Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Ukizingatia na wewe bado unaishi kwa shemeji yako huku usiku ukisikilizia sauti ya dadako akibanduliwa mzigo usiku,hapo vipi ngoma droo na Chadema wewe nyonyo
Chadema wana miaka 30 hawana hata ofisi.
 
Wakati raia wanazidi kuwa na maisha magumu ndo uchumi unapanda kwenda kuwa uchumi wa kati, mambo mengine wajaribu kuwa serious...
 
COVID-19 itakuwa imeingia kichwani kwa wafanyakazi wa bank ya dunia.Basi wananchi tutakuwa uchumi wa kati kweli
 
kwangu mimi sijui hata nishangilie au nijipongeze nini!. habari hii imenifikirisha sana!!!. kwa nini mpaka tumsubiri beberu atuambie naam uchumi wenu umepanda sasa!. kwa nini tusiulizane tu wenyewe kuhusu vipato vyetu tuamue wenyewe tumepanda au tumeshuka?!?
habari imekuja wakati kila kundi linalia. mkulima bei za mazao yake inazidi kudoda kila kukicha si pamba wala ufuta. mtumishi wa uma ndio usiseme,mishen town ndio kabisaaaaa!!!,wafanya biashara wanayo habari ya covid19. hicho kipato kupanda kimepandia bretenwood!!!???.
mi nashtuka wanataka wastu samehe madeni,pia tukope kwa shida, hamna wajameni mimi nina mashaka mengi na mabeberu wa bretenwood. wachumi nisaidieni
 
Namba hazidanganyi mkuu,ni sawa haiwezi kuwa na rate ya constant kwa mwaka kwamba ni 6.6 usd ,nimechukulia kama ndani ya miaka 6 pato limeongezeka kwa usd 40 inamaana evarage ya ukuaji ni 6.6 usd kwa mwaka ,elewa tena ni evarage!!! Yaani labda mwaka 2015 ilikuwa 10usd,mwaka 2016 ikawa usd 8 ,mwaka 2017 ikawa 12usd,mwaka 2018 ikawa 5usd,mwaka 2019 ikawa 5 usd etc sasa ukija kuchukua evarage kwa mwaka ndio unapata hiyo 6.6usd sasa ili tuje kufika 12,00usd kutoka tuilpo now 1090 usd itatuchukua miaka 1600!
Kinadharia uko sawa.
 
Hilo ni kundi la tatu toka juu; Kwa afrika nchi zenye uchumi wa kundi la kwanza ni mauritius na Sychelles tu. Kundi la pili ni Namibia, South Africa, Botwaseana, gabona na equatoria Guinea. Kundi la tatu ndilo hilo ambao Tanzania imeingia ambalo lina nchi 22 za kiafrika. Kwa Afrika ya Mashariki kuna Tanzania na Kenya tu. Ila kwenye SADC kuna nchi nyingine za Zambia, Zimbabwe na Estwatini

1593728263745.png
 
Dodoma 20, 2019

WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini
Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo imetaka maafisa mipango kuendelea kubuni vyanzo vipya vya ukusanyaji wa mapato vitakavyo linufaisha taifa kiuchumi.

Hii ni kutokana na Tanzania katika siku za karibuni kujinasibu kuwa uchumi wake unakuwa kwa kasi zaidi ya 7%, , serikali sasa ni donor country, serikali inatekeleza miradi mikubwa ya fedha myingi kwa kutumia pesa zake za ndani kama ununuzi wa ndege, Ujenzi wa Reli mpya SGR, Mradi wa Umeme Rufiji. flyovers, Madaraja makubwa ya kupigiwa mfano Afrika yanayojengwa baharini / ziwa Victoria bado miradi ya ujenzi wa majengo ya Hospitali, Mahakama n.k nchi kote hii ni kwa kutaja kwa uchache


Baada ya serikali ya Tanzania kujimwambafai kuwa uchumi wake unakuwa na nchi ni tajiri, sasa mashirika ya kifedha na mabenki kama AfDB (African Development Bank) na Banki ya Dunia /World Bank inataka Tanzania iache kupewa mikopo maalum iliyotengwa kwa nchi masikini ya IDA Blend What Is IDA? . Tanzania katika awamu hii ya Tano imekuwa ikipingana na ripoti za awali za mashirika hayo kuwa uchumi wake ni duni na kupelekea Wakurugenzi wa mashirika na mifuko hiyo ya fedha ya kimataifa kuitwa na kupewa takwimu sahihi za Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Benki Kuu na Wizara ya Fedha ya Tanzania

Tanzania ipo katika 5 bora ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi 7% mfululizo


  1. Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania haukupanuka kwa 7%
    Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania haukupanuka kwa 7% chumi wa taifa la Tanzania ulipanuka kwa asilimia 5.2 mwaka 2018 kulingana na benki ya dunia iliosema katika katika ripoti yake kuu mwaka huu ambapo imetofautiana na takwimu zilizotolewa na serikali hiyo za kuimarika kwa uchumihuo...
  2. Benki ya Dunia: Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa pato la taifa
    Takwimu za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji mkubwa wa pato la taifa wa wastani wa asilimi nane. Kwa mujibu wa takwimu hizo Tanzania imehakikisha pia ukua
IDA is the largest source of concessional finance for the world’s 76 poorest countries, 39 of which are in Africa. Resources from IDA bring positive change to the 1.3 billion people who live in IDA countries.
With the ratification of the Sustainable Development Goals (SDGs) in 2015, along with a historic agreement in Addis Ababa on ways to mobilize financing needed for the SDGs, the world has a new roadmap for ending poverty by 2030. The International Development Association (IDA) is poised to play a key role in this mission, by catalyzing trillions of dollars in needed investment – public and private, national and global—and translating the SDGs into country-led action.
As the largest source of concessional finance, IDA is recognized as a global institution with a transformative effect that individual national donors cannot match. Here’s why:
  • IDA provides leadership on global challenges. From its support for climate resilience to the creation of jobs to get former combatants back into society, IDA rallies others on tough issues for the common good and helps make the world more secure.
  • IDA is transformational. IDA helps countries develop solutions that have literally reshaped the development landscape—from its history-changing agriculture solutions for millions of South Asians who faced starvation in the 1970s to its pioneering work in the areas of debt relief and the phase-out of leaded gasoline.
  • IDA is there for the long haul. IDA stays in a country after the cameras leave, emphasizing long-term growth and capability to make sure results are sustained.
  • When the poorest are ignored because they’re not profitable, IDA delivers. IDA provides dignity and quality of life, bringing clean water, electricity, and toilets to hundreds of millions of poor people.
  • IDA makes the world a better place for girls and women. IDA works to reverse gender discrimination by getting girls to school, helping women access financing to start small businesses, and ultimately helping to improve the prospects of families and communities.
  • Working with the World Bank Group, IDA brings an integrated approach to development. IDA helps create environments where change can flourish and where the private sector can jumpstart investment.
  • IDA is also a global leader in transparency and undergoes the toughest independent evaluations of any international organization. For example, IDA placed in the highest category in the 2018 Aid Transparency Index every year since the index was first published in 2010—ranking highest among multilateral development banks.
  • Equally, a 2018 assessment by the Center for Global Development and the Brookings Institution named IDA one of the international community’s top performing providers of development assistance, citing IDA’s low administrative costs, more predictable aid flows, and large project size relative to other donors.
  • And a 2017 survey of policymakers from 126 low- and middle-income countries by AidData ranked the World Bank 2nd out of 56 bilateral donors and multilateral institutions on its agenda-setting influence in developing countries. The report cites the World Bank as “punching above its weight” on value for money.
Source: Why IDA?
Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada
 
Ukweli kwamba Benki ya Dunia imetambua uchumi wa Tanzania unakua, hadi kuiorodhesha kwenye nchi zenye Kipato cha Kati, kunatofautiana na madai ya viongozi wa uoinzani kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania. Nanukuu baadhi ya hao nikitegemea, wao wenyewe au wafuasi wao, watupe mreheshonyuma juu ya tathmini zao kuhusu uchumi wa Tanzania. Hii ni kuondoa sintofahamu inayoendelea, katika mjadala huu, kwa madai kuwa Benki ya Dunia imepewa takwimu zilizopikwa

Lissu amenukuliwa, wakati wa hotuba yake ya kutia nia ya kugombea Urais kupitia CHADEMA akisema, nanukuu: UCHUMI UMEANGUKA: Badala ya kuzingatia mazingira haya halisi ya kiuchumi ndani na nje ya nchi yetu, Rais Magufuli ameendesha uchumi wetu bila sera au mipango madhubuti ya uchumi, bali kwa kutumia amri za Ikulu na za majukwaa ya kisiasa. Bila sera inayoeleweka au mipango thabiti ya kiuchumi au kibiashara, sasa Serikali yetu imejiingiza kwenye biashara, kuanzia ya kununua na kuuza mazao ya biashara, mabenki, uchimbaji madini hadi biashara ya kuendesha shirika la ndege.
Uchaguzi 2020 - Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Naye Zitto kupitia mtandao wa twitter, amedai, nanukuu: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 (ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo hataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
 
Muda wa kujenga major infrastructure lazima uchumi uyumbe... acha akili za kishirikina.
Hatimae umethibitisha ulivyo mweupe na kwamba hakuna unachojua! Kwani hizo pesa zinazotumika kujengea miuondombinu haziwi accounted? Seems hujui even what's GDP!!
 
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============


Imeingia haraka tofauti na ilivyotarajiwa?..stupid nchi ina miaka mingapi tangu ipate Uhuru?..
 
Back
Top Bottom