Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

NImejibu... sana tu!

Kwenye post yangu ya kwanza nilizungumzia issue ya MKUKUTA na yale niliyo-highlight ndiyo hasa anayohitaji mwananchi wa kawaida. Kwa kukumbushia tu nimetaja suala la huduma za elimu, afya, huduma za maji, kuondoa umaskini wa kipato, na kuhakikisha food security.
..
Kuhusu serikali imefanya nini ndo pale niliorodhesha uboreshaji wa huduma za kijamii kutoka kwenye elimu, afya, na maji. Hata zilipojengwa zile grains reserves ni kwenye mkakati ule ule... food security!

Lakini kwenye kupunguza kama sio kuondoa umaskini wa kipato bado tunapiga mark time kwa sababu nilizotaja hapo juu!!

chige una hoja fikirishi hapo juu.

Niamini tu kwamba tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa vyama vya Siasa vitakuja na Ilani za Uchaguzi zenye Sera, Mikakati na Mipangokazi ya kuwezesha Miradi Mikubwa ya Kiuchumi (Macro-economic projects) inayoendelea nchini isiwe magofu bali isaidie ukuaji wa uchumi wa ngazi za chini (Micro-economic). Ikiwezekana kuwa hivyo umaskini wa kipato utapungua

Pamoja na mapungufu kiuchumi, kama yapo, utakubaliana na mimi kwamba Serikali iliyoko madarakani imeweka misingi ya kuendeleza uchumi hata wa mtu mmoja mmoja?

Kwa mfano, swala la ajira ni uvivu wa mtu kutambua fursa za kiuchumi zinazotokana na miradi mikubwa inayoendelea nchini (km Umeme wa REA na Stiglers - Bwawa la Umeme la Nyerere , SGR, na hivi karibuni bomba la mafuta kutoka Uganda).

Isitoshe kuimarika kwa njia za usafirishaji (ardhini, majini na angani) kunatoa fursa za biashara kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa muda mfupi na gharama nafuu.

Uboreshaji na upanuzi wa huduma za jamii (elimu, afya, maji) kunaimarisha rasmaliwatu kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo wakati uleule gharama za maisha zikipungua.

KUPANGA NI KUCHAGUA (km kujenga Bandari ya B/moyo au kuimarisha zilizopo; kutumia ndege za kukodi au kununua za kwetu?; nk)
 
mwengeso

Kwamba Kupanga ni Kuchagua... you're RIGHT but it's not all about kuchagua but rational decision making na kuangalia priorities.

Kwa mfano, tutafanya kosa kubwa sana endapo tutaacha mradi wa Bandari ya Bagamoyo utuponyoke. Kuendeleza bandari zilizopo hakuwezi kuwa best alternative unless kama tumeshakata tamaa na kujiona tutaendelea kuwa maskini at least for the next 50 years.

Fanya kutafakari jambo dogo tu! Tanzania ni nchi maskini! Nchi zinazotogemea kutumia bandari yetu zote ni maskini. Lakini pamoja na yote hayo, eti Bandari ya Dar es salaam wakati mwingine huwa inaelemewa na mizigo!!! Yaani bandari inayohudumia nchi maskini huku ikiwa inapitisha only few million containers a year, leo hii huwa inaelemewa mizigo!!

Leo hii sehemu kubwa ya kata ya Kurasini imevunjwa ili kupata maeneo lakini bado uwezo wa bandari yetu haujafikia hata ile ya Mombasa! Sasa umeshapata kujiuliza ikiwa pamoja na umaskini tulionao bado bandari huwa inaelemewa, what will happen ikiwa hizi nchi zinazotumia bandari zetu uchumi wake just uki-double tu?!

And remember, hata uki-double bado tutakuwa kwenye kundi la nchi maskini!! What ikifikia uchumi wetu unakuwa angalau kama wa South Afrika ambayo na yenyewe ni maskini?

Maana yangu hapo ni kwamba, suala la upanuzi wa bandari zilizopo can only carter short to medium plans unless kama tupo prepared kuendelea kuvunja maeneo mengine zaidi ili kupisha upanuzi!!

Kuna jambo lingine ambalo JPM sijamwelewa kabisa na hili linachangia sana na uteuzi wake wa vipaumbele niliousema hapo kabla!!!

Tangia JPM aingie madarakani amewekeza sana nguvu kwenye madini huku akionekana kutotoa kipaumbele kwenye gas. Hapa JPM anadanganyika sawa na watu wengi tu kwa kuangalia thamani ya madini badala ya kuangalia abundancy ya madini!

Mtu akisikia thamani ya kilo moja ya madini ni milion kadhaa, ana-conclude OMG! What a business! Matokeo yake Laizer anapata around 7kg inakuwa historical event... na hapa ndipo nazungumzia suala la abundancy!

Matokeo yake, angalia alivyokuwa amewekeza nguvu kwenye Acacia. Acacia ni kampuni dada ya Barrick Gold Mine; na kampuni ya Barrick Gold ndani yake ina kampuni zingine 7 including Acacia! USA wana migodi mikubwa miwili, ambayo ni mikubwa kuliko Acacia.

Lakini pamoja na yote hayo, wakati wa sakata la makanikia, Market Cap ya Barrick Gold ilikuwa less than $40 Billion! Sasa kama Market Cap ya Barrick ambayo ndani yake kuna Acacia, ilikuwa haifiki $40B, market cap ya Acacia ilikuwa ngapi?!

Kinyume chake, Gas Processing Plant peke yake ilitaka kutumia $30 Billion... hiyo ni plant moja! Sasa ikiwa oild consortium ilikuwa tayari kuwekeza $30 Billion only kwenye processing plant, tulishawahi kujiuliza gas business inge-generate kiasi gani?!

Na ukiidadavua gas production ndani yake unazalisha opportunities nyingine kibao! Gas Processing inatoa malighafi ya kutengeneza bidhaa kadhaa za viwandani inluding bidhaa za plastic na mbolea. Gas ni mzuri sana for domestic and industrial use.

Lakini pamoja na benefits hizo maradufu zilizopo kwenye gas na ambazo hazipo kwenye madini, JPM anaonekana yupo in favor of madini kuliko gas huku akiishia kutoa majibu mepesi kama yale ya "gas yote imeuzwa"! Ameuza nani hajawahi kutuambia... ameuziwa nani hajawahi kutuambia!!!

But for what I know, sio kweli kwamba eti gas imeshauzwa, au kama wana-propaganda wanavyotangaza gas yote ameuziwa Mchina... wanatangaza kwa staili ile ile tuliyokuwa tunaambiwa Kigamboni ameuziwa George Bush!!

So, tusiishie tu kwenye kupanga ni kuchagua bali tupange na kuchagua top priorities zinazoweza kuifanya nchi isonge mbele! Tuchague kwa kujua kwamba we've limited resources, so we need to allocate them properly!
 
mwengeso

Kwamba Kupanga ni Kuchagua... you're RIGHT but it's not all about kuchagua but rational decision making na kuangalia priorities.

Kwa mfano, tutafanya kosa kubwa sana endapo tutaacha mradi wa Bandari ya Bagamoyo utuponyoke. Kuendeleza bandari zilizopo hakuwezi kuwa best alternative unless kama tumeshakata tamaa na kujiona tutaendelea kuwa maskini at least for the next 50 years.
...
Kuna jambo lingine ambalo JPM sijamwelewa kabisa na hili linachangia sana na uteuzi wake wa vipaumbele niliousema hapo kabla!!!

Tangia JPM aingie madarakani amewekeza sana nguvu kwenye madini huku akionekana kutotoa kipaumbele kwenye gas. Hapa JPM anadanganyika sawa na watu wengi tu kwa kuangalia thamani ya madini badala ya kuangalia abundancy ya madini!
...
So, tusiishie tu kwenye kupanga ni kuchagua bali tupange na kuchagua top priorities zinazoweza kuifanya nchi isonge mbele! Tuchague kwa kujua kwamba we've limited resources, so we need to allocate them properly!
Hoja nilizoziacha kwenye bandiko lako ndio nazirejea.

Kujenga Bandari ya B/moyo dhidi yya kuendeleza zilizopo si swala la kuamua kwa hisia bali kwa kutathmini mradi (project appraisal) huo kwa kina. Kwa hiyo sina jibu la papo kwa papo kama wewe.

Si vyema kumshutumu Magufuli kwa kuwa hatekelezi vipaumbele vyake ila vilivyo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM, 2015 (kama unahitaji kupitia na huna niiweke hapa). Naamini iliandaliwa na wataalamu, ikakubaliwa na kupitishwa na WanaCCM kupitia wajumbe wa Mkutano Mkuu.

Ni kweli tusiishie tu kwenye kupanga ni kuchagua bali tupange na kuchagua top priorities zinazoweza kuifanya nchi isonge mbele!. Kama kuna chama cha siasa kina Ilani ya Uchaguzi yenye vipaumbele tofauti, wananchi wataamua.
 
Nafsi huongea unavyovipenda na kuviishi.
Jitangaze nini unapenda....

Ila nakushauri okoka... muda ndio huu..

Hizo tamaa za ki LGBT hazikufai
Kwahiyo ni mtoa tobo unayejificha kwenye Ulokole sio?! Sasa kwangu umekwama kwa sababu sizimii matobo!
 
Hoja nilizoziacha kwenye bandiko lako ndio nazirejea.

Kujenga Bandari ya B/moyo dhidi yya kuendeleza zilizopo si swala la kuamua kwa hisia bali kwa kutathmini mradi (project appraisal) huo kwa kina. Kwa hiyo sina jibu la papo kwa papo kama wewe.

Si vyema kumshutumu Magufuli kwa kuwa hatekelezi vipaumbele vyake ila vilivyo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM, 2015 (kama unahitaji kupitia na huna niiweke hapa). Naamini iliandaliwa na wataalamu, ikakubaliwa na kupitishwa na WanaCCM kupitia wajumbe wa Mkutano Mkuu.

Ni kweli tusiishie tu kwenye kupanga ni kuchagua bali tupange na kuchagua top priorities zinazoweza kuifanya nchi isonge mbele!. Kama kuna chama cha siasa kina Ilani ya Uchaguzi yenye vipaumbele tofauti, wananchi wataamua.
Kwavile umesema unayo Ilani ya Uchaguzi ya CCM basi pitia kwenye kipengele cha usafiri wa maji na utaona suala la Ujenzi wa Bandari ni moja ya miradi ambayo ilitajwa ingejengwa ama kuanza kujengwa kwenye miaka 5 ya kwanza ni Bandari.

Appraisal ilishafanyika na wananchi wameshalipwa maeneo yao kupisha ujenzi. Mkandarasi alishapatikana, na angejenga under Build-Operate-Transfer (BOT) Scheme.

Na tunaposema kujenga Bandari ya Bagamoyo haina maana nyingine zingeachwa kwa sababu hata ukisoma Ilani ya Uchaguzi, utaona pamoja na Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, pia kuna suala la kukamilisha uboreshaji wa Gati #1-7 na kuanza ujenzi wa Gati #13 & 14.

Suala la Gesi nalo lipo kwenye Ilani na ime-highlight mambo ambayo yalitakiwa kufanywa. Pitia ilani uliyonayo kwenye kipengele cha Mafuta na Gesi Asilimia.

Issue kubwa hapa ni priority! Yote hayo sioni kama kwa JPM ni priority.

Na kwa bahati mbaya sana aliingia na dhana kwamba hiyo miradi yote ni ya kifisadi, na alifanya hivyo mapema tu alipoingia madarakani kiasi kwamba I doubt kama alipata muda wa kuitafakari kwa kina yeye mwenyewe badala ya kuwasikiliza washauri wake pekee!

Matokeo yake, ndo ule mfano wa SGR niliousema! Alipiga chini programu aliyoikuta imeshafika hatua za mwisho kwa madai kwamba kuna upigaji mkubwa kwenye ile $7.6 Billion lakini na yeye mwenyewe anaelekea huko huko kwenye 7.6B na kuna uwezekano akavuka hicho kiwango!
 
Am a born again...

Nakemea mnaoamini kwenye hayo mambo...

Pepo la u gay toka kwa huyu kijana Chige
We mbwa jibu swali: Kwahiyo unajificha kwenye ulokole ili kufunika ufirauni wako wa kupigwa bomba kwenye kinyeo?!
 
Kwavile umesema unayo Ilani ya Uchaguzi ya CCM basi pitia kwenye kipengele cha usafiri wa maji na utaona suala la Ujenzi wa Bandari ni moja ya miradi ambayo ilitajwa ingejengwa ama kuanza kujengwa kwenye miaka 5 ya kwanza ni Bandari.
...
Issue kubwa hapa ni priority! Yote hayo sioni kama kwa JPM ni priority.

Suala la kusimamishwa ujenzi wa Bandari ya B/moyo lilikwisha kutolewa maelezo na mamlaka husika. Kama maelezo hayo yana mashiko au la Serikali itakayoingia mdarakani itaamua vinginevyo.

Kuhusu vipaumbele na utekelezaji wa Ilani ya CCM, ni kipimo tosha cha Rais Magufuli kurejeshwa madarakani.
 
Maelezo ambayo yalitolewa ni mamlaka husika ni yale ambayo yalitolewa naMkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari, Bw. Deusdedit Kakoko kwamba, baada ya kuona mradi ni wa kinyonyaji, serikali ikaanda new 5 terms ambazo zilitumwa kwa mwekezaji na kumwambia ama achukue hizo terms au aache.

Kufuatia taarifa hiyo, kwa mara ya kwanza uongozi wa China Merchants Port Holding ukajitokeza na kusema hizo habari hazina ukweli wowote!!

All in all, hiki ni kicheko kwa competitors wetu Kenya manake China waliutaka sana huu mradi ukajengwe Lamu, na walitoa incentives kibao lakini Mchina akachomoa! Ni kwa kicheko hicho no wonder gazeti la The East African la huko huko Kenya, liliwahi kuandika:-
Port.png

Anyway, it's a nicer discussion with no unnecessary political emotions. Catch'ya next time... am working now!
 
Am a born again...

Nakemea mnaoamini kwenye hayo mambo...

Pepo la u gay toka kwa huyu kijana Chige
We mbwa jibu swali: Kwahiyo unajificha kwenye ulokole ili kufunika ufirauni wako wa kupigwa bomba kwenye kinyeo?!
 
Anyway, it's a nicer discussion with no unnecessary political emotions. Catch'ya next time... am working now!
Ukirudi ujumbe ni huu. Wananchi wengi, naamini itakapofika wakati wa kupiga kura, hawatauliza nani aliweza au hakuweza kueleza maana ya Tanzania kuwa nchi ya Kipato cha Kati, bali atakayewahakikishia kuwa kero zifuatazo zitapata suluhisho la kudumu:
√ maji - kumtua mama ndoo kichwani;
√ afya - kupunguza au kuondokana kabisa na vifo vya mama na mtoto;
√ elimu - ya watoto wao;
√ nishati - kuondokana na matumizi ya kuni na mkaa;
√ usafiri - uhakika wa kufanya shughuli zao za maendeleo na kijamii.

Unadhani ni kiongozi gani atapewa dhamana ya kuwaongoza, iwepo au isiwepo Tume Huru ya Uchaguzi?
 
Kwa takwimu hizo, ni ushahidi tosha kwamba JPM amevuruga uchumi, na JK was far better compared to JPM.

Taarifa hiyo ya Benki ya Dunia inasema kwamba:- Kwa maana nyingine, hatimae ndo tumefika kwenye $1036+!!'

Ukiangalia WB Secondary Data, unakutana na hii kitu (GNI per capita by Atlas Method).
View attachment 1494559

Kumbe, 2015 GNI Per Capita by Atlas Method ilikuwa $980. Kwa maana nyingine, kwa miaka 5 mzima, JPM alikuwa anahangaika kuivusha GNI per capita from $980 to $1036... a difference of ONLY $54.

Kinyume chake, GNI Per capita in 2010 ilikuwa kama ifuatavyo:-
View attachment 1494564

Utaona hapo, in 2010 GNI per capita ilikuwa $720, na kwa maana nyingine, GNI per capita ilipanda from $720 in 2010 to $980 in 2015! Yaani ilipanda kwa $260, wakati miaka 5 ya JPM imepanda around $54+!

On top of that, mwaka 2005 GNI per capita ilikuwa $500, na kwa maana nyingine, miaka yake 5 ya kwanza, Mzee wa Msoga alipandisha GNI per capita from $500 in 2005 to $720 in 2010... yaani $220 wakati JPM miaka 5 yake ya kwanza inaonesha kapandisha for less than $100.

View attachment 1494576

Ama kweli mtaji mkubwa JPM ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake! And JPM anafanikiwa haya kwa sababu ile ile niliyowahi kuitaja siku za nyuma: Tanzania is full of people with average mind, and many more below the average!
.
 
Ukirudi ujumbe ni huu. Wananchi wengi, naamini itakapofika wakati wa kupiga kura, hawatauliza nani aliweza au hakuweza kueleza maana ya Tanzania kuwa nchi ya Kipato cha Kati, bali atakayewahakikishia kuwa kero zifuatazo zitapata suluhisho la kudumu:
√ maji - kumtua mama ndoo kichwani;
√ afya - kupunguza au kuondokana kabisa na vifo vya mama na mtoto;
√ elimu - ya watoto wao;
√ nishati - kuondokana na matumizi ya kuni na mkaa;
√ usafiri - uhakika wa kufanya shughuli zao za maendeleo na kijamii.

Unadhani ni kiongozi gani atapewa dhamana ya kuwaongoza, iwepo au isiwepo Tume Huru ya Uchaguzi?

1. Maji hapo bado Sana japo WB walifadhiri miradi mingi ya maji lakini vitu vilivyofanyika Ni madudu mtupu... Wakandarasi waliopewa hizo kazi walipewa kwa upendeleo, uwezo hawana na matokeo yake miradi mingi kuwa chini ya kiwango na mwingine Hadi leo haijafunguliwa...

2. Hiyo elimu Ni Bora wapate elimu na sio wapate elimu Bora.... Inasikitisha Sana mwanafunzi wa chuo anamaliza akiwa na Deni kubwa la mkopo, ajira hakuna... Wakati kizazi Cha Chenge,Warioba walisoma bure na kupewa pesa za kujikimu na sio kukopeshwa...

3 Nishati bado kizungu mkuti Bei ya umeme iko juu Sana, Gesi ya Mtwara wanufaika Ni viwanda na tanesco sio raia.... Mafuta Bei juu sababu ya Kodi.

4. Usafiri. Ndege huduma Ni Bei ghari na shirika linajiendesha kwa hasara, SGR haitonufaisha watu wa kusini au kasikazini.....
 
Tanzania kuendelea kukua kiuchumi kutaifanya lugha ya kiswahili kuzidi kukubalika, kuenea na kukua ulimwenguni.

"Hakuna lugha ya masikini inayoweza kukua nakuenea. Hivyo ukuzaji wa lugha ni lazima uende sambamba na ukuzaji wa uchumi. Lugha ni uchumi na uchumi ni lugha"
 
"Hakuna lugha ya masikini inayoweza kukua"
Umefanyia wapi huu utafiti wako?
 
Back
Top Bottom