Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

TBC si ipo

Hivyo vyombo ulivotaja kabla ya kutangaza habari huwa wanaipima. Kuna kitu kinaitwa news-worthiness. Yaani hii taarifa inafikia kiwango cha kuwa ni habari? Wao wasikilizaji wao ni wa dunia. Jee Tanzania kufikia lower-middle income ni habari au ni taarifa tu? Kuna nchi ngapi nyengine zime achieve hayo au zaidi ya hayo katika ripoti hiyo ya WB? Wazitaje zote au wachukuwe izilizo vuka malengo na zilizoshuka kiwango kuliko matarajio?

Tanzania ilitegemewa kufikia hapa ilipo kutokana na mwenendo wa taarifa za nyuma yake. Kwa hiyo hiyo siyo habari ya level ya kimataifa bali ni ya Local tu. Kwa hiyo tutegemee kutangazwa na TBC na EATV na local TV nyengine!

BBC swahili bana

Ujuaji bana
 
Ili iweje? Nani anakujua wewe Tanzania?
 
Haya ni mapambio kama mengine boss. Tusubiri world bank watoe tangazo
 
TBC si ipo

Hivyo vyombo ulivotaja kabla ya kutangaza habari huwa wanaipima. Kuna kitu kinaitwa news-worthiness. Yaani hii taarifa inafikia kiwango cha kuwa ni habari? Wao wasikilizaji wao ni wa dunia. Jee Tanzania kufikia lower-middle income ni habari au ni taarifa tu? Kuna nchi ngapi nyengine zime achieve hayo au zaidi ya hayo katika ripoti hiyo ya WB? Wazitaje zote au wachukuwe izilizo vuka malengo na zilizoshuka kiwango kuliko matarajio?

Tanzania ilitegemewa kufikia hapa ilipo kutokana na mwenendo wa taarifa za nyuma yake. Kwa hiyo hiyo siyo habari ya level ya kimataifa bali ni ya Local tu. Kwa hiyo tutegemee kutangazwa na TBC na EATV na local TV nyengine!

Ila mbowe akilewa faru john akateguka mguu ni habali ya kimataifa?
Yaani nyie sijui vichwa vyenu vinatumika kusafishia matako tu?

Taarifa imetoka WB bado ina mashaka kwa vyombo vya habali vikubwa, ila taarifa zikitolewa na Tanzania daima haipiti nusu saa wametangaza wote sasa hapo uchambuzi huwa wamefanywa saa ngapi?

Je tanzania daima ina uhakika kuliko taarifa za WORLD BANK?
 
Hakuna uchumi wa kati Tanzania. Hao WB watakua wameingia tu kwenye mtego wa wapika data wa ccm.

Uchumi wa kati kwa kununua ndege zisizofanya kazi? Miradi mingi ambayo haijakamilika? Kwa kutowaongezea wafanyakazi mishahara? Kwa kutowalipa wakulima wa korosho hela zao kwa wakati? Kwa kuwanunua madiwani na wabunge wa vyama vya upinzani? Au!!
 
Nasikia Shangazi walimfutia Leseni yake ya Uwakili!
 
1960 Singapore GDP per capita ni $428 imefika $64,581 mwaka 2018. Imekuwa kwa wastaani wa $1,100 kwa mwaka. Kwa kweli kuwa na mbio za SUNGURA kuna raha yake pia-Fatma Karmu on twitter.

1988 GDP per capita ya Tanzania ilikuwa $221.59. Leo baada ya miaka 30 tumefika $1,090. GDP imekuwa kwa average ya $30 kwa mwaka! HAYA SUBRA HUVUTA KHERI.HATA Kobwe mwishowe hufika safari yake-Fatma Karume on twitter.
 
Mkuu ukianzisha uzi sio kila kitu unajibu,Acha watu wajadili kwanza.

Una mawazo mazuri lakini yanapoteza mvuto kwa kuwa uzi mzima una reply kila mtu hivyo watu wengi wanakupuuza.

Nakushauri anzisha uzi acha watu wajadili hata page 100 halafu jibu mwishoni.

Unapojibu kila mtu unashusha umakini wa uzi na thamani yako hapa JF.
 
Labda tupate mafunzo kwa vitendo, haya mavyeti naona hayatusaidii.

Data hizi na ulinganisho huu ni ushahidi tosha kuwa tuna tatizo kubwa sana katika kukuza na kuendesha uchumi wetu, tena ni tatizo sugu na la muda mrefu.

Maliasili tulizonazo plus utulivu wa nchi(hatuna vita wala nini) kwa miaka mingi, sidhani kama vinaendana na hali halisi tuliyonayo.
 
Uzi huu utaondolewa na MODS wa JF maana hauwapendezi wahariri wa nini kinaandikwa JF ambao siku hizi wapo pale Lumumba.
JF compromised
 
Back
Top Bottom