Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kuna shida gani mkuu.Uzi huu utaondolewa na MODS wa JF maana hauwapendezi wahariri wa nini kinaandikwa JF ambao siku hizi wapo pale Lumumba.
JF compromised
Hivi Magufuli ndiye aliyetangaza TZ kuwa middle income au ni WB? Kwa nini anashambuliwa Magufuli?
ELEWENI 2014, GDP per capita ya Tanzania ilikuwa $ 1,030 IKASHUKA ikawa $947 2015. Leo tunambiwa tuko $1,090. Tumepanda kwa $40 Kwenye miaka 6. Tunashukuru sana Mh. Rais. Tukiendelea hivi 2025 GDP per capita itafika $1,130. Kwa mwendo HUU tutakuwa tajiri baada ya miaka 150-Fatma Karume on twitter
Kama nitakuwa na hizo data za kunifanya nipinge, sawa nitafanya hivyo, vinginevyo nitapongeza.....hata Serikali ikifanya hivyo napo utakuja kupinga tu!
Ulishawahi kupongeza lini?Kama nitakuwa na hizo data za kunifanya nipinge,sawa nitafanya hivyo,vinginevyo nitapongeza.
Kuna uchumi wa kati wa chini (low middle income) na uchumi wa kati wa juu (high middle income) ambao nadhani ni kuanzia USD 4000-12000 kama sijasahau.Mimi nimeona kwenye taarifa imeandikwa Low middle income ,maana yake sijaelewa