1. Maji hapo bado Sana japo WB walifadhiri miradi mingi ya maji lakini vitu vilivyofanyika Ni madudu mtupu... Wakandarasi waliopewa hizo kazi walipewa kwa upendeleo, uwezo hawana na matokeo yake miradi mingi kuwa chini ya kiwango na mwingine Hadi leo haijafunguliwa...
2. Hiyo elimu Ni Bora wapate elimu na sio wapate elimu Bora.... Inasikitisha Sana mwanafunzi wa chuo anamaliza akiwa na Deni kubwa la mkopo, ajira hakuna... Wakati kizazi Cha Chenge,Warioba walisoma bure na kupewa pesa za kujikimu na sio kukopeshwa...
3 Nishati bado kizungu mkuti Bei ya umeme iko juu Sana, Gesi ya Mtwara wanufaika Ni viwanda na tanesco sio raia.... Mafuta Bei juu sababu ya Kodi.
4. Usafiri. Ndege huduma Ni Bei ghari na shirika linajiendesha kwa hasara, SGR haitonufaisha watu wa kusini au kasikazini.....