPM, kwamba SGR ya JK tayari ilikuwa na mikakati yake ya kui-utilize and in turn kuzalisha ajira kwa wananchi walio na hatimae kupunguza umaskini wa kipato.

Nikataja mfano wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo! Ingawaje hii ni macroeconomic project lakini kwa upande mwingine tunaangalia ni ajira ngapi rasmi na zisizo rasmi ambazo zingezalishwa. NImetaja industrial park pale Bagamoyo, na yenyewe ndipo tunaangalia ingezalisha ajira ngapi ambazo na zenyewe ni chanzo cha kuondoa umaskini wa kipato!

Hizo projects mbili nikazi-link na SGR! Success ya Bagamoyo Port na Bagamoyo Special Economic Zone ingekuwa ni success ya SGR kwa sababu tayari SGR ingekuwa na uhakika wa cargo inayoshushwa na kupakiwa pale Bagamoyo Port, na wakati huo huo ingekuwa na uhakika wa cargo kutoka industrial park that was meant for export.

Uhakika wa mzigo kwa SGR kungeifanya SGR iwe commercially and economically viable; hali ambayo na yenyewe ingekuwa ni source ya ajira, in turn income to the general population.

Ndo nipo nikasema, kwa JPM bado sijaona akiandaa hayo mazingira... it's like cargo bara na pwani imekwama na inasubiria ukamilikaji wa SGR huku sidhani kama tunafahamu kwanini transporters wameacha kutumia TAZARA na kwanini tunadhani watatumia SGR!!

Itoshe tu kusema kwamba macro-economic projects is a source of microeconomic projects that provided kuna decent multiplier effect kwenye hizo macro-economic projects!

Kuhusu serikali imefanya nini ndo pale niliorodhesha uboreshaji wa huduma za kijamii kutoka kwenye elimu, afya, na maji. Hata zilipojengwa zile grains reserves ni kwenye mkakati ule ule... food security!

Lakini kwenye kupunguza kama sio kuondoa umaskini wa kipato bado tunapiga mark time kwa sababu nilizotaja hapo juu!!
 
Back
Top Bottom